Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Imekua kawaida kwa Ukraine kufurahia misaada ya kijeshi pale inapoletwa lakini Package ya $3 billion sidhani kama inaweza kuwa "game changer" kwa Ukraine, labda itasaidia tu kuprolong vita kwa siku kadhaa.[emoji95][emoji95][emoji95] The full composition of the new US military aid package to Ukraine:
[emoji3502]50 Bradley infantry fighting vehicles with 500 TOW anti-tank missiles and 250,000 rounds of 25mm ammunition;
[emoji3502]100 BTR M113S;
[emoji3502]55 MRAPS;
[emoji3502]138 HMMWV;
[emoji3502]18 155 mm self-propelled howitzers and 18 tractors;
[emoji3502]70000 155-mm artillery shells;
[emoji3502]500 155 mm Excalibur shells;
[emoji3502]1200 155-mm anti-tank mine system (RAAM) shells;
[emoji3502]36 105-mm towed howitzers and 95,000 105-mm artillery shells;
[emoji3502]10000 120 mm mines;
[emoji3502] HIMARS ammunition;
[emoji3502] anti-aircraft missiles RIM-7 Sea Sparrow;
[emoji3502]4,000 Zuni aircraft unguided rockets;
[emoji3502]about 2,000 anti-tank missiles;
[emoji3502]Sniper rifles machine guns and ammunition.[emoji95][emoji95][emoji95]
waacha mkuu wapeleke.Imekua kawaida kwa Ukraine kufurahia misaada ya kijeshi pale inapoletwa lakini Package ya $3 billion sidhani kama inaweza kuwa "game changer" kwa Ukraine, labda itasaidia tu kuprolong vita kwa siku kadhaa.
Ukiangalia kwa mwaka 2022 kuanzia January mpaka october, military aids za zaidi ya $27 billion zilielekezwa Ukraine, kuanzia Javelins, drones-Bayraktar TB2, mpaka Himars lakini bado hazikuweza kuleta matokeo waliyotarajia, bado Russia yuko ndani ya Ukraine. Hii package ya $3 billion sidhani kama inaweza kubadili "upepo" wa vita kwa Ukraine. View attachment 2476683
Kabla ya kutumwa kifurushi mkoa mmoja ulienda,,,,vilipotumwa vifurushi mikoa minne ikaenda[emoji853][emoji853][emoji853]Asee hiyo battle hapo ni kali haswa. Wagner sijui kwanini wamekomaa sana na hiyo sehemu. Ukraine akishinda hiyo battle hapo kwingine itakuwa ni kufagia tu.
Ngoja kifurushi kipya kifike tuone matokeo yake yatakuwaje.
Kama soledar imeenda basi bakhmut itakuwa njiani muda sio mrefuNgoja tuwaekee video kabisa
Wale mnaondelea kukaza shingo kwamba ule msafara wa warusi kuelekea Kiev haukufyekwa njooni huku.., ukweli ni kwamba jamaa walipukuchuliwa kama seneneView attachment 2475632View attachment 2475634
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Anataka atutowe leo na kesho tupo soledar , tunaongelea hapo tuuKwani wale warusi walio jiondoa Kiev walitokea kwenye msafara UPI wewe usitake kuwatoa watu kwenye ishu ya soleda ha ha
Nilikastukia kitambo kanarudisha mjadala nyumaAnataka atutowe leo na kesho tupo soledar , tunaongelea hapo tuu
😂 😂 😂 😂Duh, kumbe pale bakhmut na soleder kuna network ya underground tunnels, mita 100 chini ya ardhi, hadi vifaru vinatembea huko, no wonder kazi ya kuuchukua hizo miji imekuwa ngumu kama ilivyokua malioupol, 🤔.
Sasa mwisho wa Siku Uongozi wa Russia ndio unaogopa Regime change kuliko Waukraine.Lengo kuu ni kukomboa Donbass, luhansk,,
Regime change watafanya wenyewe wa ukraine maisha yakiwatight.
Nitawafuta Jumamosi niwaulize kulikoni😂😂😂Anataka atutowe leo na kesho tupo soledar , tunaongelea hapo tuu
We jamaa thinking capacity yako unaijua mwenyewe!Ulishaona wapi mvamiaji anatoa taarifa?Huyo Russia alikuwa anaogopa nini kuweka mambo hadharani kwamba anakwenda kuvamia Ukraine??..,jibu ni simple tu; alitaka awashtukize Ukraine Ili aweze kumaliza vita kirahisi kwa muda mfupi..,ni bahati mbaya sana aligonga mwamba katika hilo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jumamosi mbali mno,, ukraine soleders wamechakazwa sanA, hata kama watafichama huko ardhini haisadii,, Russia wana fire control juu ya barabara wanayoitegemea kupata resupply🤷🏾♂️hiyo ni done dealNitawafuta Jumamosi niwaulize kulikoni😂😂😂
Jumamosi mbali mno,, ukraine soleders wamechakazwa sanA, hata kama watafichama huko ardhini haisadii,, Russia wana fire control juu ya barabara wanayoitegemea kupata resupply[emoji2377]hiyo ni done deal
Naona umeungana na Morogoro kaskazini pamoja na mohamedidrisa789Jumamosi mbali mno,, ukraine soleders wamechakazwa sanA, hata kama watafichama huko ardhini haisadii,, Russia wana fire control juu ya barabara wanayoitegemea kupata resupply[emoji2377]hiyo ni done deal
Nasoma comments zao huku nacheka,sijui huwa hawakumbuki walichoandika hata siku 3 tu zilizopita.Naona umeungana na Morogoro kaskazini pamoja na mohamedidrisa789
Kusukuma gurudumu la propaganda hapo bakhumut,hao watu walianza kutuaminisha soledar imeanguka tangu miezi miwili iliyopita..,kaza Buti uongeze nguvu kazi[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu,Mimi mwenyewe nilkuwa nimeshaacha hata kufuatilia habari za urusi na Ukraine baada ya kuona ule msafara mzito, nikajua kabisa hapa Ukraine Hana pa kutokea,hata nisipojisumbua kufuatilia..,kilichokuja kutokea kwa kweli mpaka Leo Huwa sielewielewi,[emoji28]Tangu ule msafara wa vifaru kuingia Kyiv uliokuwa umebakiza hatua chache tu kuingia mji mkuu na ukaishia kusikojulikana hakuna kitu nitaamini mpaka iwe kweli 'deal done'. Kwa sasa tuendelee kulumbana tu hapa tukisindikiza January.