24/7 upo hapa, kila page ina comment zako, huna kazi ya kufanya?? Na kiinfinix chako cha laki 1
Kwani jamaa kakuomba bando na hela ya kula.24/7 upo hapa, kila page ina comment zako, huna kazi ya kufanya?? Na kiinfinix chako cha laki 1
Kwa nini unateseka Mimi kuwa hapa 24/724/7 upo hapa, kila page ina comment zako, huna kazi ya kufanya?? Na kiinfinix chako cha laki 1
Jibu mujalabu kabisa [emoji122][emoji122][emoji120]Kwani jamaa kakuomba bando na hela ya kula.
Watu wana maisha yao ukute wakati wewe unapambana kutafuta 1000 ya kubet au ya bando mwenzako anapigiwa simu anaambiwa ile million 300 uliyonikopesha nimeweka kwenye account yako tayari.
Vita sio nightclub mkuu lazima vifo viwepo pande zote besides sisi ni nani wa kutoka povu?Unaongea nini mkuu, idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga inagonga laki mbili soon.., ukiona lakini mbili wamelambishwa mchanga jiulize ni wangapi waliojeruhiwaView attachment 2477155
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukimkuta kichaa njiani akisema 'Leo Mimi ni Rais wa nchi'....je atakuwa amekosea au la?!?!Tukiwaita pro Russia wote mbumbumbu,tutakuwa tunakosea?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uraaaaa!*Waliambia wana chakula cha siku tatu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
*Wakambiwa wameishiwa silaha[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
* Wakambiwa wamepoteza morali[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
*wakambiwa awana hata uniform[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
*Wakambiwa wanakimbia wenyewe uwanja wa vita[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika Urusi Katupa somo
View attachment 2476976
Hebu yadhibitishe hayo matusi, vinginevyo umevurugwaJamani kipanya leo amecharuka humu, ni matusi kwa kwenda mbele...kwani Kuna Nini?!
Ukimwambia,baba yako anayekutunza na kukupa kila kitu kwamba " wewe ni kichaa" unafikiri utakuwa unastaili adhabu ganiUkimkuta kichaa njiani akisema 'Leo Mimi ni Rais wa nchi'....je atakuwa amekosea au la?!?!
Wanajeshi 500 na mamluki wa Ukraine wamekuwa encircled na walipewa mwisho saa sitausiku wa Jana kujisalimisha lasivo wanasagwa nyama Kama Bakmut (meat grinder)Kaka watu wanashidwa KUELEWA kwamba baada ya Soviet kuanguka, URUSI nazikusanya siraha nyingi sana karibu zote kutoka kwa washirika WAKE na anapeleka kwake. Na kipindi kile USSR ndie alikuwa mtengenezaji mkubwa na siraha DUNIA, kwa washirika WAKE zilibaki siraha chache sana.
Rusia kuishiwa siraha sio rahisi ANAHITAJI wapigane mda mrefu sana tena sana. Na vita vikubwa.
All countries against Russia Military Operation gets humiliated all time rounds so for Russia to be humiliated too is one of the challenges due to some mistakes happen on the ground is part of the gameMtakufwa vibaya nyieeeee !!
President Vladimir Putin’s defence minister has pledged to build a deeper arsenal of weapons, bolster aviation technology to better evade air defences and improve drone production after a series of battlefield humiliations in Ukraine.
Hadi mwandiko wako una kwikwi. Pole ndugu.Unaonaje nikufanyie mchongo ukaolewe na huyo Putin,?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bajeti ya miaka mitako huku upande wa pili silaha zimekata.iyo bajeti ni ya kwenye makaratasi au.mbona uwanja wa Vita haionekani.Aandae hata akiba ya Babu wa Babu yake..,hii vita imetengewa bajeti ya miaka 5 na kuendelea shekhe
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ahahahaha wacha banaKwani jamaa kakuomba bando na hela ya kula.
Watu wana maisha yao ukute wakati wewe unapambana kutafuta 1000 ya kubet au ya bando mwenzako anapigiwa simu anaambiwa ile million 300 uliyonikopesha nimeweka kwenye account yako tayari.
Nawaonea huruma wazazi wako na ki infinix chako cha laki
Kwikwi utakuwa nazo wewe mwandani wa Putin,Hadi mwandiko wako una kwikwi. Pole ndugu.
Zoea tu maumivu maana ndicho ulichochagua
I'm here to stay..,tulia hivyo hivyo dawa iwaingieNawaonea huruma wazazi wako na ki infinix chako cha laki