Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimeongea na Putin muda sio mrefu.nimemwambia kuwa nimesikia kuna wanajeshi zaidi ya mia 5 wa Ukraine wamekubali kujisalimisha.kwa iyo kama kutakuwa na watoto wa kali ndani ya hao wanajeshi basi asitusahau sisi vijana wake huku jamii forrum.[emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimemwambia Putin kuwa tunamwahidi kuwarudisha wakiwa na matumbo.

Kwa iyo ndugu zangu wa jamii forrum kaeni mkao wa kula.Putin kakubali kutupa warembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzigo Upo tayari kwa ajili ya kusaidia kwenda kuchukua Slaviansk na kramatorsk.

Viva RUSSIA [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

France 24
Notorious Chechen commander leaves Syria and joins Ukrainian army to fight Russia
1 day ago
 
VYOMBO VYA MAGHARIBI KAMA KAWAIDA YAO
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji3516]
Ukraine amekataa madai ya urusi,kama kweli urusi kauchukua huo mji basi ukweli utajulikana tu,kwani tunaishi katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia, unaweza kuuficha ukweli kwa muda tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Watu wamepiga picha wakiwa jengo la utawala wa mji.wamepiga picha wakiwa salt mine.ni bora ukatae kwa vitendo ila sio maneno.watu ni ngumu kukuelewa.

Unakataa alafu hauna hata ushahidi wa kujitetea kuwa mji haujanguka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukraine amekataa madai ya urusi,kama kweli urusi kauchukua huo mji basi ukweli utajulikana tu,kwani tunaishi katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia, unaweza kuuficha ukweli kwa muda tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na sio tu Soledar bali wiki hii haitoisha bila kuanguka kwa Bakhmut maana vikosi vya Ukraine vinajiandaa kuondoka kwenye mji wa Bakhmut.

Soon mambo yatajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…