Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We nawe
Unaongea nini mkuu, idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga inagonga laki mbili soon.., ukiona lakini mbili wamelambishwa mchanga jiulize ni wangapi waliojeruhiwaView attachment 2477155

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kila cku kulambishwa mchanga kulambishwa mchanga 😂ukipewa takwim ya Ukraine waliodanja unasema kawaida ya wanajeshi kufa ...by the way hata wafe 1m kwa cku lakin bdo wanasonga mbele
 
Ki
Hhhhhhhhh me nawasubir wa bakhmut
 
wakuu sehemu nyingine vita vimesimama au mbona kama kwingine kimya sana
Mkuu watu wanabisha sana HUMU ndani , tulishawaambia kuwa kwa sasa jeshi la Ukraine limeshaisha ile landforce yao ilishaisha tangu mda , labda watanze kuwapa mafunzo wengine.
Kwa sasa MAPIGANO ni madogo ukilinganisha kama yale MAPIGANO ya mariupol and severodonetsk, yalivyokuwa makubwa.
Sehemu zingine wanaviziana tuu , sehemu zilizobaki ni soledar ambayo ishabebwa na Wagner na bakhmut ambayo siku si nyingi inachukuliwa tayari.
 
,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
West-Bound Russian Oil Goes To Asia Instead

China has ramped up imports of Russian crude oil, including Arctic grades, Bloomberg reported on Tuesday, citing oil-flow tracking data from Vortexa and Kpler.

Deliveries are scheduled for this month and for February, when the EU ban on Russian petroleum products will take effect. Some traders believe the development illustrates a rerouting of Russian supplies internationally, as well as China’s shift away from Middle Eastern oil.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
wakuu sehemu nyingine vita vimesimama au mbona kama kwingine kimya sana
Kuna mwanajeshi mmoja wa MAREKANI mstaafu

Douglas Abbott Macgregor is a retired U.S Army colonel and government official, He played a significant role on the battlefield in the 1990-91 Gulf War and the 1999 NATO bombing of Yugoslavia. His 1997 book Breaking the Phalanx established him as an influential if unconventional theorist of military strategy. He contributed to the US strategy in its 2003 invasion of Iraq.

Huyo colonel wa USA kasema Ukraine wamepoteza askari wanaweza wakawa zaidi ya 150,000.
 
Japan Expanding Military Base Close to Taiwan

The tiny Yonaguni island is only 110km from Taiwan, and had six missiles drop nearby after [emoji630] reacted to [emoji631] politician Nancy Pelosi's visit last year with military drills.

The base is undergoing an expansion to accommodate a surface-to-air missile unit to protect the island's 1,700 inhabitants in the future.

Yonaguni is a remote outpost of Japan’s southern Okinawa prefecture and is near the Diaoyu Islands, a group of islands claimed by Beijing but administered by Tokyo.

Base Camp for Stories @RT_India_official

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna njia nyingine ya kuweza kuchomoka hapa zaidi ya kujisalimisha au kukubali kifo. Huu ni uzembe wa hali ya juu kwa vikosi vya Ukraine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2477438
Ila mkuu kama kuna mahandaki imara ya kuanzia Soledar hadi Bakhmut huoni panya wa zelensky watapita chinichini hadi bakhmut?

Nionavyo mimi watakimbilia bakhmut kuongeza nguvu ambayo kwa Russia ni nguvu ya soda tu
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukraine wanapigika kama kenge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji779]️Ukraine Suffering Massive Losses In Soledar — RT Exclusive

RT’s sources have claimed that Ukrainian losses in the DPR city could be as high as 25,000 during fighting since Autumn 2022.

The number was calculated based on the statistics of combatants wounded and missing as well as those who arrived to reinforce Ukraine’s contingent in the city.

According to the Wagner PMC, which is active in the area, Soledar is now under control of Russian forces.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…