Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna maana ingine Zaid ya kile ulichokua ukililia 🤣
 
Wanaanza kugombania ugari hambao bado haujaiva[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanaanza kugombania ugari hambao bado haujaiva[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nyie pro- Ukraine mnashida sana..yaani sijui vichwani mna nini.... source zote zinasema mji umetekwa lakini bado wayukreini wa buza mnabisha..hivi vichwani kweli mnaubongo au nini? Au ndio kujisifia eti wabishi...mnashida sio bure...
 
BusinessOriented acheni kudanganywa na uongo na propaganda za warusi, urusi inaweza kutamka chochote Ili tu kuwapumbaza wajinga..,bado hatujasahau ule uongo wa kuua askari zaidi ya 600 wa Ukraine wakati ushaidi unaonyesha wazi kwamba makombora yote yalimiss target [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwenye mashaka na urusi mpk ss atakua punguani kwa kweli...kwAnza kikosi Ni Cha kk security heri kingekua Cha suma jkt 🤣 na kinawapigisha kwata wanAjeshi kamili wa Ukraine ..afu pia ukraine kila cku inapewa misaada lakin bdo wanalia njaa hapo nashindwa kuelewa uwezo wa hizo nchi za nato
 
Vipi 500 wale solidar je vipi hapo. Waliouwawa na wafungwa wa urusi
 
Kumbuka pia urusi ana msaada wa nguvu kazi na nyenzo kutoka north Korea..,china.., Belarus.., Iran,na washirika wengine hambao hawataki kuonekana sura zao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Fact moja kwa pro Ukraine ....marekan kapigana vita kibao na maisha yameendelea Kama kawaida Bei ya wese ilikua pale pale uchumi wa nchi zingine ulikua hauyumbi ...ila urusi kaingia Ukraine kaekewa vikwazo mpka tz tumelia shida na ulaya imetikisika ...kwa huo mfano Kama hujaelewa umuhim wa urusi kwa dunia ya Leo bhc cna msaada na kichwa maji ww
 
Hao 500 ndo kwanza nawasikia kwako,hebu nipe source ya taharifa niende nikajisomee,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…