Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mara ya kwanza umekubali kuwa yukreini anadundwa,, isipokuwa ilibidi adundwe ndani ya saa 72, lkn kajikazakaza Takriban mwaka sasa, ila anadundwa au sio!
Hana tofauti na wale wanaomsifia MKUDE shujaa... amekimbizwa na Simba toka porini matombo ila amekuja kuliwa na Simba mlangoni kwake ...MKUDE shujaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wa Ukraine wenyewe awajabisha ila wewe mishipa ya shingo imekusimama kama vile upo front.
 
Source uliyonipa kichwa Cha habari kinasema
""Russia 's Wagner group claims 'liberation' of soledar ,says about 500 ukranians killed ""
Ulitegemea statement tofauti na hii kutoka Kwa Wagner?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unakataa kuwa mji haujanguka sawa tumekubali ila nasisi tuambie wanajeshi wa Ukraine wapo mtaa gani kwenye mji wa Soledar

Wapo eneo gani kwa sasa wanaloshikilia.maana tusibishane kama vile watoto.Wagner wameonyesha video wakiwa kila sehemu ya Soledar, sasa nyie mnaobisha mtuambie mpo soledar sehemu gani.


Nipo nasubiri jibu lako
 
Kama Wa Ukraine unawapenda sana basi tafuta shemeji wa ki Ukraine akuowe...

Sorry nimekosea Umuowe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mihemko haijawahi kumuacha mtu salama[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna chombo chochote Cha habari kilichodhibitisha habari hizo , tukiwaambia urusi ni baba wa uongo tunamaanisha

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wameenda Soledar wakazuiwa kuingia kuchukua habari.mbona wandishi wengine wamechukua habari.wanataka kudhibitisha wakiwa majumbani kwao.

Video zipo sasa sijui wanataka kudhibitisha vipi.makao makuu ya mji, maeneo yote muhimu yapo chini ya Urusi.sasa hapo imebaki Soledar gani.au kuna soledar mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Long live comred [emoji120]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na huu ndio ukweli [emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama ipo si waingie walete Habari? Ukweli wanaujua mji umeenda na kk security
 
Russian Ministry of Defense : The liberation of Soledar, which is important for the continuation of successful offensive actions, was completed on the evening of January 12.

Establishing control over Soledar allows cutting off the supply routes of Ukrainian troops in Artemovsk, and then blocking and taking into the cauldron the Ukrainian troops remaining there, the Ministry of Defense reported.

The capture of Soledar became possible due to the constant fire destruction of the enemy by aviation, missile forces, and artillery, the Ministry of Defense added.

The ministry noted the actions of the Russian Airborne Forces units, which, in a covert maneuver, successfully attacked Ukrainian positions at once, occupying dominant heights and blockading the city from the north and south sides.

In the last three days alone, Ukrainian casualties near Soledar exceed 700 people, and more than 300 weapons (equipment) were destroyed, the Russian Defence Ministry says
 
Wagner boss shrugs off US State Department’s remarks about PMC

The US newspaper Politico claimed on Monday that the Washington administration was stepping up the collection of data regarding the activities of PMC Wagner, including those supposedly underway in Serbia and the Central African Republic

The founder of Wagner PMC, Yevgeny Prigozhin, has said that statements by US Department of State officials about the military company do not bother him at all.

"You know, I'm not really worried about US actions," he said in response to a request from the RTVI television channel for a comment on statements by US Department of State adviser Derek Chollet to the effect Wagner PMC activities were worrying Washington and the US was working to neutralize them. Prigozhin's press-service made his reaction public on its Telegram channel on Friday.
 
Watakuwa wapo Radelos mkuu.....
 
The main difference between today's Russia and the country in the 1990s is its unity," Russian President Vladimir Putin said.

👔The country is united, and this was not taken into account by the West, which was counting on the destruction of Russia.

🇷🇺 From the centre to the farthest national republics, the entire population of our fatherland is interested in unity, while separatism flourished in the 1990s, political analysts explain after Putin's visit to Ufa recently.

📝 "It is again a question of Russia resisting any form of outside influence, attempts to launch forces that will lead to the disintegration of the country." Healthy nationalism is present today, but the relationship between the Center and the national republics is quite different. And this system was built by Putin quite successfully. "He has found a balance [in relations between Moscow and the republics]," says independent political scientist Anna Luneva.
 
Mkuu samahani kidogo,umeongea vizuri sana ila naomba nipaweke sawa hapo penye ulinganifu wa NATO na URUSI.
NATO alinganishwe na akina LIBYA,IRAQ na makampuni kama vile akina WAGNER,hao ndio saizi yake
 
Kama ipo si waingie walete Habari? Ukweli wanaujua mji umeenda na kk security
Urusi kaleta habari kuwa wamechukua Soledar yote.video ni picha ya kila eneo la Soledar umewekewa.anayebisha alete ushahidi wa kwamba bado yupo Soledar na ushahidi huu hapa.

Usiongee kitu kama hauna ushahidi utakuja kwenda jela kizembe sana bwana mdogo.unaowasemea awana ushahidi wakuonyesha wapo Soledar sehemu gani.
Zaidi ya kuongea maneno tu.

Mwisho kabisa: tafuta kazi ya kufanya hii kazi uliyonayo sasa ivi ni hatari kwa maisha yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…