Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tazama video mwanajeshi wa Ukraine ame share yuko karikati ya jiji la Soledar ambalo Russia wanasema wamechukua

Mkuu, naweza kujua kuwa una wiwa kweli usikie habari za Ukraine kufanya vizuri kwenye uwanja wa mapambano. Ndiyo maana ukipata habari yenye muelekeo huo unaibeba bila Hata kuifanya uchambuzi wa kawaida kabisa ili ujiridhishe kama taarifa hiyo ya kweli.

Twende Pamoja kwenye uchambuzi wa kawaida.

Solider mwezi mmoja uliopita mpaka juzi tu ilikuwa mkononi mwa Ukraine's Armed Forces. Yaani askari wa Ukraine ndio waliokuwa wanalinda mji huo na ilikuwa ngome Muhimu. Na katika kipindi hiki hatukusikia tactical retreat ya askari wa Ukraine kutoka Solider.

Sasa kwenye clip uliyotuwekea kutoka CNN, tunaona maeneo Karibu mengi ni magofu. Sasa kwa Pamoja tujiulize, hawa askari wa Ukraine wamekuwa vichaa kuchakaza ngome Yao kiasi cha kufanya mji huo kuwa Karibu wote magofu? Maana kwenye clip hiyo ndicho tunaona.

Hapo kwa logic ya kawaida magofu hayo yatakuwa yamesababishwa na kampuni ya ulinzi nayomshughulikia NATO hapo Solider.

Kwa hiyo, jitahidi kufanya uchambuzi wa kawaida kabla ya kuibuka na clip zinazoweza kukufanya uchutame bila kutarajia.

Asante.
 
Video za BBC, sky news, CNN na France 24,
Wanaonyesha mapigano YAPO yapo maporini nyumba moja moja moja moja , kama vijijini.
Eti ndio soledar.
Daaa nashangaa
 
Mkuu askari wa Ukraine washafukuzwa toka soledar,
Labda uniambie kuwa askari wa Ukraine wanarusha tuu mzinga tuu kwenye MJI wa soledar.
 
Video za BBC, sky news, CNN na France 24,
Wanaonyesha mapigano YAPO yapo maporini nyumba moja moja moja moja , kama vijijini.
Eti ndio soledar.
Daaa nashangaa
Mlitaka ushahidi sasa hivi mnasema nyumba mojamoja hahahaha acheni ngebe asilimia 90 ya anayosema urusi vitani ni uongo mtupu
 
Nilicholeta ni ushahidi wa kuwa wanajeshi wa Ukraine bado wapo katika mji wa Soledar sio utapeli anaosema Russia wamefukuza na wanaushikilia mji huo jaribu kutulia kabla ya kujibu hoja.Ulichoona ni magofu tu hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…