Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Finland wamesha ghair muda hao sweeden ndo bado wana kipele ila watatulia tu. Hzo ni porojo tu hakuna watakachofanya jomba. Tulieni putin awatie nyembe
Naona bado hamjaacha kudanganyana mpaka Leo hii, pamoja na kwamba propaganda zenu nyingi Huwa zinawaumbua baadae!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Pro Russia waliangukia pua hapa[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
LoL !
 
Ukrainian sources report that Kramatorsk receives a huge number of dead from Artemovsk and Soledar every day; most of the dead are between 18 and 23 years old. They are brought in by army trucks.
Tulitegemea tusisikie Tena habari kuhusu soledar maana tuliambiwa imekombolewa na hakuna ukranian soldier yeyote aliyebaki huko.., tatizo wanaopika propaganda wanashindwa kuwa na kumbukumbu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana lugha inakupiga chenga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona unachanganyikiwa mpaka unaanza kupost picha za maiti za warusi..,utapagawa kijana[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zikwapi za Warusi.au macho yako yamekuwa ayaoni vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona unachanganyikiwa mpaka unaanza kupost picha za maiti za warusi..,utapagawa kijana[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Au umepiga kitu kizito[emoji23][emoji23][emoji23].mpaka ndugu zako unawakataa.uwoni mikanda ya njano mabegani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona unachanganyikiwa mpaka unaanza kupost picha za maiti za warusi..,utapagawa kijana[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jamani kipanya44 tayari akili haipo kabisa.mpaka wanajeshi wake anashindwa kuwatambua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kipanya mmeingia mziki wa jagwa msituni, msitegemee kutoka salam msituni[emoji12][emoji12]
 
Pentagon recommends Zelenskyy retreat from Bakhmut and abandons attempts to retake Soledar

Ukrainian channels quoted its sources in the presidential office as saying that the Pentagon supported Zelenskyy's call to give up Soledar, which is now under Russian control. Additionally, according to the sources, the US Defence Department recommended Zaluskyy not sacrifice the Ukrainian Armed Forces' reserves to retake the lost city under its control and withdraw troops from Bakhmut.

We shall remind you that earlier, during a report on the situation in Soledar, Zelenskyy reported about the failure of three attempts of the Ukrainian armed forces to counterattack Soledar. The Western press also acknowledged the retreat of Ukrainian troops from the city, yet the Ukrainian president continued to deny the loss of Soledar hypocritically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…