D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Simple way ya kujua ni - F for Fighter, B for BomberHakuna bombers ya NATO iitwayo F 16, f 16 Ni multrole airsuperiority fighter jet Kama f 15 na Dasault Rafale.
Bombers za NATO unaweza kuiweka b 2, B 52 Stratofortress, b 21 sky raider na kwa namna flani Dasault Rafale Ni bomber pia
Kama hawakujisalimisha kwenye Ile operation ya saa 72, watawezaje kujisalimisha Sasa?[emoji28]Kitakachowaokoa Ukraine kwa sasa ni kwenda kuungama kwenye madhabahu ya moscow[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2481783View attachment 2481785
Kwa nini unakimbia mada wewe kenge? [emoji23][emoji1787]Simple way ya kujua ni - F for Fighter, B for Bomber
Unajadiliana vipi Mambo ya vita ya Urusi na NATO na mtu anayesema F16 ni bomber!?
Si ni mtu ajifunze kwanza jumlisha, toa kbla hajarukia hesabu za algebra!?
Air defense za urusi zilikuwa wapi wakati drone zilipoichakaza Sevastopol mpaka super pawer wa mchongo akalazimika kukimbiza meli na ndege zake huko?[emoji28]Kuna anti air missile moja huko maeneo ya Dnipro baada ya kutungua cruiser, yenyewe ikaenda kupiga moja kwa moja kwenye nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sijui imekaaje wadau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe utakuwa na matatizo ya afya ya akili.Ukraine ameshapata ushindi mnono wa kuigeuza operation ya saa 72 kuwa vita ya muda mrefu,huku akiendelea kuwachinja askari wa urusi Kwa wingi.., mpaka mwezi June urusi atakuwa kapoteza askari zaidi ya laki mbili..,ni aibu kubwa kwa taifa lililojinasibu kama super pawer kuhenyeshwa na kanchi kadoogo Tena jirani yake kwa muda mrefu namna hii,na Bado ngoma inaendelea kuwa ngumu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Utakuwa zuzu na tahaila ukishindwa kuona ushindi wa Ukraine aliyepewa saa 24 kujisalimisha lakini mpaka Leo anaendelea kumpigisha danadana super pawer wa mchongo [emoji848]Wewe utakuwa na matatizo ya afya ya akili.
Ndo maana sijataka kujibizana nae Happ juu br .Simple way ya kujua ni - F for Fighter, B for Bomber
Unajadiliana vipi Mambo ya vita ya Urusi na NATO na mtu anayesema F16 ni bomber!?
Si ni mtu ajifunze kwanza jumlisha, toa kbla hajarukia hesabu za algebra!?
Jibu ni kwamba umeshindwa kujibu hoja na kutafta kichaka Cha kujificha[emoji28][emoji23]..,acha kutafta excuse kenge wewe[emoji28][emoji23]Ndo maana sijataka kujibizana nae Happ juu br .
Estimates by Ukraine army force [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Vichwa vya warusi 630 vimechinjwa ndani ya saa 24 zilizopita.., kweli kenge asikii mpaka damu zimtoke 🥱🥱View attachment 2481947
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Inapatikana bara gani?,bulundi
Yaani hata neno estimate limekupiga chenga jamani tumnunulie kamusi huyu mtu sio kwa ukilaza huu.Vichwa vya warusi 630 vimechinjwa ndani ya saa 24 zilizopita.., kweli kenge asikii mpaka damu zimtoke 🥱🥱View attachment 2481947
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama huamini hizo takwimu muulize Putin Ile mobilization ya askari laki tatu ilikuwa ya kazi gani ..,bado anajiandaa kuwawinda warusi wengine laki Tano Ili awapeleke machinjioni[emoji23][emoji23]Estimates by Ukraine army force [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ni zombie au tahaila pekee hambaye hawezi kuamini kwamba urusi ameshapoteza asikari takriban 120000 au zaidi mpaka Sasa..,hiyo idadi inayotajwa na Ukraine ni ndogo kulingana na idadi ya warusi wanaochinjwa kila siku,Yaani hata neno estimate limekupiga chenga jamani tumnunulie kamusi huyu mtu sio kwa ukilaza huu.
Hii maana ya neno estimate usiwe unakurupuka tu Kama umekula maharage ya mbeyaNi zombie au tahaila pekee hambaye hawezi kuamini kwamba urusi ameshapoteza asikari takriban 120000 au zaidi mpaka Sasa..,hiyo idadi inayotajwa na Ukraine ni ndogo kulingana na idadi ya warusi wanaochinjwa kila siku,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu nifafanulie hii tafadhariAlarm zilipolia mwanaume alikuwa keshamaliza kazi tayari!!
Yaani air defence zilikuwa likizo?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu nifafanulie hii tafadhari