Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo Russia ni Supa-pawa ?..
 
Pamoja na yote bado Russia inaendelea kupata hasara,ya watu na vifaa vya kijeshi🤔
.....
Jan.16 update on russian losses in the war
 
Pamoja na yote bado Russia inaendelea kupata hasara,ya watu na vifaa vya kijeshi🤔
.....
Jan.16 update on russian losses in the war
View attachment 2483125
Haha,Hasara ndogo sana hiyo,ungekuwa na akili usingepost hii ujinga, Ukraine imepoteza watu,Ardhi,eneo la madini ,inaenda kupoteza bandari,imepunguzwa nguvu kijeshi,imejiingiza kwenye madeni amabayo ni ngumu kulipika n.k.
 
Ukiona hadi jeshi la ukraine hapa jf amebaki mpambanaji mmoja ndugu kp kipanya44 jua field pia mambo ni mazito kwa zelensky. Sioni tena update hata za propaganda za kusonga mbele kwa majeshi ya mchekeshaji
Kawaida gari inavuta gurudumu Moja Mzee..,kubaki mmoja sio hoja, maadam nazima ndoto yenu ya kuufanya huu Uzi kuwa jukwaa la kueneza propaganda uchwara za super pawer wa mchongo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vile vifurushi vya military aids vilianza kupungua toka september.

Vyanzo vyao vya habari vinasema west walishaanza kuishiwa na silaha za kupeleka Ukraine.

 
Ukraine Hana Cha kupoteza mpaka Sasa..,kama ni nchi imeshaharibika sana ..,Cha msingi ni kuendelea kumpigisha danadana huyu anayejiita super pawer, mpaka apate kilema Cha maisha

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine inabaki magofu!!! Unapochezea sharubu za simba unategemea nini? Majimbo manne keshapoteza tayari mbali na Crimea!!! Hawezi kupigana bila kulilia silaha toka marekani na NATO kwa ujumla!! Anadai ana air defense toka nchi za NATO lakini kichapo kinatembea kila leo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…