Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Natokaje Nje ya mada wakati wewe ndiye uliyeleta habari za Venezuela!!!

Nimekuuliza maswali hapo juu hujajibu umekimbilia kuquote issue ya mafuta
Huoni ninavyokujibu,
Nimesema kuhusu NUCLEAR na uoga wa USA na NATO ,
Wewe umeniletea kampuni ya USA kwenda kuchimba mafuta ,
Wewe unavyojiona upo sawa hapo.
 
Kuna watu kila Mara tunawaelezea humu hii proxy war ni kati ya Russia vs USA na China kwa mbali-huwa hawaelewi.ukisikiliza speech za Putin Mara nyingi sana anapinga uwepo wa USA kama kiranja wa Duniani wa Ku dictate kwa kila Nchi cha kufanya.

Sehemu ngumu kwa Russia katika eneo hili ilikuwa kuruja kizingiti cha kiuchumi,ambapo tumeona amekiruka na kusababisha mdororo wa kiuchumi wa kidunia.I believe upande huo wa kiuchumi ndio ilikuwa mgumu kwake kuliko huu wa kijeshi ambapo naamini yupo vizuri zaidi ya USA.

Kila chenye mwanzo hakikiosi maisha,ni muda wa USA kuachia ukiranja wa Duniani.
 
Baada ya winter Ukraine na Russia wote wanajiandaa kufanya counter offensive ndio maana unaona hizo armoured vehicles zinamwagwa za kutosha, wanajeshi wapatiwe mafunzo jinsi ya kuzitumia mpaka March mwishoni ziwe zishaingia mzigoni
Je threat ya Medvedev kuhusu nukes endapo Ukraine atashinda?
 
Huoni ninavyokujibu,
Nimesema kuhusu NUCLEAR na uoga wa USA na NATO ,
Wewe umeniletea kampuni ya USA kwenda kuchimba mafuta ,
Wewe unavyojiona upo sawa hapo.
Nimekutolea mfano wa jinsi wenzake wamavyocheza karata zao kwa akili na sio kutumia miguvu. Nimekuuliza wapi Marekani ilisema inataka kuivamia Venezuela umekimbia hujaleta evidence yoyote.

Hivi kuna haja gani ya kuivamia Venezuela wakati Rais wao mwenyewe Kwasasa ameshatepeta anataka mahusiano mazuri na Marekani bila kusahau karuhusu kampuni ya Marekani ianze tena kuchimba tena mafuta hapohapo Venezuela!
 

Manina hata akigusisha imeisha hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rumors
Ila hawajawahi kuwa nje ya kinachosemwa na vyombo vya habari
Naskia kesho ndo hiyo package itawekwa wazi,ngoja tusubiri.

Hizi GLSDB zikipelekwa na zikafanya vizuri tutaanza kuona baadhi ya nchi zikianza kuzigombania kama ambavyo sasa hivi wanagombania Himars mpaka imebidi Lockheed Martin wa-double production
 
Aisee hayo mambo si hatuyajui ni nyie ndio mnataka kutufundisha huo ufedhuri na inaonekana wewe sio mgeni na hizi kesi za migongo. upinde must be proud of you na nina uhakika ww ni asset kubwa sana kwao
 
Mkuu 1954 umezaliwa mwaka huu ?
Kma ni hivyo upo sawa na mzee wangu
 
Naskia kesho ndo hiyo package itawekwa wazi,ngoja tusubiri.

Hizi GLSDB zikipelekwa na zikafanya vizuri tutaanza kuona baadhi ya nchi zikianza kuzigombania kama ambavyo sasa hivi wanagombania Himars mpaka imebidi Lockheed Martin wa-double production
Naona ni mali ya SAAB ikifanikiwa ni mwendo wa deals tu.

Hivi kwanini nchi yetu ina usiri sana kuhusu zana za kivita?
 
Acha porojo we mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…