Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Comedian kwenye ubora wake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo unajua wewe ila USSR ilishajifia zamani,ndio maana hata pale Umoja wa mataifa hakuna nchi inaitwa USSR Bali kuna Russia Federation.
Unaona sasa ulivyo MJINGA... MOJA, Kwa Nini Nchi zote za iliyokuwa USSR zilirudisha silaha URUSI YA LEO!?? UKINIJIBU NDII NTAJUA NAONGEA NA MTU WA NAMNA ....NAOMBA MAJIBU!!?
 
Jana BBC ilitangaza kuwa Soledar imechukuliwa na Warusi lakini mtu mmoja humu JF who is a sworn propagandist and mole of the West bado anaendelea kusema eti 'Soledar bado iko mikono salama ya Ukraine'...duh
Hata hivyo kwa Nini nyinyi watu wa kuheshimika na heshima zenu nyingi tu humu,kwa Nini mnaendelea kjibizana nae?
 
Kama kuna kiwanda watakimbilia humo maana wanapemda kweli kujificha viwandani
 
Ndo ujue umwamba wa urusi.nchi moja inapambana na dunia
Hatujawahi kukataa umwamba wa huyo urusi..., lakini safari hii kapiga hesabu vibaya,, urusi alisahau kwamba Kuna watu wanamtegemea na wanamuona kama mkombozi wao dhidi ya ubabe wa USA .., hivyo alitakiwa afanye juu chini kuulinda huo umwamba..,mwenzie USA Huwa anapiga mahesabu Makali kabla ya kufanya kitu kama hiki anachofanya urusi.., Mpaka anawabembeleza marafiki zake wampe sapot, hawezi kwenda peke yake ..,na hii yote ni juhudi za kujilinda asipokonywe tonge la usupapawa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Saa hizi ukraine anaparamia kila tawi ila inavoonekana kuanguka ataanguka tu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],Kweli mna uhaba na good news huko Frontline!
Only a fool can buy that crap!
Mkuu,sio lazima kila coment huijibu , nyingine unaweza kupotezea tu ukijua kwamba nyingine ni chai tu..,usichukulie Kila kitu seriously sana ,utajikuta unajipa stress bure

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji631][emoji1099][emoji1255]Peskov about today's meeting at the Ramstein base and the possible delivery of tanks to Kiev: nothing will change in terms of Russia's progress towards achieving its goals.

He noted that the West is committed to a dramatic delusion about Kiev's ability to succeed on the battlefield.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…