D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hili hata enemies wa Jf wanakubaliana naloWestern media reported that Russian sailors in Norway were fined 5,000 kroner for wearing clothes with the Russian national flag on them. According to the local prosecutor, the tricolour might have frightened Norwegians and Ukrainian refugees. The enemies of Russia are really terrified of Russia's name, Russian symbols, and the sound of Russian footsteps.
Umeacha kutumia vile vidonge vya afya ya akili?? onana unavyoropoka ovyo pekee yako wenzako wote wamejificha,860 wamechinjwa ndani ya saa 24 zilizopita 🥱🥱🥱View attachment 2490059
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Achana nae huyo miezi yake hii.. anatatizo la afya ya akili juzi alijisaidia jukwaani tukajitahidi kufichafichaKulingana na wasemavyo Ukraine laakini Russia hatujatoa taarifa hizo.
Mkuu hapo kwenye F-35 umewasokota wana jukwaa.Suala la F-35 ntakujibu kwa kirefu kesho, labda nikupe clue kidogo F-35 airframe design na sehemu ya kuinstall engine, vyote viliibiwa kutoka Urusi, Waamerika walicopy Russian Yak-141 built super sonic fighter flown for the first time in 1986 (sikumbuki vizuri version ya Yakorev fighter) - lakini mara zote US ujifanya the brains behind F-35 design were Amerikans kumbe ni uongo mtupu, na hii si mara ya kwanza US kuiba designs za Russians military flying machines, the classic one was stealing Russian Chopper gunship in Libya Mil..., US
Source:Mocking Bird Media860 wamechinjwa ndani ya saa 24 zilizopita 🥱🥱🥱View attachment 2490059
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii ingekua imetokea Russia .kipanya na genge lake wangefungulia mpka uzi mpya 😁 cjui heading yake wangeandika vp 🤣🤣🤣In the city of Drohobych (Lviv region), Ukrainian authorities tried to mobilise a disabled person. The other day, military enlistment offices handed a summons to a local resident who has congenital malformations in his hands. At the time specified in the document, the man came to the military registration and enlistment office, where he was considered fit for military service and sent for a medical examination. At the hospital, local doctors also did not believe the diagnosis, forcing him to undergo a full medical examination, and only then did they reach a conclusion about his unfitness for service.
View attachment 2490101
Upo sahihi katika biashara MTU wa kwanza ni jirani,Ulaya ndio jirani wa Urusi na Nchi nyingi za Ulaya hazina shida kabisa na Russia tatizo ni hicho kimududu USA kinaona EU kufanya biashara na Russia ni kumuongezea mpinzani wake nguvu za kiuchumi.Hakuna mtu kawasifia West....mimi ni-Pro-Russia.Kuwa Pro-russia hakunifungi na chochote.Na usijidanganye kwamba Russia yuko front kwa West kwa kila kitu. Actions nyingi za Russia ni baada ya kutendewa analipiza- Russia asingekuwa na sababu ya kufunga bomba la mafuta bila ya kuwaprovoked na EU..
Pia West vikwazo vya mafuta na gas wamejiwekea wenyewe indirectly au directly. Wao ndo wanajiwekea vikwazo, kuzuia makampuni yao yasifanyekazi na Urusi, hivyo hiyo inflation yao ni matatizo yao binafsi. Russia yuko tayari na anaendekea kutrade oil directly na baadhi ya nchi za Ulaya kama Hungary vile...
Pia hiyo notion yako ya kusema Russia hazihitaji nchi nyingine..hasa za West kisa anajitosheleza..ni UONGO....Nchi zote ulimwenguni zinategemeana, tena kumbuka hao ni majirani zake kabisa, vyovyote vile kufanya biashara na jirani pamoja na kuwekeana mazingira bora ya kuingiliana ni kitu kila nchi inapenda na inatamani. Hata Putin hakuna mahali kasema hawahitaji west...ndo maana hata anavyowaaddress mara zote anawaita PARTNERS....
Hivi vita vitapita na hizo nchi zote za Ulaya zitaanza kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya biashara tena..ni suala la muda tu
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mikwara mbuzi tu hiyo anataja. Kwamba Marekani iliiba concept ambayo Russia haijui hata kutumia.Mkuu hapo kwenye F-35 umewasokota wana jukwaa.
Kama ndio hivyo mbona SU-57 ilikosa engine wakalazimika kutumia ya SU-35 ?
Axel Lloyd T14 Armata