zelensky kp kipanya hawana tofauti wakila, wakiamka, wakijamba hata kula wao ni weapon weapon weapon, hadi mabeberu wamemwambia asubiri kwanza hadi aambiwe namna ya kujipanga kabla ya kuanza mashambulizi.Hii ingekua imetokea Russia .kipanya na genge lake wangefungulia mpka uzi mpya π cjui heading yake wangeandika vp π€£π€£π€£
Inawezekana 'ki-rat' angekuja na headfing hii kwa uzi mpya: Russia yaishiwa askari na sasa yawapeleka walemavu matahira mstari wa mbele.Hii ingekua imetokea Russia .kipanya na genge lake wangefungulia mpka uzi mpya π cjui heading yake wangeandika vp π€£π€£π€£
Wamejikunja kama kuku wagonjwa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akiwa chini ya Wagner Group
"I'm very glad that I got out of this meatgrinder alive" - AFU POW in captivity of PMC Wagner
AFU soldier A.Dyuzhikov, captured by Wagner forces, wrote an appeal to his relatives in Odessa, "They treat me normally. The guys are all normal. Everything is fine."
Source: RVvoenkorView attachment 2490057
Artillery strike hii?... Uturuki angenunua Patriot tu sema siasa zilimkurupusha.Russia imeshapoteza TEL ya S-400 mwaka jana hiyo. New evidenceView attachment 2490290View attachment 2490291View attachment 2490292
Sababu asilimia kubwa ya jeshi ni mashogaHii vita hapigani Ukraine, Ukraine ni kama chambo tu!
Hii vita anapigana Urusi na mataifa zaidi 30 ya NATO.
Ogopa sana mtu anapigana na mataifa 30 na hayamuwezi.
Source: US Navy SEAL killed in Ukraine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sababu asilimia kubwa ya jeshi ni mashoga
Hio vita ya mwenyew kwa wenyew kuna mtabir alitabir miaka 1600+ hukoHata marekani na Europe wangefungiwa bomba la mafuta na kuto uziwa nafaka na madini ya Urusi iyo 2014 wangekuwa na hali mbaya zaidi kuliko sasa. Hao west unao wasifia hawana potential ya kumthibit Urusi kiuchumi kwa maana Urusi ilishajiondoa kwenye myororo na utumwa wa kiuchumi. Ndo kati ya nchi ambazo monetary system yao haiko attached na ya wazungu Kama sisi wabongo mzungu akipiga chafya ya corona Benki kule huku mambo Yana yumba. Urusi inajitosheleza hata bila west au America na dunia inamuhitaji Urusi kuliko Urusi anavyo hitaji dunia. Urusi hajawai kushidwa vita na kwa haraka haraka sanctions zimedunda ina maana anashinda vita ya kiuchumi, sasa ngoja iyo Benki mpya ya Dunia ifunguliwe ambapo dollar haitakuwa ikitumika kwenye kila transactions Kama sasa kila nchi itakuwa na haki ya kutumia sarafu yake katika manunuzi. Tuna elekea kwenye balanced world order aka multipolar world.
Bila kusahau Kuna vuguvuga la Texas kujichomoa USA tena kama nyakati zile.Na pia Kuna vuguvugu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe marekani Kama ile revolutionary war. Hizi ni za chini chini.
Mbona hakuna tofauti na S-300.yani unataka kuniambia ni kitu gani kimekufanya ugundue kuwa iyo ni S-400.Russia imeshapoteza TEL ya S-400 mwaka jana hiyo. New evidenceView attachment 2490290View attachment 2490291View attachment 2490292
Russia wanajeshi wakupigana hiyo vita anatoa wapi?Hii vita hapigani Ukraine, Ukraine ni kama chambo tu!
Hii vita anapigana Urusi na mataifa zaidi 30 ya NATO.
Ogopa sana mtu anapigana na mataifa 30 na hayamuwezi.
Source: US Navy SEAL killed in Ukraine
Point of correctionUfaransa wamwambie ukweli Zelensky kuwa hata akipewa silaha zote za NATO hawezi kamwe kumshinda PUTIN & WAGNER PMC. Ufaransa amekimbiza majeshi kule MALI kwa sababu ya WAGNER, Bado kidogo watamfukuza Burkinafaso & Central Africa. Wagner PMC homa ya NATO.
Ndio wanyooke hao Mashoga!
Kumbe siku hizi taarifa zinazotolewa na Marekani zinaaminiwa humu, mmeacha kuziita propaganda. RT wametumia source ya US Navy SEALs na source yenyewe imesema alikuwa ni deserter.Hii vita hapigani Ukraine, Ukraine ni kama chambo tu!
Hii vita anapigana Urusi na mataifa zaidi 30 ya NATO.
Ogopa sana mtu anapigana na mataifa 30 na hayamuwezi.
Source: US Navy SEAL killed in Ukraine