Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vinapelekwa leo kesho vinatekwa . West wanaogopa hilo tu na ndio best tanks zao itakuwaje vikitekwa ama Russia akavitafutia dawa maana Russia hajulikani ana mambo gani kwenye ghala lake .West wanajua Russia hajatoa KILA alichonacho
Warusi wanajua kutunza siri za mambo muhimu yahusuyo usalama wa nchi. Pia wana taarifa za kutosha kuhusu maadui zao.....
 
Vinapelekwa leo kesho vinatekwa . West wanaogopa hilo tu na ndio best tanks zao itakuwaje vikitekwa ama Russia akavitafutia dawa maana Russia hajulikani ana mambo gani kwenye ghala lake .West wanajua Russia hajatoa KILA alichonacho
Kikubwa wameshindwa kuelewa adui ana mzigo gani mpya na je akiteka atavifanyia nn? Wanajua kabisa wakipeleka lazima Kuna vitakavyoenda Russia kwa uchunguzi na vitavyowashwa Moto[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] nilisema toka mwanzo tule mtori kwanza nyama tutazikuta chini chini.
 
Wagner wameamua kurudisha maiti za wanajeshi wa ukraine waliokufa soleder, msafara utakuwa ni jumla ya magari 100,full loaded,, [emoji53]
The RIA FAN website – part of Prigozhin’s media holdings – quoted a Wagner commander as saying the mercenary company would send the bodies from Soledar to Ukrainian-held territory in four or five convoys totalling about 20 trucks
 
Kumbe ni kweli kwa Russia hii sio vita ndio wanataka iingie ktk vita kamili.


On the Russian side, Chief of the General Staff Army General Valery Gerasimov on January 11 was appointed commander of the integrated group of forces of the special military operation in Ukraine.

Chinese military experts said this appointment means that Moscow wants to upgrade the "special military operation" to "a war" because it needs the top military commander of the country to coordinate the joint operation conducted by the Russian national armed forces, Chechnya's military forces and private military contractor the Wagner Group

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hakuna tofauti na S-300.yani unataka kuniambia ni kitu gani kimekufanya ugundue kuwa iyo ni S-400.
Alafu kama ni S-400 basi ni jambo la kawaida kwa silaha kuteketea vitani.hakuna silaha kwa hapa duniani isiyoteketea uwanja wa vita
Huyo ni mgonjwa wa akili

Hata akikuta kipande cha bendera ya Urusi njiani atakifungulia mada kwamba Urusi yapoteza bendera moja 🤣🤣
Mabao yake ya kunyetuka yalimwagika na akili
 
Warusi tu maana tumewazoea sana ndugu zetu[emoji23][emoji23][emoji23].wanasababisha mpaka jukwaa linapoa.

Warusi tubishane hata habari za simba na yanga.tuachane na hii vita[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha warusi tucheze karata na draft kwenye uwanja wa vita sababu washindani wetu hawaeleweki nyuma ni wapi na mbele ni wapi 😁😁
 
Felon ina 2 main internal weapons bay kwenye belly na nyingine mbili pembeni ya wings kama hizi za F-22 zilizopo chini ya air inlet

Hadi sasa hakuna taarifa ya missile iliyo operational ya internal bay, testing zipo ila acceptance for deployment bado. Na hakuna stealth engine bado iko kwenye development. Hii inaweza kuwa sababu ya kutokuwepo mass production
 
Yani wewe ni mtu muongo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].njia ya muongo ni fupi sana, leo umeumbuka.

Sizani kama una cha kijutetea kenge wewe.usituletee tena habari zako za uwongo.utakoga matusi siku nyingine..

Sijui Sukhoi 57 aina internal bay missile.izo hapo ni za baba yako.acha ujinga chunguza kitu kabla ya kuleta hapa.utakuja kubakwa mtoto wa kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahyo unataka kusema ikiwa hyo ni operation tu sipati picha maana NATO wao walikuwa wanasema ni Vita jamani yaani mwaka huu tutajionea Mengi [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Kwahyo unataka kusema ikiwa hyo ni operation tu sipati picha maana NATO wao walikuwa wanasema ni Vita jamani yaani mwaka huu tutajionea Mengi [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kampuni la ulinzi na wanamgambo kutoka maeneo yaliyorudi Russia. NGOMA TOKA mother Russia BADO . Vifaru ni vya 1950-68 na vile vichache vipya vilivyobadili mchezo. Kule kuna tope huwezi peleka kifaru kikubwa kama nyumba pia kitaonekana kirahisi. Hayo ma Abraham unayapiga kutoka moscow unayapa hypersonic . USA anaogopa mengi
 
Vifaru vipya vya Russia ni tudogodogo wanapanda wawili tu. SASA abraham wanapanda 12 inamaana kuna faida kubwa ukilipiga hypesonic
 
Vifaru vipya vya Russia ni tudogodogo wanapanda wawili tu. SASA abraham wanapanda 12 inamaana kuna faida kubwa ukilipiga hypesonic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Marekani wanasingizia ugumu wa mafunzo na matengenezo.ina maana vichwa vya wa Ukraine ni vigumu kuelewa?.haya ni matusi mazito sana kwa Zelensk [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio tambia za wakenya.
 
Hilo bado lipo kwenye design tu, bado hawajaweka kwenye ile midoli yao michache iliyopo.

Alafu jifunze kujibu hoja bila kutukana, kupishana mtazamo hakuepukiki.
 
Hadi sasa Su-57 haina missile yoyote ya internal weapons bay. Ukiweka missile nje una-compromise stealth.
We jamaa! Kwa taarifa yako Felon imefanya mashambulizi tayari nchini Ukraine kwa kutumia BVR missiles nadhani ni R-77 though imefanya mashambulizi kutokea anga la Urusi. Sidhani kama hii ndege ina external weapon bays otherwise nini maana ya ndege kuitwa stealth fighter!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…