Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unachosema inawezekana kuwa kweli.

Pia, hawa jamaa wakubwa wana channels zao za communications nadhani kuna namna wanaambizana ukweli. Kwambia this is a redline, uki cross itakuwa hivi au vile...

Kwa hiyo kuna uwezekana mkubwa wanafahamu kabisa limits za mambo yao ambayo wanatakiwa wafanye "Do and Dont"
 
Kwa hiyo umu ndani nyie Ukraine ndo mmekufa wote au sioni apdate zozote kutoka huko hata za Magumashi. Ah mnatuaibisha bhana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbona hamuishiwi malamiko kama watoto wa kambo? Tukiwaacha muendelee kudanganyana hapa inakuwa shida ,bado tukiamua kuwajibu mnatuona wakorofi..,lipi Bora??[emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wameshaona maji ya shingo na vita haieleweki kwa upande wao
Mwanzo pale... walipokuwa wanaweka Sanctions kila wiki... wana supply silaha nyingi kwa Ukraine...wana supply wanajeshi wa NATO hapo Ukraine kwa wingi sana.

Dhumuni kubwa lilikuwa nikumu overwhelmed Russia... economically and militarily. Yaani Russia achoke mapema sana au hali ya kupigana iwaishe.

Lakini with time imekuwa tofauti, Russians wamekuwa adaptive na hiyo hali.

Na ndio maana sasa hivi yule Boss wa EU Joseph Borolle anasema kwamba Russians ni wavumilivu sana, na kwa huyo uvumilivi inakuwa ngumu kuwashinda na hapo hapo Westerns wameshapata inayoitwa War Fatigue... they are no longer interested na hayo mambo ya Ukraine.
 
Hizo leopard 2 unazosema ni bora kawaulize uturuki nini kiliwapata huko syria. Kuna kitu inaitwa konert markave za israel ziligeuzwa kuwa recycled raw materials. Hizo leopard ni bora kama unapigana na libya ila sio urusi
Tunawakumbusha tena kuwa urusi sio zimbabwe
 
Abram ni kizito sana, kwenye tope kitazama chote, na kina operater wanne tu, kikizama hapo hakitoki,
Pia ni delicate, kinatumia jet engine na wese ni mafuta ya ndege,, kinahitaji maintenance kila baada ya kilomita kadhaa,, kitawasumbua balaa, ndo maana US anaogopa kupeleka ukraine,,
Ile challenger ya UK nayo ni tani 75,, a monister tank, haiwezi make
 
Mbona hamuishiwi malamiko kama watoto wa kambo? Tukiwaacha muendelee kudanganyana hapa inakuwa shida ,bado tukiamua kuwajibu mnatuona wakorofi..,lipi Bora??[emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani umjibu mtu akuone mkorofi? Kweli wa Ukraine mnajistukia sana
 
Napitia huu mjadala warusi wakiachwa wenyewe kwa muda mrefu wanajisikia kuwa hawapo vitani hivyo kupotea kwa waukraine kabla ya vita kamili kuisha kunasababisha maswali ya wako wapi wako wapi yawe mengi. kp kipanya44 na wengine Proved msipotee, warusi wanawahitaji ili wajisikie wapo field. 🙂🙂
 
Hizo Leopard kuna nchi wanazo mfano Poland ila hawawezi kupeleka bila ruhusa ya Ujerumani kimkataba.

Huenda kuna mambo mengine yanayofanya Ujerumani kusita kama kuonekana kama sehemu kamili ya mzozo (kufanya mzozo kuchukua uelekeo mpya ambao unaweza kumgharimu ).

Ila kama Uingereza imeanza kupeleka 'Challenger' zao huenda Ujerumani naye akafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…