Yaani mtengenezaji (Sukhoi Bureau) anasema zinaweza kutumika wewe unasema haziwezi!!!Hakuna missiles za internal weapons bay zilizo operational kwa Su-57. Huwezi tumia R-77 hii hii inayotumika kwenye Mig-29 ukaiweka kwenye internal bay. Size zinakuwa tofauti na launch mechanism inaweza kuwa tofauti.
Wafanye design, testing na iwe accepted ndio iwe operational. Kumbuka tunazungumzia ndege stealth ambayo imekuwa introduced December 2020, haiko matured project hii. Vitu vingi bado vinakuja.
Wanafanya modernization ya R-77 wapate K-77M. Ndio yaleyale huwa nakataa humu kuiita iPhone 7 na iPhone 13 kitu kilekile kisa jina linatanguliwa na iPhone- ***.
Kwenye source yako kuna "Su-57 fighter will have ..." sijui ni kauli ya lini. K-77M na hiyo missile nyingine inabidi ifit namna hiiView attachment 2491536
Na R-77 ndio hii hata variants nyingine kwa ajili ya non stealth jet hazina tofauti sanaView attachment 2491535
Na configuration ya Su-57 kutoka kwa Sukhoi ni hii. Hapo kwenye wings kuna bays ndogo za missiles nyingine ndogoView attachment 2491534
Kwa iyo wewe ujanua mambo ya mabomu kuliko WaRUSI wanaotengeneza silaha na Dunia nzima wanatumia.Hakuna missiles za internal weapons bay zilizo operational kwa Su-57. Huwezi tumia R-77 hii hii inayotumika kwenye Mig-29 ukaiweka kwenye internal bay. Size zinakuwa tofauti na launch mechanism inaweza kuwa tofauti.
Wafanye design, testing na iwe accepted ndio iwe operational. Kumbuka tunazungumzia ndege stealth ambayo imekuwa introduced December 2020, haiko matured project hii. Vitu vingi bado vinakuja.
Wanafanya modernization ya R-77 wapate K-77M. Ndio yaleyale huwa nakataa humu kuiita iPhone 7 na iPhone 13 kitu kilekile kisa jina linatanguliwa na iPhone- ***.
Kwenye source yako kuna "Su-57 fighter will have ..." sijui ni kauli ya lini. K-77M na hiyo missile nyingine inabidi ifit namna hiiView attachment 2491536
Na R-77 ndio hii hata variants nyingine kwa ajili ya non stealth jet hazina tofauti sanaView attachment 2491535
Na configuration ya Su-57 kutoka kwa Sukhoi ni hii. Hapo kwenye wings kuna bays ndogo za missiles nyingine ndogoView attachment 2491534
Usipende kupayuka payuka ovyo kama vile kila kitu unakijua wewe Dunia mzima.Hakuna missiles za internal weapons bay zilizo operational kwa Su-57. Huwezi tumia R-77 hii hii inayotumika kwenye Mig-29 ukaiweka kwenye internal bay. Size zinakuwa tofauti na launch mechanism inaweza kuwa tofauti.
Wafanye design, testing na iwe accepted ndio iwe operational. Kumbuka tunazungumzia ndege stealth ambayo imekuwa introduced December 2020, haiko matured project hii. Vitu vingi bado vinakuja.
Wanafanya modernization ya R-77 wapate K-77M. Ndio yaleyale huwa nakataa humu kuiita iPhone 7 na iPhone 13 kitu kilekile kisa jina linatanguliwa na iPhone- ***.
Kwenye source yako kuna "Su-57 fighter will have ..." sijui ni kauli ya lini. K-77M na hiyo missile nyingine inabidi ifit namna hiiView attachment 2491536
Na R-77 ndio hii hata variants nyingine kwa ajili ya non stealth jet hazina tofauti sanaView attachment 2491535
Na configuration ya Su-57 kutoka kwa Sukhoi ni hii. Hapo kwenye wings kuna bays ndogo za missiles nyingine ndogoView attachment 2491534
Huyu mnyeto anachojua kutengeneza ni hiki tuKwa iyo wewe ujanua mambo ya mabomu kuliko WaRUSI wanaotengeneza silaha na Dunia nzima wanatumia.
tuambie weww ushawahi kutengeneza silaha gani?
Maana ili ubishane na warusi basi lazima na wewe uwe unajua kutengeneza ivi vitu.yani warusi waseme inatumia missile furani, alafu weww hupo huku unasema haiwezekani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi wewe mzima kweli.
Unapata wapi ujasili wa kuwabishia Warusi.wewe kapuku mmoja ubishane na waliotengeneza ndege.ulienda wapi kuona iyo size na missile kwenye iyo ndege.ebu jaribu kuwa muelewa sio kila kitu kubisha tu ili watu wakuone unajua kila kitu.
Linalingana na ghorofa .Abram tank ya mchongo,
Huko Iraq wameivuruga Sana[emoji38][emoji116]View attachment 2492353View attachment 2492356
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Biden atasema na iskander akiwa pale pale PentagonTatizo la wamarekani wanadhan Russia Ni Japan, kwamba wakipiga nyuklia watanywea.
Russia ya Putin ukibipu wanakupigia[emoji4][emoji123]
Exactly, urusi Kwa Sasa anajiweka sawa , maana anajua wazi kwamba kichapo chake hakiko mbali ,Vifaru haviendi kimkakati. Kuna habari vile vifaru vyao kwenye snow vinateleza na kubiringita kama funza. So wanabuy time ili ikiwezekana baada ya msimu wa baridi wapeleke silaha za kufika Hadi Moscow. Ndio maana warusi wanajaza airdrfence kwenye magorofa.
Jamaa wanapewa kisago balaa kwa kweli..,ndio maana Huwa tunaamua kuwapa airtime pro Russia Kwa kuwaachia jukwaa Ili angalau wajipoze na maumivu ya hivi vichapo [emoji28]Kenge wa Russia wanakaangwa vibaya huko frontline endeleeni kuleta articles za telegram
Nipo mkuu,niliamua kuwapa airtime mjimwayemwaye kidogo [emoji28]Kipanya kategwa mkate wenye sumu kafa
Wakati huohuo wakubwa wako wa mataifa unayo yategemea wanalia liaJana walichinjwa warusi 720, maombi yenu kwa warusi yasikome wakuu..,in fact wanachinjwa kwa idadi kubwa isiyoelezeka,hii vita imekuwa Janga kubwa sana kwa askari wa urusi 🥱🥱View attachment 2492452
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nakazia hapo [emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]Kenge wa Russia wanakaangwa vibaya huko frontline endeleeni kuleta articles za telegram
KP titafutie vunjo na mavideo yake atuoneshe warusi 720 walipochinjwaJana walichinjwa warusi 720, maombi yenu kwa warusi yasikome wakuu..,in fact wanachinjwa kwa idadi kubwa isiyoelezeka,hii vita imekuwa Janga kubwa sana kwa askari wa urusi 🥱🥱View attachment 2492452
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanalialia huku wakiendelea kumshikisha adabu mrusi,ogopa kugombana na mtu hambaye anakurushia ngumi huku akibubujikwa na machozi..,watu wa aina hiyo Huwa hawarudi nyuma, ukiona unapigana na mtu mwenye Hali hiyo,kama ukipata nafasi ya kukimbia kimbia tu ndugu yangu [emoji28][emoji16]Wakati huohuo wakubwa wako wa mataifa unayo yategemea wanalia lia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo atazidi kuwaongezea maumivu tu ndugu yangu,nimemwambia atulie huko huko kwanza, maana akija hapa warusi wanapata matumbo joto[emoji28]KP titafutie vunjo na mavideo yake atuoneshe warusi 720 walipochinjwa
DuuuAbram tank ya mchongo,
Huko Iraq wameivuruga Sana[emoji38][emoji116]View attachment 2492353View attachment 2492356
Lete link tujisomee wenyewe si una edit graph lako huko na kutuma hapa.Jana walichinjwa warusi 720, maombi yenu kwa warusi yasikome wakuu..,in fact wanachinjwa kwa idadi kubwa isiyoelezeka,hii vita imekuwa Janga kubwa sana kwa askari wa urusi 🥱🥱View attachment 2492452
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni lini mliwahi kuamini takwimu za warusi wanavyochinjwa huko front line? Hata mkiletewa reliable source hamkawii kusema propaganda [emoji848][emoji848]Lete link tujisomee wenyewe si una edit graph lako huko na kutuma hapa.