Vuta subra kidogo mkuu..,iyo million mbili nafikiri itafikia katikati ya mwaka ujao .,kwa Sasa nawapa idadi halisi ya wale hambao tayari wamechinjwa[emoji23][emoji23][emoji23] mi nilijua kashafikisha milioni 2.mbona anazidisha kidogo kidogo sana
Hahahahahaah wanabembeleza kijanjaTutaendelea kupiga izo sehemu mpaka Dunia ifike mwisho.hatujaja Ukraine kwa ajili ya mazungumzo[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2494284
[emoji1787][emoji1787]aisee sinamazoea ya kukomenti kwenye huu uzi but this is peace of sh*.?"t. Hii vita imekuwa ngumu sana Zelensk, if you can't fight them join them please!!.View attachment 2494272
Ukiona adui anachagua pa kupigwa kashakubali matokeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imeshapalyse wakati inaendelea kuwachinja warusi?[emoji848] Masihara haya..,huyo unayesema kapalalyse kamfanya super pawer mpaka anaokoteza mpaka wafungwa magerezani na kuwapeleka front line [emoji28]Sasa hivi Ukraine imesha paralyse.
Ukrain hawana resources (Vifaa vita, Troops, Finance, information), za kuweza ku match na Russsia kwenye uwanja wa vita.
Kinachotokea sasa hivi ni kwamba wameshazidia kwenye kila fronts.
Pia, Governance structure ya Ukraine imesha collapse na ndio maana ishu za wizi zimekuwa kubwa sana.
West lazima pia wawe concern kuhusu accountability ya Military assets zao wanazopeleka. Its not just open cheque.
West wanachofanya sasa hivi ni kutafuta exit strategy ya huu mgogoro.
Mkuu, husikii watanzania wenzetu wakichinjwa huko Ukraine wakimpigania huyo super pawer?? Urusi kaelemewa mpaka anatafuta msaada wa waafrika.., nawashangaa warusi wa buza wanaishia kupigana Nyuma ya keyboard badala ya kuongeza nguvu front[emoji1787][emoji1787]aisee sinamazoea ya kukomenti kwenye huu uzi but this is peace of sh*.?"t. Hii vita imekuwa ngumu sana Zelensk, if you can't fight them join them please!!.
Daaah nawaonea huruma sana Ukraine Putin anaroho ngumu sana.
Na kazi ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky ni kuendelea kuwachinja warusi Kwa wingi kadri wawezavyo.., mpaka Pale warusi wenyewe watakapopata akili.., maana kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni [emoji16]Tutaendelea kupiga izo sehemu mpaka Dunia ifike mwisho.hatujaja Ukraine kwa ajili ya mazungumzo[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2494284
Kenge wewe ulijua Himmars inapiga kama gurunet za mrusi ile inatafuta target iliyoshiba kama pale kwenye lile jengo mlipokuwa mnakula xmas mkakaangwa kama 600 hivi au kwenye ammunition depot ndio inapiga na madaraja haishambulii watu wa 3 au kifaru kimoja.Mbna mliosema himars inaenda kumaliza Vita [emoji38][emoji38][emoji38]Sasa mnasema leopard ndio suluhisho naona hiyo Vita wiki ijayo itakuwa imeisha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaani Russia anatupatia watu wake furaha[emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632][emoji632]
Nasikia kina mpaka casino ndani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata wachinjwe sisi ni kuminya vitufe vya mabomu tu hadi nato isujuduKwa taharifa yako tu ni kwamba warusi 700 kasoro 10 walichinjwa ndani ya saa 24 zilizopita,Sasa hapo sijui nani anamkunguta mwenzie[emoji28]View attachment 2494285
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Amka ndotoni mkuu..., dollar haikuwa hivi ilivyo kirahisi, hivyo usifikiri anguko la dollar litatokea kirahisi vilevileNaona anguko la dollar
View attachment 2494327