Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Alisikika mama chale baada kushiba Dona na maharagwePunguza hasira hata Urusi ilisaidiwa vifaa na Marekani wakati wa WWII, Marekani ni Baba mwenye huruma[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2495308
Nimeelewa ila Sema wewe umeamua kujizima data makusudi kunielewa!Nadhani hujaelewa! Rudia tena kusoma nilichoandika
Jikusanyeni tena muone kama hamkuchomwa kama kumbikumbiKwahiyo himars zinafanya kazi mpaka watu wakusanyike kwenye sherehe?[emoji3],Battle field vipi?
Halafu hata hiyo figure ni questionable maana Urusi kasema hivi,huku Ukraine anasema hivi?Nani wa kuaminika?
Alisikika Mama Bhoke baada ya kupigwa muhogo wa Jang'ombeAlisikika mama chale baada kushiba Dona na maharagwe
Kuwa objective basi maana Naona kama unaanzisha kitu halafu unajizima data!Kwani kule Ukraine US kapeleka manpower,si anapeleka silaha tu,tena hata sio silaha za maana kihivyo kama ambazo USSR ilisaidiwa. USSR ilipewa karibu ndege 10,000. Ukraine Leo haijapewa hata ndege moja,hata long range missiles hawajapewa.
Sasa Himars imepiga AD ngapi huko Ukraine?Unajua kwanini Israel hata Urusi ampe Iran S300 achilia mbali S400?Jikusanyeni tena muone kama hamkuchomwa kama kumbikumbi
Kazi ya Himars
Hyo Podlet K-1 ni radar ya S-400 AD yenu pendwa
Abandoned and visibly damaged advanced russian radar 48Я6-К1 aka «Podlet K-1» - used to detect low-flying aerial targets.
This is another piece of russian equipment left on Chornobaivka airfield, captured by Ukrainian defenders.
Hizi tanks mbona zimekuwa mjadala sana jamanii, kuliko?? [emoji23][emoji28][emoji28][emoji16]Dawa ya hizo Tank ipo jikon ni swala 3 - 7days vitakuw gereji
NATO na EU wapo tiari kuzikwa?West wanachofanya sasa hivi ni kutafuta exit strategy ya huu mgogoro.
Huko juu umeanza vyema ila hapo umemaliza vyema zaidi
Jamaa wanataka kuchoropoka ila wanajiwaza watatokaje wakiondoka ushawishi wao utaporomoka kwanguvu zaidi ya unavyoporomoka sasa
Wakibakia wanazidi kuumia ila wacha tuone khatma ila SMO ikiendelea hv hv basi NATO na EU kama sio kimoja basi vyote tutavizika kwenye kaburi la sahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukichwa tuwili tu mnapiga yowe wakati Ukraine anawalamba Hadi vichwa vya warusi zaidi ya 900 kwa saa 24 tu[emoji16]Tunafyeka vichwa vyote vya NATO na vichwa vitakavyoenda kuendesha leopard navyo havitarudi.View attachment 2495051
Kuwa objective basi maana Naona kama unaanzisha kitu halafu unajizima data!
Unafananishaje world war 2 na hii SMO ya Russia Ukraine?World war 2 US hakutoa msaada Bali walisaidiana na Soviet kummaliza Hitler!Hitler alitaka kuitawala Dunia!Ndio maana nasema,US alichangia silaha Kiasi Kwa Soviet na Soviet akatoa manpower!
Bila Russia huenda vita hivyo visingeisha vilipoishia!
Unafanyaje comparison hapo?
WW2,Soviet na US walikuwa na common enemy!
Ambacho hapo huelewi ni Nini?
Sasa Himars imepiga AD ngapi huko Ukraine?Unajua kwanini Israel hata Urusi ampe Iran S300 achilia mbali S400?
Vipi hizo AD zote za west bazo Ukraine wamekiri kuwa hazina uwezo wa kutungua makombora ya Russia?
Mmeshaambiwa duniania hakuna [emoji817]% AD lakini Russia has got the best!
Makombora mangapi ya himars yamekuwa intercepted na AD za Russia?Huu mjadala wa AD hatutafika popote,muda ni utajibu!
HIMARS siku zote si mlikuwa mnasema hazijafanya chochote huko front line?? Leo hii mnaanza kuzisifia Ili mtumie mgongo huo kuviponda vifaru hambavyo viko njiani ,sio? [emoji16]Kwa habari yako kutumia vifaru kuipiga urussi ni kichekesho cha mwaka urussi ni hatari kwenye kulipua vifaru ndiyo maana ukrain iliteketezewa vifaru vyake karibu vyote ndani ya siku 30 tu ...hivyo vifaru havifikii uwezo wa himars hata kwa asilimia 10 tu
Umelizwa ni lini islaer amekuwa mchambuzi rasmi wa vita ya urusi na Ukraine unaishia kubwabwaja tu[emoji28]Uzuri nilikupa angalizo la kuepuka kuokoteza data kutoka sources ambazo sio reliable!Naona zinakupa faraja ndio maana unaendelea kufanya hivyo!Ila data hizo kama ni za kubumba hazibadili chochote ground!
Mwisho wa siku utakuja kuumbuka na utaikimbia ID Yako[emoji3][emoji3][emoji3]!
Upande wa data za Israel Kwa vifo upande wa Ukraine zinaendana na alichosema yule mama boss wa EU mpaka Zele akachukia!
Ila data za Israel upande wa vifo vya Russia,zina relate Kwa kiasi kikubwa na data alizowahi kutoa Russia!
Kama urusi alivyokuwa anasingizia Ile mifumo ya ulinzi wa anga iliyotumwa Syria kwamba wasyria hawajua kuzitumia.., kumbe mifumo yenyewe makopo tu [emoji2]Tena tunataka hivyo vifaru vije na wanajeshi wa hizo nchi wasije wakasingizia kuwa ukrain hawajui kuvitumia [emoji1787][emoji1787]
Ndio maana nasema unaanzisha mjadala halafu Mwishowe hutaki kujadili facts badala yake unaweka mipasho na maneno ya kanga!Punguza makasiriko,mnalalama Sana kuhusu silaha zinazopelekwa Ukraine ndio maana nikakwambia mtulizane maana hata Baba yenu Russia alishasaidiwa silaha na Marekani ikiwemo ndege za kivita,Meli vita, mabomu,chakula,madawa,nk kipindi anapigana na Hitler kwahiyo acheni kujizima data mnapolalama wakati Baba yenu mwenyewe alishasaidiwa na The might [emoji1258] wakati anapokea kisago toka kwa wajerumani.