Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Uzuri wa lile jeshi la Ukraine linarudi nyuma Kila jogoo akiwika,,nnachojiuliza watarudi nyuma mpaka wapi?Sorry mpaka sasa mmechukua heka ngapi urusi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nasema.. Tatizo la akili ni kubwa sana . .. Pardon my Swahili!!.. Nimesoma SAUT (Saint.Augustine of Tanzania).. kabla ya matawi yote moanayo Leo.. na pale kulikuwa na masomo ya lazima ..ukifeli HAUTOBOI ... 1) Social Ethics, 2) Logic and Reasoning, 3) Philosophy and 4th African Religion..... Na ni chuo Cha kanisa..... Yaani ukitoka pale.. umeiva... Kuna watu wanayumba tu... Hawana uelewa wanaongea tu... FATHER KITIME ndio alikuwa kiongozi wangu wa mwisho...T-14:Amarta inapiga mpaka 5km ...Swali sasa huyo wa 3k yenu NATO na 5km ya Russia nani ataanza kumuona mwenzake!!??
Ngoja nimtaftie ushahidi asije bishaDirect confrontation btn NATO and Russia is World War III something that WE MUST STRIVE TO PREVENT
- Joe Biden
Am Historian and economist ... Besides am cooperative office ..Senior... Militarily trained... nawachora tu...kasomeni kitabu Cha ..Sun Tzu "Art of War"... NATO hawana na la kufanya ...T-14:Amarta inapiga mpaka 5km ...Swali sasa huyo wa 3k yenu NATO na 5km ya Russia nani ataanza kumuona mwenzake!!??
Ushahidi huu auoneDirect confrontation btn NATO and Russia is World War III something that WE MUST STRIVE TO PREVENT
- Joe Biden
Wacha ushabiki kuwa objective don't use the past as the present,hii vita inapigwa angle nyingi sana physically Ukraine mbuzi wa kafara na hii vita Urusi ndo anashinda. Tukija kwenye angle ya kiuchumi.Mkuu tafadhali jaribu kuumia mantiki kidogo pamoja na elimu! Bila shaka kila mwanajeshi mwenye akili anaogopa kuingia vitani maana ni hali mbaya. Ila ukidokeza Vita Kuu - Marekani inajua vema urusi isingeshinda Ujerumani pekee yake bali kwa ushirikiano na Marekani na Uingereza. Urusi ilipokea wakati ule kutoka Marekani:
Mbali na kutisha mataifa madogo jeshi la Kirusi lilijaribu vita ya Afghanistan - ambako lilishindwa. Dhidi ya taifa ndogo ya Chechniya walipigwa mara ya mwaknza na mara ya pili walisaidia kwa msaada wa sehemu ya Wachechen wenyewe....
- 400,000 jeeps & trucks
- 14,000 airplanes
- 8,000 tractors
- 13,000 tanks
- 1.5 million blankets
- 15 million pairs of army boots
- 107,000 tons of cotton
- 2.7 million tons of petrol products
- 4.5 million tons of food
Na sasa Ukraine wanonyeshe uwezo mdogo.
Unaamini kweli jeshi la kisasa linatishiwa na hao Warusi??
(wote wanawaangalia kwa tahadhari kwa sababu bado wana silaha za nyuklia, si sababu nyingine. Urusi si China, mkuu)
Wataendelea kuliwa vichwaUzuri wa lile jeshi la Ukraine linarudi nyuma Kila jogoo akiwika,,nnachojiuliza watarudi nyuma mpaka wapi?
Time will tell soonerMwamba ni ule Aliye Isambaratisha UNITED SOVIET SOCIALIST REPUBLIC!
or U.S.S.R Bila hata risasi moja kupigwa!
Huyu mandonga Ukreine imemshinda hata aibu hana kupiga raia na makombora ya cruise![emoji56][emoji31][emoji33][emoji33]
We uliyesikiliza weka linksLeo umesikiliza BBC au DW kweli?? Msemaji wa Ikulu ya Kremlin kasema kwamba mwenye uwezo wakusitisha vita ya Ukraine na Russia ni Biden! Lakini Russia wanashangaa Biden kila siku anapeleka vifaa vya kijeshi!!
Nalalamika au sio! Ha ha. Hapo nimejaribu TU kumwelewesha mtu asiyeelewa Kwamba kifaru hakina uwezo wa km 500+ kurusha komboras. Kuna mtu anadai Kwamba max range Ni uwezo wa kurusha makombora.Mkuu tafadhali soma vema yale unayoona na jaribu kuyaelewa kabla hujalalamika! Maelezo yale hayahusi mzinga wa kifaru bali upeo wa kifaru chenyewe, maana kwa kujaza mafuta mara moja inaweza kwenda kilomita 500. Hii ni barabarani, ikipita kwenye matope bila njia, umbali unapungua, chini ya nusu.
Ila russia bado ipo..........ile ilikua battle tu ila vita haijakwisha.........Mwamba ni ule Aliye Isambaratisha UNITED SOVIET SOCIALIST REPUBLIC!
or U.S.S.R Bila hata risasi moja kupigwa!
Huyu mandonga Ukreine imemshinda hata aibu hana kupiga raia na makombora ya cruise![emoji56][emoji31][emoji33][emoji33]
Kwahiyo shell moja ya Abrams inafika Moscow?hutaki ?