MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Kule visiwa vya Falk Karibu na Argentina kwenye bahari ya Atlantic mwingereza anafanya nini?Umoja wa Kisovyeti ulikuwa Urusi pamoja na koloni zake zote. Urusi wa Leo bado ni Urusi pamoja na koloni nyingi katika Asia KAskazini na milima ya Kaukazi walizoiba katika karne tatu zilizopita. Waingereza waliondoka katika koloni zao, Warusi wamebaki.
Jamani kuongoza taifa kubwa lenye maadui kila kona ni tofauti kabisa na kuongoza kayaUso wa putin unaonyesha hana furaha kama zamani tatizo nini?????Au kuongoza vita ni kazi inayochosha roho na mwili???
MKUU hata ulete maandiko gani tutasimama na RUSSIA mpaka mwishoUnamuona Mungu babu yako mzaa mama eeh?!
Mtu gani usie jua la Dhara wa la Maskhara?? Watu wasio na viumbe wasio hatia wanakufa ww unamshabikia putin!?
Utavuna upesi!
[emoji116][emoji116]
Torah.28
15 Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.
16 Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani.
17 Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,
20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.
21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.
23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.
25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.
27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.
28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;
29 utakwenda kwa kupapasa-papasa mchana, kama apapasavyo kipofu gizani, wala hufanikiwi katika njia zako; nawe sikuzote utaonewa na kutekwa nyara, wala hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
30 Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
31 Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako, usile nyama yake; utanyang'anywa punda wako mbele ya uso wako kwa jeuri, usirudishiwe; kondoo zako watapewa adui zako, usipate mtu wa kukuokoa.
32 Wanao na binti zako litapewa taifa lingine, na macho yako yataangalia, na kuzimia kwa kuwatamani mchana kutwa; wala hapatakuwa na kitu katika uwezo wa mkono wako.
33 Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;
34 hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo na macho yako, utakayoyaona.
35 Bwana atakupiga magoti na miguu kwa jipu lililo zito, usilopata kupozwa, tokea wayo wa mguu mpaka utosi wa kichwa.
36 Bwana atakupeleka wewe, na mfalme wako utakayemweka juu yako, kwa taifa usilolijua wewe wala baba zako; nawe huko utatumikia miungu mingine ya miti na mawe.
37 Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza Bwana.
38 Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.
39 Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.
40 Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.
41 Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.
42 Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.
43 Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.
44 Yeye atakukopesha, wala wewe usimkopeshe; yeye atakuwa ni kichwa, wewe utakuwa mkia.
45 Na laana hizi zote zitakujilia juu yako, zitakuandama na kukupata, hata uangamizwe, kwa kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, kushika maagizo yake na amri zake alizokuagiza;
Kwani na wewe pro upinde mbona mbona umewaka,,Naona mnautangaza sana ili iweje...
Utafiti unasema wanaotaja mara kwa mara hiyo ishu wengi sio Real Gentleman...Kwani na wewe pro upinde mbona mbona umewaka,,
Binadamu anaejutia maamuzi yake.Pamoja na masilaha yake yote kutoka NATO vado hali ni mbaya.Mkuu huyu ni zelensky sio putin ona sura ilivyo vurugwa pole kwa kuchanganyikiwa View attachment 2500594
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Utafiti huo umefanywa na nani labda na mie nipitie huko,,, na wewe unakubaliana na hilo,,, kwamba wanavyotulazimisha tunyanduane wanaume kwa wanaume kisa tu eti kila mtu ana uhuru wake,, sie tukae kimya na tukipiga kelele sie sio real gentlemen?? Za kuambiwa changanya na zako!!!Utafiti unasema wanaotaja mara kwa mara hiyo ishu wengi sio Real Gentleman...
Tukipiga kelele au kuandika ni kukubaliana nao ni kuwaacha hao wapuuzi MkuuUtafiti huo umefanywa na nani labda na mie nipitie huko,,, na wewe unakubaliana na hilo,,, kwamba wanavyotulazimisha tunyanduane wanaume kwa wanaume kisa tu eti kila mtu ana uhuru wake,, sie tukae kimya na tukipiga kelele sie sio real gentlemen?? Za kuambiwa changanya na chako!!!
Acha ujinga wwWalio panga kuivamia Ukreine, walio amrisha kuivamia Ukreine, walio ivamia Ukrene, na wanao shabikia kuvamiwa Ukreine Na kuuawa Watu na Viumbe vingine visivyo na hatia...LAANATULAAH!!! HAO WOOTE NI FINNAR JEHANNAM HALIDINA FIHA ABADAN [emoji91][emoji91][emoji35] TUTÙBWI HAWATATOKA HUMU ASILAN
Alokwambia kama RUSSIA anashida yakumshauri mtu awe upande wake nani"The Art and Power of War is to influence others to join your fight"
Mark Arthur.
Hii ndio Sera ya Marekani. Kama hauwezi kuwashawishi wengine kuungana na wewe kupigana Vita Basi you are weak.
Kuwashawishi wengine kupigana bega kwa bega na wewe Ni Nguvu kubwa Sana. Ndio maana unaona Urusi imeshindwa kuishawishi hata Beralus kupigana upande wake.
Mbona Kenya inasumbuliwa na Alshababu, mkusanyiko wa wanamgambo (wenye njaa kwa miongo miwili) hatusemi? Vp kama ingekuwa na na jeshi kamili la Somalia?
Hivi kwa unyama huu wa ukraine pro ukraine mnauteteaje?wanajeshi wa nato wamejiunga na jeshi la ukraine kupambana dhidi ya urusi.Active Duty NATO troops found beheaded and hands cut-off in Soledar Ukraine
30 JANUARY 2023
Russian troops making successful progress into Soledar, Ukraine, are coming upon hideous scenes. Former ACTIVE-DUTY NATO TROOPS, with their HEADS and HANDS CUT-OFF to prevent/Delay their identification. Ukraine is desperate to conceal NATO active troops fighting Russians.
The brief video below contains horrifying and graphic images of the dead bodies of NATO active duty troops, beheaded and without hands. The video shows gruesome and horrifying images of actual death. Viewer discretion is strongly advised:
Making it all the more horrible, the Russian forensic examiners reveal these troops WERE ALIVE when their heads and hands were cut off. Pooling of blood from the wounds makes clear the hearts of these men were still pumping when their heads and hands were cut off. This seems to indicate the Ukrainians MURDERED the active-duty NATO troops so they could not be captured alive, which would prove their active duty status!
Whether or not the men were alive when they were beheaded and behanded, the hideous reality is that Ukraine did this to prevent identification of these men as ACTIVE NATO TROOPS . . . active duty NATO troops being in direct war, fighting against Russia.
For months, NATO mouthpieces have repeatedly denied they are active participants in the was. This video gives lie to those claims.
UPDATE 6:35 AM EST --
Troops from the Russian Private Military Contractor "WAGNER PMC" have found similar beheaded troops in Bakhmut. They managed to identify the troops from their cellular telephones. In Bakhmut, the troops were from Poland and . . . . . . . . . Israel.
Ni lini Urusi ilisema imeishiwa silaha na kuhitaji kutoka Kwa akina china?Sahihi kabisa...... Urusi kashindwa kuishawishi China mshirika wake kumpatia silaha za kisasa.