Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
Utafiti unasema wanaotaja mara kwa mara hiyo ishu wengi sio Real Gentleman... !!!!!;🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utafiti unasema wanaojifanya kuwapondea sana wapenzi wa jinsia moja hasa mashoga ndio wanaoongoza kwa kuwafanya wanawake zao kinyume na maumbile!!Especially ukanda huu wa pwani ya afrika mashariki na viunga vyake!!
Mbona sasa watu wanaopinga ushoga ndio hao wanaowanyandua wanawake zao kinyume na maumbile kaka????Hasa ukanda huu wa pwani ya afrika mashariki na viunga vyake kaka?????Utafiti huo umefanywa na nani labda na mie nipitie huko,,, na wewe unakubaliana na hilo,,, kwamba wanavyotulazimisha tunyanduane wanaume kwa wanaume kisa tu eti kila mtu ana uhuru wake,, sie tukae kimya na tukipiga kelele sie sio real gentlemen?? Za kuambiwa changanya na chako!!!
Ingia RT umuoneWapi picha ya huzuni?
Ndugu kwani hiyo ndio bendera ya Ukraine?????Mbona urusi wazungu mashoga wamejaa tele kule st Petersburg!!!!Au mashoga wapo ukraine peke yake sheikh???????Siku akicheka nayo uje ufungue uzi,, pro upinde mna tabu sana🏳️🌈,,,,, ivo nao huu uzi
Kama kaweza kuishawishi Iran kuwapa 'drone' kwa nini asifanye hivyo kwa 'China' pia wampe silaha za kisasa zaidi ?.....Ajabu kwa kweli.
Maana haijaonesha hata mara moja kua Urusi kaishiwa silaha.
Angekua ameishiaa na akaomba Kwa akina china nao wakamnyima ndo tungesema kashindwa kuwashawishi.
Lkn Urusi hajaishiwa chochote.
Anampatiaje silaha mzalishaji namba moja wa silaha duniani. Wakenya pambaneni na njaa kwanzaSahihi kabisa...... Urusi kashindwa kuishawishi China mshirika wake kumpatia silaha za kisasa.
Aise,hatari,alafu kuna mtu alikuwa anasa Putin Hana huruma na wananchi wake,anawalazimisha kwenda vitaniEvery male between 20 and 55 years of age to be conscripted in Ukraine—regardless of family status, profession, physical or mental health, or any other consideration.
Lists are to be prepared by every employer, organization, or institution (the document in question concerns the Kiev region specifically). I anticipate the summons will be handed out directly through the workplace as well.
As Roman Donetsky (@donrf22), who posted this document, writes, “the end is near, Ukrainians.”View attachment 2500805
Kwani kujiunga vitani lazma ukapgane?hyo kumuunga mkono kwenye biashara ndio inawauma zaidi westerners maana bila ya china kuongeza manunuzi saa hz vita vingekuwa vimeisha maana hela angekuwa hana kwahyo support anayopewa na china ni kubwa sana ndio inafanya mashoga wanajinyea huko ukraineKama kaweza kuishawishi Iran kuwapa 'drone' kwa nini asifanye hivyo kwa 'China' pia wampe silaha za kisasa zaidi ?.....
Kushindwa kuishawishi China ambaye ni mshirika wake wa karibu kujiunga naye vitani ni udhaifu mkubwa kwa Urusi.
Hhhhhhh ni ujinga tu ndo ulompelekea aseme vileHuyu jamaa katuaibisha waislam [emoji23][emoji23]
Mgen na uislamu wapi na wapi?Hhhhhhh ni ujinga tu ndo ulompelekea aseme vile
Kukosa taarifa ni Tatizo sana mkuu..Ndugu kwani hiyo ndio bendera ya Ukraine?????Mbona urusi wazungu mashoga wamejaa tele kule st Petersburg!!!!Au mashoga wapo ukraine peke yake sheikh???????
Ndio maana tunauliza mkuu tupate taarifa Mkuu!!!Kuuliza ili kupata taarifa sio tatizo mkuu!!Kukosa taarifa ni Tatizo sana mkuu..
Hii SMO aliyoianzisha inamnyima amani ya moyo.Uso wa putin unaonyesha hana furaha kama zamani tatizo nini?????Au kuongoza vita ni kazi inayochosha roho na mwili???
Jamani kuongoza taifa kubwa lenye maadui kila kona ni tofauti kabisa na kuongoza kaya
Wewe upo sahihi nachosema hao warusi na wamagharibi lao moja huwa sipendi kujadili hizo mambo kwa kuwa zinachochea sana kwa kiwango kikubwa na wao wanapenda sana kuona tukijadili hata kama haituhusu ni mpango wao hao wahuni...Ndio maana tunauliza mkuu tupate taarifa Mkuu!!!Kuuliza ili kupata taarifa sio tatizo mkuu!!
Huo ni uoga usiupambe"The Art and Power of War is to influence others to join your fight"
Mark Arthur.
Hii ndio Sera ya Marekani. Kama hauwezi kuwashawishi wengine kuungana na wewe kupigana Vita Basi you are weak.
Kuwashawishi wengine kupigana bega kwa bega na wewe Ni Nguvu kubwa Sana. Ndio maana unaona Urusi imeshindwa kuishawishi hata Beralus kupigana upande wake.
Hivi kutoka Poland mpaka Ukraine vifaru vinachukua siku ngap?[emoji1258][emoji635][emoji1255][emoji779]Russia is preparing for a new offensive, during which it will try to capture all of Ukraine, - NATO head Stoltenberg
UKRAINE inaangamia huku oohooo
Sent using Jamii Forums mobile app