Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo theory inafanya kazi akati unapambana na vitaifa vidogo vidogo. Kutafuta watu wengine wawe na wewe ni weakness. Russia hana mpango wa kumtafuta mwingine, maana alisha fanya hivyo vita vingi tu hapa duniani.

Weakness of USA ndio hiyo ya kuwaingiza wengine katika ugomvi usio wahusu. South Korea wakiingizwa kwenye mkenge huu ujue uchumi wao utaporomoka. Hata hiyo South Korea hana ni sisimizi.

Umeongelea Belarus, Kwanza huu ni utoto. Russia tangu mwanzo anasema hii ni SMO na siyo vita. Sasa amwingine Belarus kwa lengo lipi?
 
Da ! Walaaniwe Mbwa Hawa
Mungu Ibariki Russie
 
Wewe upo sahihi nachosema hao warusi na wamagharibi lao moja huwa sipendi kujadili hizo mambo kwa kuwa zinachochea sana kwa kiwango kikubwa na wao wanapenda sana kuona tukijadili hata kama haituhusu ni mpango wao hao wahuni...
Mzungu hawezi kumpinga mzungu mwenzie!!!Kuna michezo nyuma ya pazia!!!Upo sahii kaka
 
Hawana Utu! Ndiyo maana wanafanya hivyo.
 
Ex-Prosecutor General of Ukraine Yuriy Lutsenko, who is in Bakhmut, warned, that without "maximum mobilization" Ukraine will end. According to him, the situation for the AFU has "changed critically."
Lazima walipe kwa uovu waliofanya
====


Kwa hiyo tumejua aliyetupiga bomu la kibaiolojia miaka ya mwanzo mwa themanini! Tumemjua mbaya wetu, ama sivyo!?
 
Kenya inapambana na magaidi yanayompigania allah, yameahidiwa mabikira hivyo hata ukiyaua kivipi bado hayataisha.
kubali tu jeshi la kenya ni dhaifu katika kupambana na uhalifu, Kusini na katikati ya Tanzania tulivamiwa na magaidi wenye mfungamano na waasi wa dola la kiislamu IS, Jeshi la wananchi wa Tanzania lilichowafanyia hawatakaa wasahau milele.!

Kwa taarifa tu IS waliopo Msumbuji walifurumushwa kutoka TZ na waliosalia ndiyo wakajikusanya na sasa wanawasumbua msumbiji.
 
Ndiyo maana yake hiyo
Kwa mtizamo wangu,
Kwanza kabisa Kuna ishu ya uchumi na priority. Uchumi wa kirusi kwa kutizama Ni Kwamba priority zake kabla ya mgogoro huu.

haikuwa Mambo ya bajeti za kijeshi Bali Mambo mengine unaweza kuona Kwamba kwa uchumi wa usd 2 trillion bajeti ya jeshi Ni 60+ USD billion. Kwahiyo kwa tank ya gharama kubwa kama T 14 ingekuwa Ni kujiumiza zaidi kiuchumi wakati Hakuna kitisho kikubwa Cha usalama.

Pili. Ishu ya prestige( ufahari) T 14 armata Ni ufahari wa taifa la Russia. Na pengine ikibidi inaweza kutumikia dhidi ya maadui wengine na si Ukraine. Hebu fikiria brand-new Kama T 14 ikaingia field na ikalipuliwa kwa javelin ama gunship si Ni hasara?

Nb. Us na Russia Wana miradi ya kijeshi makumi haijakamilika either kwa ukosefu wa fedha ama miradi hiyo kuonekana Haina hadhi ya kuwa serviceable weapons Hapa unaweza kuona kuhusu su 47 Barkut nk. Na kwa US wana delayed aircraft carrier project nk

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kambishie na kumkosoa Mungu Aliye tufunulia hayo bro! Mimi ni mkumbushaji tu!
Nakukumbusha tena! Omba msamaha leo kwa kushabikia uovu wa putin!
Kama unaona upuuzi mimi nimesha kung'uta miguu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…