Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu sijali media za mashariki au kusini najali media bora! Mradi huu wa Urusi unaitwa Luna 25, unapata maelezo mazuri BBC na Wikipedia. Si kuhusu gari wala binadamu.
Ni kupeleka kifaa kitakachotua huko na kuchimba halafu kukusanya mifano ya miamba ya Mwezi na kuipeleka duniani kwa utafiti zaidi. Hapa picha yake.
Ina maana yake, ila hata si gari linalozunguka (kama vile vya China na marekani) wala binadamu.
 
Nikuelemishe tu sehemu Moja,kwenye roketi ambazo zinakuja kutumika Tena hakuna maajabu!Kilichoongezeka ni parachuti tu Ili roketi isianguke free fall na kuharibika!😃😃😃
 
Front line IPO Ukraine mkuu,huna taharifa??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uzi unazunguzia Ukraine. Attachment uliyoweka inaelezea Ukraine. Unaulizwa front line ya maeneo gani unajibu Ukraine! Hapo kweli Mkuu upo tayari kweli wafuatiliaji wa Uzi huu wakupe umakini kweli kwa unayoleta hapa? Nauliza ili nipate uelewa juu ya utayari wako. Asante.
 
Mkuu sijali media za mashariki au kusini najali media bora! Mradi huu wa Urusi unaitwa Luna 25, unapata maelezo mazuri BBC na Wikipedia. Si kuhusu gari wala binadamu.
Ukileta habari hapa na ama kuuliza swali, ujitahidi kujisikiliza ili usijekuwa unawaza kingine kwa sauti wakati huo huo unaandika kingine kwa kelele.

Nini maana ya neno mradi, Mkuu?
===
Ukishajibu, Leta update za kinachoendelea huko front line!
 
Nikuelemishe tu sehemu Moja,kwenye roketi ambazo zinakuja kutumika Tena hakuna maajabu!Kilichoongezeka ni parachuti tu Ili roketi isianguke free fall na kuharibika!😃😃😃
Mkuu nadhani nimeshakushauri kujielimisha kidogo kabla ya kuandika! Basi tekinolojia mpya si parachuti. parachuti ni mbinu uliotumiwa tangu miaka mingi.

Roketi mpya hutumia injini na fueli; baada ya kufikisha mzigo huko juu zinashuka kwa nguvu ya injini halafu zinafika tena kwenye kituo kilichoandaliwa, si kuanguka baharini jinsi zinavyofanya zile kwa parachuti.

Roketi zinazorudishwa kwa parachuti hazina kazi tena. (Ukiona tofauti: taja mifano, majina, tarehe na mahali!!!).
Ona hapa roketi mbili zinazorudi (tarehe 6 Februari 2029) Warusi hawana kitu kama hicho hata kidogo.

​
 
Umshana..kweli kabisa unasema Urusi ni dhaifu kwema mambo ya anga??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Waarabu hawahawa kwamba magari yao yapo hadi mwezini..wanaendesha???Duuh

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Siku zote wanaanzaga kukataa lakini mwisho wa siku wanapeleka.
 
Waarabu hawahawa kwamba magari yao yapo hadi mwezini..wanaendesha???Duuh

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hizo space vehicle zimekuwa zikiwa re used miaka nenda rudi.Issue Ilikuwa Kwa lunch vehicles boosters ambazo katika height fulani zinakuwa separated na space vehicle na kuanguka duniani Kwa free fall!Hizi kazi yake ni kuipa space vehicle initial velocity!Hizi Huwa haziendi space bali Huwa zinajitenga na chombo.

Sasa hizi ndio zinabuniwa mbinu ya kuzifunga parachuti Ili zisiharibike, na juu ya parachuti Kunakuwa na kama kitanzi ambapo baada ya parachuti kufungua, attempt inafanywa na helcopter kudaka kitanzi na Kisha kupeleka sehemu salama Kwa ajili ya kukisafirisha mpaka eneo husika!
 
Waarabu hawahawa kwamba magari yao yapo hadi mwezini..wanaendesha???Duuh

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Samahani, napaswa kujisahihisha: Waarabu wa Dubai hawana gari kwenye Mirihi; wanayo satelaiti inayozunguka Mirihi na kukusanya data za hali ya hewa. Magari huko Mirihi ni MArekani na China pekee. Mwezini kuna magari ya Marekani na China; Warusi waliwahi kupeleka magari mawili ya Lunokhod kwenye miaka ya 1970 lakini hawakurudi (hadi mpango wa kupeleka kituo cha kukusanya miamba kwenye Juni / Julai 2023)
 

Russia’s new Amur rocket to embrace composites, 3D-printing and bionic design​

Science & SpaceApril 23, 2021, 15:58

The new rocket will feature ambitious characteristics that will make it competitive by 2026-2027, the Roscosmos official said​


MOSCOW, April 23. /TASS/. Russian specialists will use composite materials and additive technologies (3D-printing) in the new Amur methane-powered reusable rocket being developed in Russia, Roscosmos Executive Director for Long-Term Programs and Science Alexander Bloshenko told TASS on Friday.

The rocket’s conceptual design is set to be examined in autumn this year, he said.
"The rocket is set to embrace composite materials, additive technologies and the bionic design that makes the structure lighter without detriment to its strength," Bloshenko noted.

The first stage of the rocket’s conceptual designing has been implemented, the Roscosmos official said.
The new rocket will feature ambitious characteristics that will make it competitive by 2026-2027, he added.
Russia’s State Space Corporation Roscosmos and the Progress Space Rocket Center signed a contract in October last year on the conceptual designing of a space rocket system with Russia’s Amur first reusable methane-fueled rocket. The rocket will get a reusable first stage and will be launched from the Vostochny spaceport in the Russian Far East.

In February, Director of the Progress Space Rocket Center (part of Roscosmos) Dmitry Baranov said that the work on the conceptual design of the Amur methane-fueled rocket was due to be completed in the third quarter of 2021. In turn, Bloshenko said in a live broadcast of the Big Space TV program that the conceptual designing would be completed in September.

The Amur is a commercial carrier rocket. With its reusable stage, it will be capable of delivering up to 10.5 tonnes of payload into a low near-Earth orbit compared to 8.5 tonnes carried by Soyuz-2 rockets.
 
CC: MK254 aione kwenye jalada.
 
Stupid Americans and Europeans
Sasa huo ni mfumo alie uzindua elon musk na sio marekani yani marekani Kama nchi bado haina iyo technology technically chini ya federal govt Kama ipo imefika serikalini tu source Ila hii technology bado iko kwa watu binafsi mfano elon musk na makampuni makubwa Kama PsaceX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…