Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani Dombas, Kherson, Doneski na Zaporizia hiyo sio ardhi ya Russia?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mnafiki tu huna lolote we jadili mada ya vita acha kashfa na dhihaka dhidi ya imani nyingine
 
Umshana..kweli kabisa unasema Urusi ni dhaifu kwema mambo ya anga??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Inategemea unavyoilinganisha. Walikuwa mbele zamani, walirudi nyuma, na kwa yote yanayojulikana bado wako nyuma ukilinganisha na Marekani na sasa pia China. Mahandisi wazuri wapo, udhaifu ni hali ya tasnia, athira ya siasa na nguvu ya uchumi wa nchi.

BAdo wanayo vifaa vinavyofanya kazi vizuri, mfano usafiri wa anga wa Soyuz ni chombo kinachoendelea kubeba watu hadi Kituo cha Kimataifa cha Anga bila kasoro. Tekinolojia yake ni ya kale, lakini inafanya
kazi bila hitilafu. Ni kama bodaboda ya angani. Ila vifaa vipya ni tayari, sitegemei kuona soyuz tena baada ya miaka 5 hivi.

Mambo mengi yalioza kwa sababu hawakuwekeza kwa kutosha. Kwa vita hii inayoendelea, wanatengwa na sehemu kubwa ya tekinolojia ya kisasa.

Tutaona!
 
Acha ujinga ww

Kipi kilichokufanya uwatie wenzako kwenye moto?
Ahaa! Kumbe hujui hayo maisha ya dunia yana mwisho na utavuna unacho panda kwa kibri chako eeh!
Mimi sina jehannam ya kuwapa waovu mwenye nayo huyu hapa Atawapokea!
[emoji1427][emoji1427]
وَأَمَّا الَّذِينَ فَسَقُوا فَمَأْوَاهُمُ النَّارُ ۖ كُلَّمَا أَرَادُوا أَن يَخْرُجُوا مِنْهَا أُعِيدُوا فِيهَا وَقِيلَ لَهُمْ ذُوقُوا عَذَابَ النَّارِ الَّذِي كُنتُم بِهِ تُكَذِّبُونَ

[ ASSAJDAH - 20 ]
Na ama wale walio tenda uovu, basi makaazi yao ni Motoni. Kila wakitaka kutoka humo watarudishwa humo humo. Na wataambiwa: Onjeni adhabu ya Moto ambayo mliyo kuwa mkiikanusha.

Mimi nawakumbusha nyinyi wenye kibri cha uzima, mnao shabikia uovu wa putin
[emoji116][emoji116]
Isaiah 5:20-21
[20]Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!

[21]Ole wao walio wenye hekima katika macho yao wenyewe, na wenye busara katika fikira zao wenyewe!

Ezekiel 3:18-19
[18]Nimwambiapo mtu mbaya, Hakika utakufa; wewe usimpe maonyo, wala husemi na huyo mtu mbaya ili kumwonya, kusudi aache njia yake mbaya na kujiokoa roho yake; mtu yule mbaya atakufa katika uovu wake; lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.

Sababu ya Kuwalingania hii hapa!
[emoji1427][emoji1427]
[19]Lakini ukimwonya mtu mbaya, wala yeye hauachi ubaya wake, wala njia yake mbaya, atakufa katika uovu wake; bali wewe umejiokoa roho yako.

A M E N[emoji1374]
 
Kwenye karatasi ya maelezo ni roketi nzuri sana! Tusubiri kidogo hadi mtoto ametoka tumboni, baadaye tuone uwezo wake.
 
Kwenye karatasi ya maelezo ni roketi nzuri sana! Tusubiri kidogo hadi mtoto ametoka tumboni, baadaye tuone uwezo wake.
Sawa,Ile watachofanya Kwa rocket booster Ili ziweze kutumika Tena nilikwambia ni kufunga parachuti!
Then helcopter zinajaribu kuidaka in mid air na kupeleka sehemu salama! Kwa ajili ya kutumika Tena!Hii ndio test ya kwanza iliyofanyika two years ago Kwa kuangusha booster na kujaribu kuidaka!

​
 
Nimegundua unaandika vitu vzr sn Tena kwenye kukubali ukweli unaukubali Tena wazi wazi

Lkn nashangaa upande wa pili wanatoa Lugha za ajabu kujibu hoja zako. Yaani Kwa kifupi ni kwamba wao wanakujb bila facts zozote.

Na Kwa kuongezea ni kwamba ktk hoja zako.

Ukisoma kitabu Cha kitabu Cha Daniel 11 na Ufunuo 13 unaona kuibuka Kwa taifa la US mnamo miaka ya 1798. Na hili taifa kuibuka kwakwe na kua na maguvu yote haya yanatokana na kupewa na Joka yaani shetani.

Na kutokana na kile kinachoendelea sasaivia hii ni battle ya itikadi. Baina ya itikadi ya Ubepari na Ujamaa au ukominist. Na hapa huu ubepari unapambana na huu ukominist au Ukana Mungu ili kuuondoa na kupisha itikadi ya Christology itawale. Na ukisoma maandiko yako wazi kabisa ktk hili na Russia lazima ashindwe. Maana Russia anapigana vita mbili. Vita km vita ktk ardhi ya Ukraine na pia vita ya vikwazo. Na kutokana na mataifa ya magharibi msimamo wao yanataka baada ya Muda fulani Russia awe hajiwezi kabisa ktk vitu vyote. Na Russia Wana deal nae kwsbbu yeye ndio anayo manyuklia mengi kuliko Uchina. Uchina Kwa mataifa ya magharibi ni mwepesi kwao. Hivo wao wanataka kukata kichwa kabisa Cha ukominist Kwa kummaliza Huyu Russia.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Taifa linaloongoza Kwa Uchumi na technology ya angani ni US.

Hili halina ubishi. US tu ndio mfalme wa anga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Safi sn mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 

Mkuu tatizo katika namna yako ya kuangalia dunia ni hilo:
a) Ubepari mtupu labda zaidi kinyume chake, ila kama kila itikadi ya kiuchumi inaweza kutumiwa kwa kuweka masahriti ya kimaadli.
b) Urusi si ukomunisti siku hizi kwa maana ya kukana dini. Lakini ina urithi wa karne nyingi ya udikteta au wafalme wasiobanwa na kizuizi chochote.
 
Ndugu kwani hiyo ndio bendera ya Ukraine?????Mbona urusi wazungu mashoga wamejaa tele kule st Petersburg!!!!Au mashoga wapo ukraine peke yake sheikh???????
Mashoga wako kila nchi mkuu .ila hapa tunaangalia hio nchi serikali inapinga au imehalalisha huo upuuuzi .nchi zote za africa na za uarabuni na nyingine zinapinga ushoga na Ni Kosa la jinai .ila hio Ukraine na nchi nyingi za nato zimeubariki ushoga .
 
Umeniquote Mimi kimakosa!
 
Najua Warusi wanaenda wanabadilika lkn wao ni wakana Mungu ktk itikadi Yao though Hilo taifa ktk miaka ya kale walikua ni waamini sn wa Imani ya Orthodox. Lkn ukominist au Ujamaa ulishamili sn na kua na Ukana Mungu mkubwa km ule ambao ulikua ktk Ufaransa kabla ya mapinduzi ya Ufaransa. So hizi ni itikadi na ziko ktk maandiko na itikadi ya za warusi kupitia maandiko zitashindwa.

Na ukiangalia hii vita pamoja na vikwazo Ubepari na Christology wameungana dhidi ya ukominist.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa hio wanaanzisha vita maksudi ili wauane afu sie tuwajadili? Jamaa angu hata Kama Ni siasa sio kiivyo yaan watu wanauana ili kutuzuga cc🤣🤣afu mbona avatar yako inaonyesha we Ni mkubwa tuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…