Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lakini msijisahaulishe kwamba Us alikuwa amekataa katakata kutuma HIMARS.., ingawaje hatujui hata ni kipi kilitokea..,yaani kulala na kuamka tu tukasikia jamaa wameamua kutuma HIMARS..,Kuna warusi wa buza walileta Uzi hapa wakidai kwamba rais zelensiky alimpigia simu Biden na kumtishia kwamba silaha za HIMARS zisipotumwa huko Ukraine basi zelensiky angeachana na hii vita hambayo ni kama anapigana kwa niaba ya marekani..,kwa mujibu wa warusi wa buza,Biden baada ya kupigwa mkwara na rais zelensiky akaona isiwe kesi, akaaamua kuruhusu HIMARS zitumwe huko Ukraine.

Kuhusu hii vita usiwaamini sana west maana wanachokisema na wanachotenda ni vitu viwili tofauti.., kumbuka hata kutumwa battle tanks huko Ukraine mwanzoni ilionekana kama kitu kisichowezekana kabisa, lakini mpaka Sasa hatujajua nini kimewafanya wabadili mtazamo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Sio rahisi kupambana na mazombi yaliyoahidiwa mabikira na allah almradi yajilipue yakimpigania na kumlinda, hata sisi tungeahidiwa hao mabikira mngetukoma....
 
Mbona unatumia vitabu vya wakoloni kututisha wakati wanaopigana ni hao hao wakoloni. Yaani Mbwa kala Mbwa halafu wewe unatisha wasiohusika.
 
️[emoji635][emoji1093][emoji2407][emoji1255][emoji1250][emoji1238]Lavrov's statements following talks with Egyptian Foreign Minister Sameh Shukri:

[emoji3502]The West prefers to spit on the resolutions of the UN Security Council and switch to the use of military force;
[emoji3502]Poroshenko, Merkel and Hollande frankly admitted that the Minsk agreements were needed in order to prepare a war against the Russian Federation;
[emoji3502]The RF Armed Forces are taking all measures so that the plans of the West in Ukraine do not come true - they will not come true;
[emoji3502]Moscow and Cairo are in favor of an early restart of the Palestinian-Israeli negotiations against the backdrop of the current negative dynamics;
[emoji3502]Moscow supports the Turkish leader's desire to normalize relations with his Syrian counterpart Bashar al-Assad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hawaishi kumuongelea utadhani aliwazalisha watoto kisha akawakimbia na kuwaachia majukumu ya kuwalea na kuwatunza

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wabongo tunapunguzia stress za maisha JF🤣🤣🤣🤣😂😂
Yaani hawaishi kumuongelea utadhani aliwazalisha watoto kisha akawakimbia na kuwaachia majukumu ya kuwalea na kuwatunza [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duh..an .interesting comment...
 
Ushaacha kutukana mdogo wangu Nyonzo!!!Mimi sina kashfa dhidi ya imani nyingine bali nina mawazo huru tofauti na mawazo ya watu wengi ambayo ni mawazo ya kimapokeo!!!
Huna mdogo kama mimi,, unanijua wewe,, mnafiki tu chuki na roho mbaya ndo kilichokujaa hujisikii furaha bila kuleta kashfa na dhihaka kwa uislam utafikiri labda hiyo urusi usiyopenda ni nchi ya kiislam,,, acha unafiki, jadili vita Ukraine/Russia wewe
 

Askari mchelemchele anakula Pizza ataweza mziki kweli??
 
Yaani hii ni Kali mura[emoji38][emoji38][emoji38]


[emoji298]️The Air Forces of the Armed Forces of Ukraine stated that Ukraine needs up to 200 fighter jets to protect the sky.
Ukraine wanatafuta sababu ya kushindwa, walisema HiMARS..wakapewa..Javelin zikaja, vifaru vinaenda..sasa wameona waje na kisingizio cha ndege 200...hivi wako sawa kweli hawa.??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…