Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna tatizo pelekeni uwanja wa Vita mnabweka nn?
 
Papa ndio Nani Ni zwazwa Kama zwazwa wengine
 
Nawaambiaga mara kwa mara hawaelewi.... Ukikimbiza Chizi na wewe ni Chizi pia
 
Bakhmut sasa naona ishanguka maana warusi wanakaribia kufika makao makuu ya mji.

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Ukichek hii map yani kama maji ya bahari yaningia mjini kuharibu miundombinu (WAGNER)
 
Ukichek hii map yani kama maji ya bahari yaningia mjini kuharibu miundombinu (WAGNER)
Kwa Vikosi vya Ukraine vinaonekana vimekata tamaa kabisa ya hii vita.walitegemea mwaka jana kuona Warusi wakiondoka Ukraine.ila matokeo yamekuwa tofauti kabisa Urusi ndo kwanza amezidisha mashambulizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii habari inanenepesha roho yangu😬😬
 
Joe Biden hatakuja kusahau na mwakani uchaguzi yaani hajafanya lolote yaani Ni wa Moto na Ukraine tayari ishakuwa nabitaendelea kuwa Kama Sudan,Kongo jamhuri ya Kati na sehemu nyingine tujiandae kwenda kulinda amani Ukraine Hapo jirani tumechoka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…