Ushaambiwa warusi watu wa kusoma mazingira.Zile mbwembe za misafara ya zana za kivita kuelekea Belarus mbona zimepoa siku hizi,au ni mikwara as usual [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahio ndio mnadanganyana Irone dome zitawaokoa? π€£ Hebu wacha Putin alete vile vifyeka fyeka. Hakuna kenge hata mmoja atakaebaki salama.Tulia kwanza zipelekwe kazini kisha utoe hii coment..,kama watu wenye akili zao wamekaa na kuona umuhimu wa hizo defense system kupelekwa..,wewe mrusi wa bonyokwa ndio unajitia kukosoa ,sio?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuna kipindi Proved hua gia zinaruka. Kama anaamini Eussia alifanya mobilisation kwa kuwa kaishiwa wanajeshi basi ni sahihi pia kuamini kwamba kwa msaada wa siraha ambazo west wanaipa Ukraine basi maghala yao ya siraha yameishiwa kabisa na hata leo ukiwavamia watapigana kwa mawe, fimbo, kucha na menoaisee...kuna watu humu ndani ni either mnajitoa ufahamu au uwezo wenu wa kuchambua mambo ni wa kawaida sana..!!!...kwa hiyo mkuu wewe unadhani...mobilisition alioifaanya Rusia ni kwa sababu askari wake walikuwa wamekwisha...kwa kuuliwa na Ukraine..???
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£ Jidanganyeni. Mtapigika mtembelee magoti, eti mnajifariji!! Nafsi zenu zinajua uhalisia.Hii itasaidia Sana kuharibu 'logistics' supplies za Supa-pawa hivyo kumkwamisha pakubwa mvamizi.
Wafanye kuamua mapema ...wataisha Hapo kama sabuni.Mkuu, kasi ya aina hii unaita maendeleo?? Sawasawa.
BTW: Mimi naona uwezekano kwamba Ukraine wanaweza kuamua kujiondoa Bakhmut wakitafakari kuokoa askari wao (jambo ambalo haliangaliwi upande wa Urusi) na kuacha mji ulioharibika kabisa, pasipo na kitu cha kutetea tena...
AaminNaona Mrusi Anasongambele kwa Nguvu
Mwenyezi mungu Endelea Kuipa Nguvu Urusi na Kuwapa Moyo wa Ujasiri Viongozi wa Urusi wazidi Iokoa Dunia Toka kwa Mafedhuli !
Bakhmut: Russian Army and DPR forces took control over Gypsum mine ALC SINIAT and Hlyniana street at Miasokombinat district.
View attachment 2503055
Ukweli warusi wameondoka ukraine??Hayo ni ya kwako, na lengo lako ni kuuruka ukweli sababu ukweli huo una kuumiza
Kwa hiyo wameshaichukua Ukraine? Wameshamaliza vita?Ukweli warusi wameondoka ukraine??
Hivi unataarifa urusi hajapeleka mwanajeshi hata mmoja frontline, mnahangaaika na wanamgambo tu tena wasio na mafunzo, wamefundishwa short course ya shabaha ya bubduki tu kwa wiki2West wanasema hatutafanya lakini wanafanya, Russia wanatishia kufanya lakini wanashindwa.
Wakikwambia tunamaliza mchezo ndani ya wiki, inawachukua zaidi ya mwaka wakiwa bado wanakata viuno tu.
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Hahah ngumi za hewaniHawana hata ilo wazo la kupeleka ndege maana wanafahamu mrusi ktk ngumi za juu ni mzuri sana
Wamekuwa wachimba mitaro sasa, huyu kamanda wa sasa wa Russia anayeongoza vita vya Ukraine ana mabalaa π π πVikosi vya Ukraine vikichimba mitaro nnje ya mji wa Bakhmut ili kulinda kramatorsk na slaviansk zisianguke kwenye mikono ya Warusi.
Muda wowote kuanzia sasa inaonekana wataondoka Bakhmut centre na kuanzisha ukuta mwingine wa ulinzi.View attachment 2503211