passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Nchi hizo unazoita za kidemocrasia ndo Zinaongoza Kwa kuvamia nchi nyingine ovyoovyo Kwa kisingizio cha kuleta democratic wakati nia Yao ni kuwatoa wasioendana na matakwa yao.saa zingine uwe unanyamaza kuficha ujinga.Russia ingekuwa nchi ya kidemokrasia isingeingia kwenye vita vya kipumbavu kama hivi lakini kwa kuwa wana utawala kama ule wa kina Mangungo hawana namna.
Kwa sababu urusi anazitengenezwa mwenyewe.Korea kaskazini na China, kwa nini hawamsaidii silaa Urusi?
Mademu tuHivi wanagombea nini huko
Urusi atashinda ?Huko kwenye ngumi za juu, mrusi ndiko anakotisha zaidi. Hii vita NATO hawawezi kushinda
👏👏👏👏👍🇷🇺💪Kwa hiyo wewe ndiye unayejua zaidi Mambo ya Vita kuliko mwenzio?!?! Are you a professional soldier or military strategist or even a military specialist?!
Uliambiwa na Russia kuwa Vita ingeisha within a year?! Kwa hiyo inaelekea unazifahamu objectives za Russia kwenye Vita hi?! Kwa hiyo you think Russia alikurupuka na wala hakujipanga kwenye Vita hi?!?!
Kwanini nyie watu mnajifanya wajuaji wa Kila kitu?!
Ni silaha gani ya Vita uliwahi hata kuishika wewe au hata kuiona tu kwa macho?!?! Uliwahi hata kuishika AK 47 au hata G3?! Acheni hizo nyie madogo?!
Russia ameanzisha Vita kwa hiyo kuweni watulivu na kuona kinachoendelea...Nchi zipatazo 50 zinapambana na Russia kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kijamii na kipropaganda ...sisi tusubiri tuone mchezo huo unaishia wapi..
Russia ilijipanga for almost 20 years kwa mpambano huu...sis tusubiri kuona mwisho wake....Nchi zipatazo 50 zinapambana na Nchi moja..uwanja wa Vita ni Ukraine...silaha zinamiminwa huko Ukraine..walimimina javelin hazikufaa kitu...zikaja himmars nazo hola..vifaru kadhaa vya enzi za Soviet Union vikapelekwa kule navyo vikaisha...ndege za enzi za Soviet Union zikapelekwa kule nazo zikaisha...Sasa wameamua vipelekwe vifaru sijui vya Leopard na Abrams na 'wanaume' kwenye uwanja wa Vita wanavisubiri kwa hamu na kuonesha shauku wameahidiwa hata hela wakiviteka au kuviangamiza..Sasa wanazungumzia kupeleka hata ndege za West aina ya F 15/16 nazo zinasubiriwa na mitambo ya S 400 na S 500...Ukraine inaishiwa manpower ya kupigana uwanjani kwa hiyo mobilization ya nguvu huko Ukraine inafanyika ambapo hata walemavu wanawindwa...but this is not reported in the media of the west.. wanajeshi kadhaa wa NATO wako kwenye uwanja wa Vita kisirisiri lakini Mambo bado ni magumu....jeshi kubwa la Russia linajiandaa kwa shambulio kubwa kwenye uwanja wa Vita ...tusubiri tuone yatakayotokea...
Sio mara ya kwanza kupigana walishapigana Alleppo Syria Mmarekani akamkimbia Mrusi baada ya kichapo heavy toka KWA WAGNER Group.
Bila Mrusi,Al baashar asingekuwa Rais Syria, marekani alipanga kumtoa madarakani akasaidiwa na Mrusi kubakia
Ndio maana nasema Russia Ina watu waelewa Sana[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji635][emoji123]
Jibu lenye uchambuzi mfupi lkn murua kabisa.
Mkuu nakushauri kwa Leo usiandike kitu kingine chochote nenda kapumzike home kwako.
Umemalizia Comrade.
Walipeleka migambo yao ya nn !!!?!Mnalishana tu story za matangopori vijiweni.
Marekani haijawahi kuwa na mpango wa kumtoa Dikteta Bashar Al-Assad Syria, waliotoka kumtoa madarakani ni wananchi wake kama ilivyokuwa Misri, Libya, Yemen na Tunisia katika Arab Spring.
Wengi wao wanatoa hoja zisizo na ukweli na hoja ambazo zimejaa chembechembe za ushabiki na wamekaa kujua ukweli na kukataa uhalisia.- fafanua
Wafanyabiasha wanataka kupiga hela.British Army ‘No Longer Top Tier’ Force — US General Warns UK Defense Secretary
UK defense sources have revealed that a senior US general has warned Defense Secretary Ben Wallace that the British Army is barely a “tier-two” fighting force.
One of the sources slammed Rishi Sunak for failing as a “wartime prime minister” unless he takes urgent action to modernize Britain's military by boosting the defense budget by at least $3.7 billion.
The armed forces would reportedly run out of ammunition “in a few days” if fully mobilized and would need up to a decade to prepare a war-fighting division of 30,000 troops.
Subscribe to RT
- toa mfano WA hizo hoja, tuzichambue.Wengi wao wanatoa hoja zisizo na ukweli na hoja ambazo zimejaa chembechembe za ushabiki na wamekaa kujua ukweli na kukataa uhalisia.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kwa mfano kuna mmoja sehemu kasema kuwa Russia ingekuwa ni nchi ya kidemocrasia wasingevamia Ukraine anasahau kuwa hata hizo nchi anazoita za kidemocrasia zimevamia nchi nyingi sana pale walipoona kuwa maslahi Yao yamekiukwa.- toa mfano WA hizo hoja, tuzichambue.
Hata mimi naendelea kujifunza, nimegundua watu wanaoshabikia Urusi ni wenye misimamo mikali ya kidini na wenye chuki na MarekaniNinaendelea kujifunza kuwa watu wanaoshabikia NATO au Ukraine ni watu ambao hawajui kitu.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Basi umejifunza vibaya watu wengi wa urusi ni wakristo na baadhi ya waislamu.Alafu hakuna anayeichukia marekani hata mmoja.Hata mimi naendelea kujifunza, nimegundua watu wanaoshabikia Urusi ni wenye misimamo mikali ya kidini na wenye chuki na Marekani
Wanaoshabikia NATO ni watu wasio na maarifa.Hata mimi naendelea kujifunza, nimegundua watu wanaoshabikia Urusi ni wenye misimamo mikali ya kidini na wenye chuki na Marekani
-kuhusu hoja ya uvamizi, Russia ilishavamia Crimea ikapora eneo la Crimea, wakafanya referendum feki, US imepora eneo gani na kulifanya sehemu ya USA?, japo kweli US sometimes Ina makosa yake kama States nyingine ulimwenguniKwa mfano kuna mmoja sehemu kasema kuwa Russia ingekuwa ni nchi ya kidemocrasia wasingevamia Ukraine anasahau kuwa hata hizo nchi anazoita za kidemocrasia zimevamia nchi nyingi sana pale walipoona kuwa maslahi Yao yamekiukwa.pia wengi wao wanaamini Russia atarudisha maeneo aliyoyachukua,napia wanasema Russia Hana sababu genuine ya kuvamia Ukraine wanasahau Ile nchi ni kubwa Sana yenye majeshi na intelligence Bora hawawezi kukurupuka.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
- Wanachoangalia ni Kuwa anapigana na MSHIRIKA wa US ambaye ni Ukraine, ambaye anaungwa mkono na Germany,UK nk, na Kwa upande mwingine Russia,anaungwa mkono na China, Iran,north Korea nkBasi umejifunza vibaya watu wengi wa urusi ni wakristo na baadhi ya waislamu.Alafu hakuna anayeichukia marekani hata mmoja.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app