Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bdo hao hao nato wamearibu nchi nyingi za kiafrica ...alafu mnaosema sisi pro rusia tuna udini ...kumbukeni hao wamisionary wametoka izo nchi za nato na wakaleta dini alafu hao hao saivi wanataka tuhalalishe ushoga ..afu bdo mnataka tuwakumbatie
 
Ingekuwa hakuna jipya vita vingeisha kwa siku tatu kama dikteta Putin alivyokuwa akiota ndoto na Ukraine ingekuwa koloni la Russia.
Kwanini iishe blaza,,,mbona ikiendelea ndo mrusi anapata advantage nzuri,,,,,ingeisha mapema kuna watu wasingeelewa kinachoendelea ila kwa sasa kila mtu taarifa anayo

Haya yasingetokea kama vita ukraine ingechukua mwezi tu na mambo kurudi kama kawaida..........,,,,vita iendelee tu maana wanaomalizana ni wazungu hatuna hasara na muda unavyozidi kwenda kuna watu washaanza kukata pumzi ndani na nje ya uwanja wa mapambano
 
Aisee watu mnaongea ma pointi Hadi mnatisha.
Umemaliza mwamba.
 
Ukraine angekuwa kajiandaa kwa vita ingekuwa ngumu kwa Russia.
Ni kwamba alishtukizwa ghafla, hakuwa na silaha akaamua retreat...
Kwa sasa Russia hawezi kuja kirahisi
 
Ukraine angekuwa kajiandaa kwa vita ingekuwa ngumu kwa Russia.
Kwa hiyo, Mkuu, unamzidi Bibi Merkel kansela wa zamani wa Ujerumani aliyekuwepo kwa nafasi hiyo Toka mzozo unaanza 2014 mpaka miaka ya hivi majuzi kabla ya kuachia ngazi? Bibi Merkel alisema Ukraine ilijiandaa Toka mkataba wa kuizubaisha Russia wa Minsk ulivyosainiwa.

Pia Mkuu, unamuona Rais wa zamani wa Ufaransa nadhani Bwana Holande anadanganya aliporudia maneno ya Bibi Merkel?

Ukraine hajastukizwa alijiandaa.
 
Ukraine angekuwa kajiandaa kwa vita ingekuwa ngumu kwa Russia.
Ni kwamba alishtukizwa ghafla, hakuwa na silaha akaamua retreat...
Kwa sasa Russia hawezi kuja kirahisi
UKRAINE alijiandaa kwa vita siku nyingi.......! baada ya yote hayo ndipo RUSSIA akaanda SMO ya DE-MILLITARISATION na DE-NAZIFICATION.....!
SMO ilienda vizuri na kweli ingeisha muda mchache na kwa hakika imefanikiwa kwa miwango kikubwa sana.....!

KWANINI OPARESHENI ILIYOTARAJIWA KUISHA KWA SIKU CHACHE IMECHUKUA MUDA MREFU ZAIDI?
Imechukua muda mrefu sababu UKRAINE imeongezewa silaha nyingine , na kila zinapoharibiwa zinaongezwa nyingine tena......! Bado lengo lipo pale pale ya kuharibu kila silaha ziletwazo
 
Kabla ya hao 5000 anaoongeza ungemuuliza kwanza wale laki 200,000 wa awali waliokuwa wakifanya mazoezi mpakani na Ukraine kabla ya uvamizi wameishia wapi? wako wapi?, wale vijana wake wa kirusi waliosajiliwa kwa mtutu wa bunduki wako wapi? wafungwa akiwempo Raymond mtanzania wako wapi?

Juzi mulisema kuna Wagner group hamjakaa sawa mnaleta hao elfu 5., aulizwe bwana putini askari wote hao tokea February 24 wameishia wapi? wako wapi? alikodi kutoka syria wapiganaji wakali zaidi duniani wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…