Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin: "Those who draw countries into a new war and declare this as a fait accompli, those who expect to defeat Russia on the battlefield, must understand that a modern war with Russia will be completely different for them.
 
Itafika muda the so called..'Collective West'... watasanda tu wenyewe...!!!...aisee...hapa nao watabakia na assignment ni kipi hicho Putin atakuja nacho as a response to German & American Tanks..

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Yaani Crimea Inakuuma Sana kuliko Mauaji ya Waafrika wenzio wanaokufa kila uchao hapo tu DRC kwa uovu unaotendwa na US na washirika wake?

Crimea inakuuma sana kuliko Mamilioni ya Watu waliokufa kwa uvamizi wa US kule Iraq.

Crimea inakuuma sana Kulikoni mauaji Rais wa Libya na Walibya kibao waliouwawa na Marekani na NATO.

Vita na madhira mabaya Yaliyotokea Dunia hii yote ni Mkono wa Marekani...Ila unajifanya hamnazo....
 
Kama unaishi Hii Dunia unajua madhila yote tumepitia Hasa Sisi Waafrika Yamesababishwa na Hao mashoga yameua watu wetu kwa maelfu..Yameua Viongozi wetu wazuri akina Patrice Lumumba...Sankara...Chris Hani..Yametuibia sanaaaaa....Na yanaiba Kule Congo na kuleta silaha kwa waasi...central Afrika na kila pembe yanatuibia ....
 
Uraàaaaaaaaa[emoji635]
 
Aliyewafanyia hayo madhila ni pamoja na Ukraine ?....
 
Kwa hiyo mnashabikia Uvamizi wa Urusi huko Ukraine ili kuikomoa Marekani ?......kwamba Ukraine ikiharibiwa nyie ndio mnalipiziwa kisasi na Urusi ?
 
  • wapi nimesema nafurahia sufferings za Africa? Onyesha, nikiposema na kama ulisoma statement yangu ya kwanza ilikuwa ni qualified na sio absolute kuhusu US.
  • Kuhusu Mauaji wa DRC hakuna ushahidi wa Moja Kwa Moja i.edirect evidence kwamba US na its allies wanaunga mkono but Rather walimuonya Paul Kagame aacha kuunga mkono M23.
  • Kuhusu Libya, marekani walikuwa 'wanasema' eti wanaondoa utawala wa kidicteta .
  • halafu hapa Mjadala ni Russia vs Ukraine, na si vingine,
  • Kama Unasema USA and it's allies,ni mbaya Mbona ndiyo TAIFA linaloongoza kwa kutoa Msaada Africa especially Tanzania, US hapa Tanzania Wana Mashirika ya kutoa misaada kama US AID, Uingereza Wana UK-AID, US wanatoa misaada ya ARV, hujawahi kuona miradi imeandikwa 'KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI'?, Mradi wa HIV wa PEPFAR ni WA US huo, miradi ya JICA -japan MSHIRIKA wa US, haya tutajie miradi ya RUSSIA hapa Tanzania tuone
  • Kuhusu Crimea lile ni kosa Chini ya sheria za kimataifa limefanyika
 
Kwanini urusi ichukue Crimea umeshawahi kujiuliza?kwanini urusi ichukue maeneo mengine Ukraine umeshawahi kuuliza?usisahau urusi anaeneo kubwa kijiografia mpka maeneo mengine yapo Tu hayakaliwi na watu.mshabiki wa NATO Kwa harakaharaka atakuambia urusi ana Tamaa ya ardhi bila kufikiria.sasa wewe kama great thinker kwanini urusi anayachukua hayo maeneo?marekani Hana uwezo wala uhalali wa kuchukua maeneo katika hii dunia ya sasa.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
-lete majibu tuone Kama unaelewa unachoandika hapa, au na wewe huna majibu?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…