jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Tembea nao mpaka wajue kuwa Russia Ni Nan.Mungu Endelea Kumpa Nguvu Mrusi Dunia iwe Salama
[emoji298]️EU is 'always open' to talks on Ukraine, but sees no political will to start them from Moscow — Borrell
Hapo nimesema ni 839 kuongeza mmoja..,au una tatizo la macho mkuu [emoji28][emoji28]Jana na leo umeondoa sifuri. Yaani mpaka tukufundishe kudanganya.
Kipanya kweli kweli
Hapo nimesema ni 839 kuongeza mmoja..,au una tatizo la macho mkuu [emoji28][emoji28]Jana na leo umeondoa sifuri. Yaani mpaka tukufundishe kudanganya.
Kipanya kweli kweli
Mkuu, tunaijua vema. Warusi walileta makombora ya kubeba mabomu ya nyuklia kisiwani. Hii ilikuwa tishio la kimakusudi. Marekani haikuandaa uvamizi, bali kuzuia meli zisifike tena Kuba na kutisha kubomoa vituo vya roketi kwa mashambulio kutoka hewani.Unajua Cuban missile crisis?Msiongee tu maneno ya rejareja!
Alafu hii inaonyesha kwamba mnafuatilia takwimu ninapowaletea.., shukrani sana comred [emoji120]., kumbe sipigii ngoma majini.., kidogo nianze kukata tamaa nikidhani Huwa mnazipita tu takwimu zangu bila kuzichunguza vizuri..,hii imenipa nguvu ya kuzileta hapa kila siku[emoji1787][emoji28][emoji16]Jana na leo umeondoa sifuri. Yaani mpaka tukufundishe kudanganya.
Kipanya kweli kweli
Hata mahasimu wake wapo tayari kufanya chochote ili kumpokonya ufalme, hivyo hakuna cha kushangaza hapo.US ni taifa chochezi,litafanya chochote kuendelea kuwa namba Moja duniani!
Walipokataa kwani walilazimishwa kwa nguvu au kuvamiwa ?....si waliachwa na msimamo wao ?...US Kwa miaka 6 amekuwa akijaribu kuishawishi Philippines Ili iweke base ya kijeshi huko lakini Rais aliyepita aliwasikiliza wananchi ambao walikuwa hawataki tension yoyote kati ya Philippines na China na badala yake wawe na ujirani mwema!
Sasa hapo kosa ni la nani ?...Mkeo akitongozwa akakubali kuzini kosa si la kwake?....Sasa kwanini umlaumu US kwa maamuzi ya Rais wa Ufilipino ?Rais huyu aliyeingia,amepuuza ya mtangulizi wake na ndani ya muda mfupi,a deal is made na tutaona US troops zikitua nanga Philippines!
Mkuu,Huwa naleta chanzo zaidi ya kimoja kuwaonyesha jinsi warusi wanavyochinjwa., hivyo kama hutaki kuamini,Hilo ni tatizo lako binafsi,Huyo jamaa mm nilishamshtukia mda mrefu Sana Mia nane wamechinjwa hao Mia nane haleti link,picha Wala source ila ana edit tu sifuri zake sijui anazipata wapi hizo data tupuuze habari kutoka kwa huyu jamaa za kuchinjwa hazina ushirikiano Wala uhalisia.
Endelea kuandika mipasho ila ndio hivyo dawa inawaingia!
Endeleeni kujipodoa na kuvaa nguo za kike Ili msipelekwe frontline kufagiwa😃😃😃
Mkuu tafadhali usiamini hadithi za Abunuwasi! Wakazi wa Ukraine wa mashariki wanaongea mara Kirusi, mara Kiukraine. Walipiga kura mara kwa mara wanataka kuendelea kama raia wa Ukraine, pamoja na watu wa Donabas kabla hawajavamiwa na Putin.Urusi Hana shida ya maeneo yenye malighafi.Mwenyewe anayomalighafi ya kulisha dunia nzima.ameyachukua hayo maeneo Kwa Sababu ya kiulinzi.kwa mfano ameweka navy base Crimea,pili kachukua karibu maeneo mengi ya bahari ya Ukraine,Ukraine soon atabaki bila bahari haya yote ni kuendelea kujizatiti kiulinzi dhidi ya NATO.sababu kubwa ni ya kiulinzi Tu hakutaka hayo maeneo yaanguke mikononi mwa NATO.pili kuwalinda warusi waliokuwa wanaishi maeneo hayo Kwa sababu wakazi wa hayo maeneo ni warusi na wanapigana na serikali ya Ukraine Vita kuanzia siku nyingi Tu.Alafu urusi anataka kutumia hii Vita kuingia mkataba mpya wa kiulinzi na NATO baada ya misk agreement kufa.kwa kifupi haya yote yanatoke Kwa sababu urusi analinda ustahi wake na uhuru wake Kwa kuongea ulinzi.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Napendaga unavyowajibu,ndio maana sometimes Huwa Wanahamaki na kutoa mitusi maana ukweli unauma[emoji16][emoji28][emoji1787]Hata mahasimu wake wapo tayari kufanya chochote ili kumpokonya ufalme, hivyo hakuna cha kushangaza hapo.
Walipokataa kwani walilazimishwa kwa nguvu au kuvamiwa ?....si waliachwa na msimamo wao ?...
Sasa hapo kosa ni la nani ?...Mkeo akitongozwa akakubali kuzini kosa si la kwake?....Sasa kwanini umlaumu US kwa maamuzi ya Rais wa Ufilipino ?
Hapo Naona umeelewa kuwa US ndiye huzishawishi hizi nchi kuungana naye kijeshi!Hata mahasimu wake wapo tayari kufanya chochote ili kumpokonya ufalme, hivyo hakuna cha kushangaza hapo.
Walipokataa kwani walilazimishwa kwa nguvu au kuvamiwa ?....si waliachwa na msimamo wao ?...
Sasa hapo kosa ni la nani ?...Mkeo akitongozwa akakubali kuzini kosa si la kwake?....Sasa kwanini umlaumu US kwa maamuzi ya Rais wa Ufilipino ?
Ndio maana Putin analialia kwamba anapigana na wanazi.., maana kaona wazi kwamba kipigo kinakuwa kikali mno 🥱🥱Sio mipasho, tumekua humu, urusi ilivyo jaribu kuparamia Kyev na msafara wao wakafukuziwa mpaka leo wanagombea kamji ka chumvi, wameuawa zaidi ya 127,000 hiyo ni idadi mara nne ya JWTZ.
Nimeshaona nyie team NATO hamjui kitu.urusi Hana uhaba wa ardhi lakini hayo maeneo yamekuwa na shida na serikali ya Ukraine since siku ya Kwanza kuhamishiwa Ukraine kutoka urusi walikataa kuwa chini ya serikali ya Ukraine kwahiyo zelisky alipoingia madarakani akaanza kuwaua viongozi na watu wa hayo maeneo ya kirusi.kwa hiyo urusi akaamua kuingia kuwasaidia.Thank God maeneo yamesharudi urusi yakiwa salama .Mkuu tafadhali usiamini hadithi za Abunuwasi! Wakazi wa Ukraine wa mashariki wanaongea mara Kirusi, mara Kiukraine. Walipiga kura mara kwa mara wanataka kuendelea kama raia wa Ukraine, pamoja na watu wa Donabas kabla hawajavamiwa na Putin.
Putin anatumia utamaduni wa watu kupika supu yake ya kisiasa.
Halafu hakuna haki kuvamia maeneo ya majirani ukisikia "sababu za kiusalama". Hii ilikuwa siasa miaka 200 iliyopita. Tangu 1945 viongozi wa madola wamepelekwa mahakamani wakivunja haki ya kimataifa (na kuwa wadhaifu ili waweze kukamatwa...) Tuone Putin ataendeleaje!
Mkuu ujielemishe kidogo kuhusu maoni ya wananchi wa Ufilipino. Wengi wanaoa China kuwa hatari kutokana na matendo ya Chini katika bahari. China imeingia hapa katika ugomvi na majirani wote (Japani, Korea Kusini, Vietnam, Ufilipino, Indonesia) kwa kudai mamlaka juu ya visiwa vingi, na kupeleka manowari zake kutisha wavuvi na pia shughuli za kutafuta mafuta na gesi baharini.Utajuaje hayo?Unajua yanayoongewa chini ya Kapeti?
US Kwa miaka 6 amekuwa akijaribu kuishawishi Philippines Ili iweke base ya kijeshi huko lakini Rais aliyepita aliwasikiliza wananchi ambao walikuwa hawataki tension yoyote kati ya Philippines na China na badala yake wawe na ujirani mwema!
Rais huyu aliyeingia,amepuuza ya mtangulizi wake na ndani ya muda mfupi,a deal is made na tutaona US troops zikitua nanga Philippines!
Mmeshaambiwa na Angela Merkel kuwa Ukraine Ilikuwa inabuy time Ili kujijenga kijeshi!Hayo sijasema Mimi Bali chancellor wa Ujerumani(NATO member state),mpaka Ukraine kuwa number one army Ulaya nzima baada ya Urusi!Ndio maana Moja ya lengo la Russia ni demilitarization!Mkuu, tunaijua vema. Warusi walileta makombora ya kubeba mabomu ya nyuklia kisiwani. Hii ilikuwa tishio la kimakusudi. Marekani haikuandaa uvamizi, bali kuzuia meli zisifike tena Kuba na kutisha kubomoa vituo vya roketi kwa mashambulio kutoka hewani.
Hakuna aliyeleta makombora Ukraine. Ukraine kwa hiari yake iliwahi kuachane na silaha zake za nyuklia, na Urusi iliahidi kutunza na kutetea mipaka ya Ukraine daima. Urusi imeendelea kuvunja ahadi zake na mikataba yake tangu 2014.
Urusi iliamua kuvamia nchi jirani
a) kwa imani potovu kwamba ingekuwa kazi rahisi
b) bila kujali ahadi zake na haki.