Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanajitekenya
 
Huwa najiuliza kimoyomoyo hivi hawa jamaa wakikutanaga pale Kyiv kwa nini jamaa asirushe missile moja tu amalize kazi? maana nasikia ana kombola moja hilo linapiga adi Washington DC.

EU to hold wartime summit in Kyiv​

Kama uliwahi kujiuliza hilo swali basi hutakiwi kubishania huu mgogoro sababu utakua huna ujuzi na hayo mambo sidhanii kama utakua na ujuzi na huu mgogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo Yanazidi kwenda Vizuri



·
24m
Fighting was reported within the first houses of Grigorovka, certain units of the special forces of the RuAF crossed Siversky' Donets river and begun supporting the offensive operations.
One of the last villages in LPR under AFU control, Belogorovka was taken by RuAF.


 
Mnalishana tu story za matangopori vijiweni.
Marekani haijawahi kuwa na mpango wa kumtoa Dikteta Bashar Al-Assad Syria, waliotoka kumtoa madarakani ni wananchi wake kama ilivyokuwa Misri, Libya, Yemen na Tunisia katika Arab Spring.
Wananchi wanaanzaje kumtoa raisi? Hio nguvu wanaitoa wapi? Marekani ni fedhuli na ndio huwa anapitia njia hizo hizo kufarakanisha mataifa. Hicho ni kisingizio tu.

Ni sawa na useme watu wa hali ya chini walikuwa wanamchukia Magufuli na hawamtaki ilihali ni kikundi kidogo cha mafisadi na wezi wa rasilimali za taifa ndio walikuwa wanachochea vugu vugu hilo kwa interests zao.

Marekani alikuwa hamtaki Gadafi sababu ya mikakati aliokuwa nayo ya kuiunganisha Africa kiuchumi. Akapandikiza vikundi vya wahaini wajifanye hawamtaki Gadafi waanzishe vurugu kisha akatuma jeshi kwenda kummaliza Gadafi kwa visingizio vyake vya kihuni kama kawaida.
 
- wanatapa tapa, Sasa mbona hutaki watumie MSHIRIKA wake mwenye nguvu (USA) aweke vikwazo?!
Toka lini mshirika wa Ukraine ni USA? When did that relationship ya ushirika began? Hao Marekani wana msapoti ili kumkomesha mrusi na wanafanya hivyo sababu wana chuki na urusi kuwa nchi inayojitosheleza kwa kila kitu na wanaitegemea.

Chuki ya marekani kwa Urusi haina tofauti ya chuki ya mtoto kwa baba wakufikia ambaye anamsomesha na kumtunza yeye na mama yake.
 
- Tangu Tanzania imeanza kupata misaada kutoka Western, ni lini mlinyimwa totally misaada ya kifedha kutokana na kutounga mkono ushoga?
-ni Lini sheria yetu ya Ndoa ilifanyiwa marekebisho kuruhusu ndoa za jinsia Moja kama sharti la kupata mkopo kutoka Western?
  • Ni Lini Penal Code/ Kanuni ya adhabu ilifanyiwa marekebisho kuruhusu kulawiti? Kama hujui Kwenye hiyo sheria ya penal Code kulawiti ni kosa lenye adhabu ya Life imprisonment, lakini bado WESTERN wamekuwa wakitoa misaada licha ya Vitendo vya ulawiti kuharamishwa Kwa adhabu Kali,
  • Muende China ww kama nani? Serikali Yako bado Iko na Western na Washirika wake Kwa kiwango kikubwa, ndio maana unaona huko Mtaani Magari ya JICA, UK-AID,USAID,PEPFAR,SIDA,DANIDA,nk nk
 
Hatuna Chakufanya Zaidi yakukuombea Russie Uzidi kuwa nanguvu Utupunguzie mateso ya Hawa Wapuuzi

Kuna Juha mmoja Alikuja nangonjera Eti Kifaru kinapiga 500 Km


T-90M Proryv practising hitting targets that simulated enemy's armoured vehicles, manpower and aircrafts at ranges of up to 5 km.
 
Naweza Kusema Wakome maana Ni Ukiherehere inamaana Ukrein hawana Watoa Huduma!?
Au ndio Janja janja Mtoa huduma kumbe NATO

Sander Sørsveen Trelvik and Simon Johnsen, two Norwegian "medics" "volunteering" in Ukraine, were injured during shelling in the city of Bakhmut in Donetsk Oblast.

 
Kichaa Anakabidhiwa Rungu
Acha Vyuma vyao Viingie
PMC Wapo kikazi na shida yao Mpunga tu

Russian “Sudoplatov” volunteer battalion announced a reward of 12 million rubles for each captured Leopard, Abrams or Challenger (in good condition)

The hunting season

 
The ukrainians will give the tanks to russia themselves for how corrupt they are [emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka wanatoa dau nono namna hiyo basi ujue kwamba wanatambua wazi kwamba mashine zitawasumbua kweli kweli!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…