Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahahah...kwa hizi hasira naamn sindano imekuingia..nafunga mjadala na ww bwana mdogo..ebu pumzika kidogo dada yangu
 
Kwahio wanahisi wanaweza kumpindua mnyamakazi PUTIN yani ndio wamefilisika kimawazo kiasi hicho, Urusi sio Burundi!

View attachment 2505135Hebu nishushe kahawa taratibu nikisubiri report tamu ya Wagner wakifyeka mashoga zaidi
Kama USSR ilisambaratika huyo Putin ni mnyama mdogo mno [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukiangalia hiyo kauli juu juu inaonyesha kama Russia anawaambia Askari wake, lakini kutokana na Ukraine kuwa na rushwa Sana kuanzia juu kwenye viongozi, usije ukashangaa Askari wa Ukraine wakavifanyia dili wakavikata minyororo makusudi wakaviacha na kuwashtua urusi wapi wameacha Mali wapige pesa 😂😂😂😂
 
Mmeligeuza jukwaa kuwa kama kijiwe Cha kahawa na hizi hekaya zenu za abunwasi[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaani Bila Hii Hawata weza
“Today, the only exception to helpIng Ukraine should be nuclear weapons and the direct involvement of NATO troops in the conflict.” — Czech President

Na walipomfurusha super pawer huko Kyiv, khakivu, kheson, Lyman, kupyansk, snake island, mycolaiv, izium..,waliwezeshwa na nani[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Puto lenyewe ni kwaajili ya hali ya hewa lakini America inapata jambajamba 😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wemekuja nao watarudi maiti kama wenzao nyinyi ongeeni batle field panatoa tafsiri

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Urusi sio Zimbabwe
The head of the CIA, Burns, came to Kyiv with a proposal to give Russia 20% of the territory in exchange for a cessation of hostilities, writes the Neue Zürcher Zeitung.
View attachment 2504697
Mrusi sijui kama ana weza kukubari hiyo percent labda 40% hivi na kurudishwa kwa mali zote za urusi na za warusi zilizo porwa na wahuni wa nato
 
Vipi kuhusu makubaliano ya NATO na urusi,nani alikiuka?
 
Kasome vizuri mkuu.....hiyo Minsk ilikuja baada ya Crimea kuwa imeshaporwa na Vita vimekolea huko mashariki.....

Halafu Vita huko mashariki mwa Ukraine vilianzishwa na Urusi mwaka 2014.
Unauhakika vita yq ukraine imeanzishwa au kusababishwa na Urusi? Embu weka source utetee hoja sije kuwa unasapoti tu Kama bendera fuata upepo! Hivi unajua Russia made Ukraine na Russia ikiamua kurudisha maeneo yake inaweza baki robo tu? Embu kasome historia ya mfalme wa Urusi anaitwa Rus nadhani ukisoman kuhusu utawala wake na mpaka Urusi kuwa ussr na kuanguka na mpaka sasa nadha ukijua hayo huta zungumza hivo. Ukisha elewa Putin ameishi Bagamoyo wakati wa Nyerere na alishiriki katka UKOMBOZI wa bara la Africa kulitoa kwenye zama za Slave Trade usingekuwa unaongea hayo lakini kwasababu historia ya watu wako na yako huuijui basi unatulisha matango pori haya kafuatilie Tanzania kabla ya Uhuru ikiwa Tanganyika ilikuwa na kabla ya utumwa watu wa Tanganyika walikuwa wapi na wanafanya nn ondolea utawala wa wajerumani turudi nyuma zaidi utajikuta unaingia Hadi kwenye enzi za utawala wa falme za kongo,zimbabwe,buganda mpaka kwa wahaya kule. Tutoke kwenye yale tuliofundishwa shule this is bigger than that
 
Acha Tony mkuu,unamkumbuka Obama baada ya kustaafu Urais aliulizwa ni kipi kibaya unachokikumbuka ktk utawala wako,alichojibu ni kitendo cha kuivamia Libya na kuuliwa Gaddafi ndio kitu anachokijutia kukifanya huku machozi yakimtoka nilijiuliza sana huwa fahamu zinawarejea baada ya kufanya udhalimu au inakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…