Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji779]️Russia-Brazil Foreign Ministers Vow to Strengthen Strategic [emoji635] Partnership [emoji1054]

Sergey Lavrov has wished Brazil's Foreign Affairs Minister Mauro Viera the best of luck as he begins the role, as the top diplomats discussed expanding relations on a bilateral and international level.

Multipolar moves @RT_India_official
 
Proved soma hiyooooooooo

(Kubali kujifunza)
 

Iran Announces SEPAM System; connecting Russia-Iran Banks and others in 13 Countries​

03 FEBRUARY 2023

An Iranian banking official revealed Thursday that all Russian banks and 106 banks in 13 other countries have been connected to Iran's financial messaging system known as SEPAM.
With SEPAM, Iranian banks are no longer in need of the Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication (SWIFT) network, Mohsen Karimi, the deputy governor of the Central Bank of Iran (CBI) for international affairs confirmed.
On Sunday, the CBI announced that the SEPAM and the Financial Messaging System of the Bank of Russia known as SPFS, a Russian equivalent of the SWIFT, were connected following the signing of a deal between the two central banks on the same day.
The move was the first step of the joint action plan for banking cooperation between Iran and Russia agreed by the two countries' central banks last year, CBI Governor Mohammadreza Farzin says.
Iran and Russia, both under sanctions imposed by the United States, have been expanding their political and economic relations to counter the US moves.

MY TAKE:
It's difficult to see how America will swallow this if it's not in its' game plan, that is,to crash the US dollar,and instead create the Global CBDC.If it is not in their game plan,Iran will be the next Syria,Yemen or Iraq.
 

Hatujifariji, ndio uhalsia, tatizo Urusi ni nchi ya kijama hata wakiuawa milioni, hutaskia makelele ndani ya nchi, ujamaa hufanya wananchi wanakua kama mazombi.
Warusi wengi wamekimbia mobilization ya kuswagwa kama kondoo, maana aidha uchague kwenda kufa Ukraine au uikimbie nchi.
 
Na waukraine?Inabidi wavae kama wanawake kukwepa kupelekwa Frontline kuuwawa kizembe!Sasa Hadi walemavu wanakamatwq na kupelekwa kupigana😃😃
 
Sawa nyie wenye jipya mnafanya nini sasa ivi uwanja wa vita.mnapelekewa moto wa ajabu mpaka mmeamua mkubali kumpa tu Urusi ardhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Urusi ameishiwa wanajeshi hadi amefuata wafungwa, litaifa lote hilo tulidhani supapawa limeshindwa kufumua kajirani hapo.
Mziki wa supapawa ni kama ulivyona mwarabu wenu Iraq alichofanyiwa.
 
Kwa hiyo Urusi aliporwa na Ukraine maeneo ya Donetsk na Luhansk na Sasa anarejesha mali yake ?
Sio kuporwa, ni sawa na mtoto wako umpe bastola kwa ajili ya kujilinda halafu aanze kufanya matumizi mabaya ya bastola kwa kutishia kuwapiga ndugu zake na majirani anaokaa nao mtaa mmoja.

Kinachofuata kama mzazi utataka umnyang'anye kwa sababu za kiusalama. Sasa unapotaka kumnyang'anya mtoto analeta utata ama kukukwepa kipigo kinahusika
 
Na waukraine?Inabidi wavae kama wanawake kukwepa kupelekwa Frontline kuuwawa kizembe!Sasa Hadi walemavu wanakamatwq na kupelekwa kupigana😃😃

Ukraine wamepambana hadi raha, tena bila silaha za maana wamefaulu kuua Warusi 127,000
Subiri sasa wanapewa silaha nzuri, ndio mtakoma.
 
Ukraine wamepambana hadi raha, tena bila silaha za maana wamefaulu kuua Warusi 127,000
Subiri sasa wanapewa silaha nzuri, ndio mtakoma.
Ndio hivyo,Kwa Sasa usitongoze hovyo ukiwa Ukraine maana unaweza jikuta unatongoza Mwanaume mwenzako!😃😃😃,Wanaume wanashinda wamejipodoa na kuvaa kama wanawake kuepuka kukamatwa kupelekwa machinjioni!
Mpaka Sasa Ukraine washazikisha zaidi ya laki 2!
Hivi hujiulizi zile diggers Urusi anaenda Nazo vitani Kwa ajili gani?
Mnafukiwa 1000,kaburi Moja!Endeleeni kuvimba,Ukraine litakuwa taifa la wanawake tu!
 
Mwarabu gaidi alikua anasaidiwa kimya kimya na Urusi, akafumuliwa hehehe
Hahahahahaaa,Unajua kweli kujizima data!
Nways,hujaona Tony Blair anavyolia na kutubu mbele ya Camera Kwa kuingizwa mkenge na US Kwa sababu za kubumba zisizo na ukweli na kuivamia Iraq?
Halafu wewe mkenya uliopo huko ndani ndani unaletq porojo hapa!
 
Ukraine wamepambana hadi raha, tena bila silaha za maana wamefaulu kuua Warusi 127,000
Subiri sasa wanapewa silaha nzuri, ndio mtakoma.
Shida yako unazani kuheshimu uwezo wa opponent ni zambi. Mbona Russia imemwacha tu Zelensky pale alipo akiendelea kuropoka tu ilihali Russia inaweza kumuua mda wowote. Figure kubwa hivyo kirahisi tu? kwa nini sasa front line munapigwa tu?
 
Mkuu, yale mauaji unayodai Zelenski alifanya ni propaganda, tena ya duni kabisa.
Kwanza kabisa sehemu kubwa ya mapigano na vifo ilitokea wakati Zelenski hakuwa na nafasi yoyote Ukraine.
Wewe unashiriki kuendesha propaganda ile ambayo ni kijinga kweli kutumia jina lake mkijaribu kumwonyesha ndiye mtu anayemiliki vita hii mkijaribu kuunganisha chochote na jina lake. Hii unafanya bila kujali historia hata kidogo.
Tangu uvamizi wa Urusi katika Donbas 2014 kulikuwa na mstari wa mapigano katikati ya Donbas, askari na silaha tele pande zote mbili. Ilhali pande mbili ziliwahi kuahidi kutotumia silaha, tangu 2015 mapigano yalitokea mara kwa mara.
Ni dhahiri mara walianza Warusi, mara Waukraine. Katika hali ya kufyatuliana risasi juu ya mstari wa mpaka ule wa muda, watu waliathiriwa kila upande na kwa bahati mbaya wengine waliuawa. Pande zote mbili.
Urusi ilipiga propaganda "Waukraine wanaua watu wa Donbas" ilhali askari wao walitenda vilevile.
Jisomee hapa Humanitarian situation during the war in Donbas - Wikipedia
makala inataja jinai pande zote mbili.
Taarifa ziko tele za watazamaji rasmi wa Umoja wa mataifa. Ona kwa mfano hapa taarifa ya tarehe 13 December 2017 ambako watazamaji wanatoa taarifa juu ya kupigwa na mizinga huko Popasna. Yaani Warusi walipiga kwa mizinga katika eneo lililoshikwa na Ukraine.
Mi mfano tu, unaweza kuona taarifa zao siku kwa siku. Si propaganda, wanjitahidi kuwa neutral (hata katika mfano ninayoleta hawasemi Warusi wanavunja amani, wanatoa taarifa tu kwamba wanapigwa kwa mizinga ilhali wanakaa upande wa Ukraine..)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…