Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa mdogo wangu!! Unataka vitu vyote viwekwe kwenye google? Unazijua classified information?
 
Mungu Aendelee kukupa Afya Mwamba

🇷🇺 | "You cross the red line, we will have no option to attack, we will do everything to protect our country and its people. We know the plans by the West to destroy Russia, our language, culture, tradition and Power, we won't allow it " ~ Vladimir Putin

Isukile! 🔥
 
"Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki)."

"Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote."

Zelensky "Situation in Bakhmut very difficult"

Unapigana na watu wasio na mafunzo na bado unalalamika situation is difficult. Vipi wakiletwa wenye mafunzo!? Nafkiri kupelekewa askari wasio na training hapo bakhmut ni advantage kwao (Ukraine) inakuwaje wao ndio wanacomplain!? Ina maana wanataka waletewe wenye mafunzo!?

Unapambana na watu waliojifunza amri na kujua nyuma na mbele ya bunduki tu ndani ya siku mbili alafu unashindwa how come!?

Ukraine is considering retreating from Bakhmut (formerly Artemovsk), according to Ukrainian military personnel cited in The Washington Post, in order to save manpower and supplies in anticipation of a counteroffensive elsewhere.

Unataka kukimbia adui asiye na mafunzo kwa nini!? Au ni wewe ndio hauna mafunzo unasingizia adui!?

Alafu ulivyompropagandist angalia tamshi zako

"Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner"

'Kila jeshi... kama wagner...', sasa Wagner ni jeshi!? Unaweza kutuonesha kwa ushahidi kuwa JESHI la urusi lina askari wasio na mafunzo!?

Hao Wagner (wasio na mafunzo) wameichukua Soledar iliyokuwa inalindwa na brigedy kibao za Ukraine (wenye mafunzo ya hali ya juu). Tena wako karibu kuichukua Bakhmut na wenye mafunzo wanaangalia mpango wa kurudi nyuma

achana na propaganda za bei rahisi
 
Victory is inevitable!Kalia takwimu za mchongo huku wagner wanazidi kusonga Mbele!

Mpaka sasa kwa Ukraine wanfurahia victory maana Urusi tuliyokua tunaijua tulitegemea ichukue Ukraine kwa wiki moja, imeishia kugombea kamji ka chumvi na kupoteza wanajeshi mara nne ya JWTZ.
hao mateja walioswagwa kwenda kupigana hawana jipya.
 
Nimekuuliza swali naona unalikwepa ngoja nirudie. Unazijua classified information?
Unajaribu kujiingiza katika majadiliano yanayoendelea na sasa unalialia wapi majibu kwa swali lako. Hata ukilia kama mtoto huna kazi ya kuingilia katika majadaliano kama huna cha kuchangia. Soma yale tuliyojadili halafu changia,
Menginevyo si shauri lako ninachojua au kutojua, sivyo? (hakika tu wewe huna "classified information" )
 
Taarifa unatoa wap mbona familia inasema haijui kama ndugu yao alifungwa [emoji2357]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…