Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hairuhusiwi kujiunga na majeshi ya nchi nyingine . Waziri Tax
 
Kama hujaelewa claims za Russia juu ya guarantees Ilizopewa Soviet,eti kwasababu Soviet ilivunjika hizo guarantees haziapply Tena Kwa Russia!
Ndio maana Russia amechukua pre emptive measures kudeal na security threat aliyoiona inakuja!
Hoja hapa sio nani kamtafuta nani,maana hayo hufanywa sirini na huwezi kujua hilo!
Hoja hapa ni NATO kujitanua kuizunguka Urusi!
Kwa kuangalia historia ya Urusi na US,hakuna mmojawapo anayetaka mwenzake awe na base ya kijeshi Karibu yake!
US anaitumia NATO for its own interests!
Ndio maana Macron aliwahi pendekeze EU iwe na Jeshi lake!
 
Sorry,hiyo haikuwa Kwa ajili Yako!Nadhani umesoma kitu ambacho hakikuhusu!
Hiyo nimemjibu mtu serious so fanya kama hujaziona!

Humu hamna nini wala nini, ukiniquote unakutana na kombora hata kama hukukusudia, yaani lazima mpokee anachopokea Urusi kule....hehehe
 
Humu hamna nini wala nini, ukiniquote unakutana na kombora hata kama hukukusudia, yaani lazima mpokee anachopokea Urusi kule....hehehe
Nimesema hicho chakula hakikuwa chako,ni kama kumpa material ya a level mtoto wa chekechea!Hapo unamconfuse!
Wewe level Yako ni kama comment hii,sio material kama Ile iliyoshiba inayohitaji tafakuri ya kina!

Nikirudi kwako,nasikia bakhmut diggers zinawafukia mpaka watu 1500 kwenye shimo Moja!
 
Tumejaza hizo taarifa humu kila siku mlikua mnasema propaganda, yamekuja kuwatafuna...
Umeulizwa hapa kwamba leta ushahidi wa sauti au video clip inayo muonyesha Putin ikitamuka adhalani kwamba jeshi la Russai/Putin limempa Zelensky amepewa masaa 24 awe ameondoka mjini Kiev/ Ukraine or else? - ushahidi huo huna kabisa, kazi yako masaa yote ni kujaribu kufurahisha baraza kwa story za kubuni tu, huchoki katika harakati zako za kujaribu ku-demonise Putin pamoja na jeshi lake - umekwisha jiunga rasmi na kikundi cha his MASTER'S voices wa BBC, VoA, SkyNews katika propaganda zao zisizo na mshiko, bila ya kusahau ku-copy copy tabloid papers za Uingereza RAW bila ya kutafakali lengo lao ni nini hasa!!
 
Umempasua pasta awe kiburi tu
 
Kwa kupoteza wanajeshi 127,000 alipaswa awe amelichukua taifa lote la Ukraine....supapawa
Ardhi ina thamani kuliko unavyojua wewe.angalia mogogoro mikubwa yote ni kwa sababu ya ardhi tena unakuta ni sehemu tu ndogo inagombaniwa.

* India na Pakistani

*Palestina na Israel

*Armenia na Azbeijan

Pia vita karibu asilimia.

Pia asilimia kubwa ya vita nyingi zilizotokea ni kwa sababu ya ardhi au madaraka.


Tanzania tulianzisha vita na uganda baada ya kisehemu chetu kumegwa.kwenye nchi ikichukuliwa mikoa 2 tu lazima ukubali kupoteza hata watu milion5






*
 
Propaganda zikizidi inakua Ni utoto naeka data Chache tu.
1.mrusi Hana silaha
Wanasema Hana silaha za kutosha afu zele kila cku anaomba silaha
2.putin anamawazo ,kaingia Cha kike Mara mataifa yanamtenga anatapa tapa tuh.
Wakati wanasema ivo zele tunamuona akitaka huruma mpk kwenye world cup kataka kupata huruma akatolewa nje 😁xx cjui alitaka mesi na mbape waje Ukraine kupigana vita
3.mrusi Hajamiliki anga la ukraine.
Baada ya hoja hii tunamuona zele kwenye media akilaani urusi kwa kushambulia miji yake πŸ˜‚na akaanza omba air difence .akamchek netanyau ampe iron dome πŸ˜‚πŸ˜‚jamaa akamuambiaa nyauuuu
4.urusi anasajili mpka vilema na wazee jeshi lake kwishaaa .
Wakat wanasema Ivoo Mara boom soledar imechukuliwa na walemavu πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyingine mtaongeza wenyewe 😁😁
 
Unazidi kujiaibisha kama hizo namba zako zimekuwa ni za kweli basi wanajeshi wa urusi wangeshaisha ukraine.naona mmekataa kutumia Akili kabisa.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mkuu, kumbuka mpaka Sasa urusi ameshamobilize askari laki nane kwa ujumla Wake..,Ili uweze kuwachinja na kuwamaliza hao askari inabidi angalau uwalambishe mchanga askari zaidi ya 850 kila siku,kwa miaka miwili.., takwimu zinazotolewa na ukraine ni ndogo mno kulingana na uhalisia unaoonekana..., vinginevyo labda tukijumlisha na wale wanaotiwa vilema au kujeruhiwa ,hapo kidogo inaweza kuleta uhalisia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa kupoteza wanajeshi 127,000 alipaswa awe amelichukua taifa lote la Ukraine....supapawa
Warusi wa buza wanakwambia kwenye second world war warusi zaidi ya million 27 walichinjwa.., hivyo hawaoni hao laki Moja karibia na nusu hambao wameshachinjwa si kitu kwao..,wataamini hii vita ni janga,pale watakapochinjwa na kufikia million 27 [emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…