To point TU mkuu kuhusu Jambo Hili. Humu Ni jukwaani. Kuna Uhuru wa kusema hata vile ulivyosikia juu ya Jambo Hili na lile kutoka kwa huyu na Yule.Mbona warusi wana mtazamo tofauti kidogo!!!!!Nani kakaa moscow kati yenu????Hata iwe kwenda kusoma tu?????Tuanzie hapo
Wewe ni mchangamsha jukwaa tu,sio mtu ambaye Kuna kitu Cha kujifunza ndio maana unapata mrejesho wa rejareja😃Mimi ndio komesha lenu maustadhi wa humu, ukiniquote subiri za uso...takbir
Hahahaaaa,endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe!Idadi imeongezeka Warusi wanafutwa, mizoga yao inakua mbolea Ukraine
Kwahiyo Ukraine hawataki mananga wa kivita wa kirusi? Hao wasiojua chochote ndo wa kuwaua haraka au sio.Nimeona sasa data za yule Nemes Tarimo aliyejiunga na Wagner ili atoke gerezani huko Urusi. Tarehe 17 Oktoba alipiga simu kwa familia yake Tanzani kuwaambia ametoka gerezani kwa kujiunga na Wagner. Tarehe 24 Oktoba alikufa huko Bakhmut.
Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki).
Hii inaonyesha jinsi gani wanatendea hao mamluki kwa dharau. Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote. Inaonekana wanatazamiwa kama shabaha tu wanaopelekwa mbele ili kuwachosha Waukraine na kupunguza akiba yao ya risasi. Hapo siri wanakufa tu maelfu, viongozi wao wanakaa nyuma na kuwatazama kwa kamera za droni. .
Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner.
Pole kijana Tarimo aliyetazamiwa kama takataka hai anayefaa tu kumeza risasi.
Afu Wagner Kuna makamanda hasa. Tena wenye mioyo halisi ya kivita na kijeshi. Kikundi Cha kivita kisicho na nidhamu maanake hawatasonga mbele vitani kwa kukiuka amri ya mbele songa. Na ukikataa kusonga lazima bila ajizi hutekelezwa adhabu stahiki. Hapo lazima uchague kufia mstari wa mbele au kufa kwa kuuawa na wenzako."Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki)."
"Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote."
Zelensky "Situation in Bakhmut very difficult"
Unapigana na watu wasio na mafunzo na bado unalalamika situation is difficult. Vipi wakiletwa wenye mafunzo!? Nafkiri kupelekewa askari wasio na training hapo bakhmut ni advantage kwao (Ukraine) inakuwaje wao ndio wanacomplain!? Ina maana wanataka waletewe wenye mafunzo!?
Unapambana na watu waliojifunza amri na kujua nyuma na mbele ya bunduki tu ndani ya siku mbili alafu unashindwa how come!?
Ukraine is considering retreating from Bakhmut (formerly Artemovsk), according to Ukrainian military personnel cited in The Washington Post, in order to save manpower and supplies in anticipation of a counteroffensive elsewhere.
Unataka kukimbia adui asiye na mafunzo kwa nini!? Au ni wewe ndio hauna mafunzo unasingizia adui!?
Alafu ulivyompropagandist angalia tamshi zako
"Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner"
'Kila jeshi... kama wagner...', sasa Wagner ni jeshi!? Unaweza kutuonesha kwa ushahidi kuwa JESHI la urusi lina askari wasio na mafunzo!?
Hao Wagner (wasio na mafunzo) wameichukua Soledar iliyokuwa inalindwa na brigedy kibao za Ukraine (wenye mafunzo ya hali ya juu). Tena wako karibu kuichukua Bakhmut na wenye mafunzo wanaangalia mpango wa kurudi nyuma
achana na propaganda za bei rahisi
Na pia anakumbatia ushogaIllusions...unadhani humu JF wanaokuona wewe ni hamnazo ni wangapi?! Ni wengi Sana...hoja zako nyingi ni za kipumbavu, kishenzi, kijinga, kifedhuli na kiwendawazimu...kutukana na kudharau dini na imani za watu wengine ni ushenzi wa kiwango Cha hali ya juu kabisa...kwenu Kenya mmezoea migawanyiko kwenye misingi ya ukabila na udini...inashangaza kuona moderators bado wamekuacha humu...
Warusi hawana hata assault riffles za kisasa. BBC wakatueleza Russia inatumia migobore ya ww2Propaganda zikizidi inakua Ni utoto naeka data Chache tu.
1.mrusi Hana silaha
Wanasema Hana silaha za kutosha afu zele kila cku anaomba silaha
2.putin anamawazo ,kaingia Cha kike Mara mataifa yanamtenga anatapa tapa tuh.
Wakati wanasema ivo zele tunamuona akitaka huruma mpk kwenye world cup kataka kupata huruma akatolewa nje [emoji16]xx cjui alitaka mesi na mbape waje Ukraine kupigana vita
3.mrusi Hajamiliki anga la ukraine.
Baada ya hoja hii tunamuona zele kwenye media akilaani urusi kwa kushambulia miji yake [emoji23]na akaanza omba air difence .akamchek netanyau ampe iron dome [emoji23][emoji23]jamaa akamuambiaa nyauuuu
4.urusi anasajili mpka vilema na wazee jeshi lake kwishaaa .
Wakat wanasema Ivoo Mara boom soledar imechukuliwa na walemavu [emoji23][emoji23]
Nyingine mtaongeza wenyewe [emoji16][emoji16]
Br Soledar haijaanguka. Iko chini ya vikosi hodari vya Rais Zelensk.Soledar nilianza kukwambia toka lini na mwisho wa siku ikawaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishadharauliwa ndio imeshakua....
Bila Shaka ulichaguliwa na akina kipanya, Fuso na watu wa Aina hiyo wenye ID lukuki...mtu makini hawezi kukuchagua wewe mnafiki, mshenzi, mjinga, mdini na mpumbavu...no way...kamwe huwezi kuchaguliwa na watu makini....JF could be much better without you people...JF is for entertainment, education and gaining knowledge and not to sow seeds of division in society...Kwa taarifa yako nilichaguliwa kama mwanaJF bora kwenye jukwaa la kimataifa, hehehe mimi ndiye komesha lenu humu takbir na napata mzuka hadi basi tu.
Tutaendelea kuwaletea updates jinsi warusi wanavyochinjwa.., maadam zinatolewa kila siku!Hahahaaaa,endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe!
Huku likiwachinja majenelali kibao wa jeshi la Urusi.., karibia elite soldiers wote wa super pawer wamelambishwa mchanga..,ndio maana super pawer amageukia kwa wahuni na wavuta bangi wa Wagner [emoji134]Ni aibu kubwa kwa jeshi kamili la ukraine kushindana na mateja na kikundi Cha kk security [emoji23][emoji23]
Nimeuliza tu sababu pro Russian bila kuwashutumu Nato kua mashoga hawajisikii raha kaka!!To point TU mkuu kuhusu Jambo Hili. Humu Ni jukwaani. Kuna Uhuru wa kusema hata vile ulivyosikia juu ya Jambo Hili na lile kutoka kwa huyu na Yule.
Kukaa Moscow sijawahi.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kama mpaka this time unaendelea kuziona Post zake hapa jukwaani..,basi ujue moderators wameshazipitia na kujihakikishia kwamba zinastaili kuendelea kuonekana hapa.., hivyo mambo ya udini utakuwa unayaona wewe peke Yako!!Achana na hayo mambo ya udini kuna watu humu JF walipigwa life ban achana na hayo mambo wewe humu jadiliana kwa ustaarabu mambo ya matusi matusi JF ilishayakomesha
Zile Su 30 za mchongo hata JWTZ walizikataa!!!!Urusi wanaleta afrika makapi tu sio advanced war plane's!!!Hata Bamako wamepeleka za mchongo pia na Ouagadougou wanapeleka piaHii Ni sehem ya mjadala huru was wazi sema kilichotokea br. Binafsi kumpata former rubani wa migs za Uganda haitawezekana but ninachokijua waganda Ni wapenzi wa Russian weapons na Hapo mnamo mwaka 2014 walijipatia Su 30 dege advanced zaidi kuliko zote zilizomo Afrika Mashariki.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kama mpaka this time unaendelea kuziona Post zake hapa jukwaani..,basi ujue moderators wameshazipitia na kujihakikishia kwamba zinastaili kuendelea kuonekana hapa.., hivyo mambo ya udini utakuwa unayaona wewe peke Yako!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa kiburudisho Cha jukwaaTutaendelea kuwaletea updates jinsi warusi wanavyochinjwa.., maadam zinatolewa kila siku!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app