Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
Sasa pro Russia wakishindwa hoja utasikia "Nyie mashoga""au pro Russia ni vijana wa kihuni wasiojua maana midahalo na hoja za kisomi????Mbona wanapenda sana kutumia lugha za matusi????mkuu tulia! Hii lugha ya ushoga
1) haina kazi kabisa katika habari hizo za vita. Marafiki wa Putin wanataka tu kuchochea watu dhidi ya Ukraine na "magharibi" kwa kudai eti hao wanatawaliwa na "mashoga" hivyo watu wazuri labda wanapaswa kuwapinga. Bila kujali ukweli au hali halisi.
2) hao wanaoitwa "mashoga" wako kila nchi ya dunia, hata TZ au wapi. Wanaweza kujificha nchi fulani au kutembea wazi nchi nyingine kutegemeana na mazingira. Wako takriban asilima 2-3 za binadamu kote. Hivyo hao ni sehemu tofauti ya uumbaji wa Mungu, sawa na watu waliozaliwa vipofu, wenye mguu mmoja, au wanaokosa mkono tangu kuzaliwa. Wasipoudhi watu wengine hawana madhara wanastahili heshima kama kila binadamu (na sawa na watu walio "kawaida" wanapaswa kudharauliwa na kuadhibiwa wakishambulia watoto au watu wasioweza kuwazuia)
3) Kwa hiyo bila shaka washoga Warusi wanaonekana kwa sababu Zanzibar siku hizi ni kati ya mahali pachache dunianini ambako Warusi wanaweza kufika. Kati wa watalii 1000 lazima wako 20-40 na kwa sababu Zanzibar tabia hizo zinafichwa, basi wanaonekana sana!
Ila usikate tamaa, zile 2-3% za washoga Warusi si tofauti na umati huohuo wa Watanzania, Wakongo, Waingereza, Waafrika Kusini au Waukraine.
Tungepata mtaalamu wa kijeshi atafafanulie hili suala!!!!Watoto wa kichina wanachezea mapulizo yao Marekani anashikwa na kiwewe 😂😂😂View attachment 2506406
Mfano wake ni kama yale maputo wanaondaga wataliiTungepata mtaalamu wa kijeshi atafafanulie hili suala!!!!
Alikua aparamie Ukraine yote ikamshinda, na hiyo kidogo ambayo imemcost wanajeshi 130,000 ataipoteza tu maana sasa hivi yuko dhaifu na Ukraine ndio kama wanaanza.
safii.,Kazi nzuri sana.. ndivyo inavyotakiwa ,unapigania nchi yako mpaka tone la mwisho la damu..,hii kauli aliwahi kuitoa ghadafi "" nitapigana nao mpaka tone la mwisho la damu "Mjomba prigozhin hafurahishwi na vita ya kukimbia, [emoji14] [emoji14] [emoji14] ....hamu yake awamalize wanazi wote kwa bunduki
AFU in Artemovsk (Bakhmut) are not retreating anywhere, they are fighting to the last - Evgeny Prigozhin "I'm clarifying the situation. The Armed Forces of Ukraine are not retreating anywhere. The Armed Forces of Ukraine are fighting to the last.”
Hii haiondoi UTEULE WA RUSSIAAlikua aparamie Ukraine yote ikamshinda, na hiyo kidogo ambayo imemcost wanajeshi 130,000 ataipoteza tu maana sasa hivi yuko dhaifu na Ukraine ndio kama wanaanza.