kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Bora hao kuliko huyo super pawer wa kwenye makaratasi anayeokota wanywa gongo, wafungwa, na mateja mitaani na kuwapeleka front line [emoji848]Nakukumbusha mkuu zelensky analia lia huko mbaya zaidi watoto wa miaka 16 nao sasa wanaenda front line
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bora kupeleka vifaranga uwanjani sio okBora hao kuliko huyo super pawer wa kwenye makaratasi anayeokota wanywa gongo, wafungwa, na mateja mitaani na kuwapeleka front line [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Our man behind enemy lineKainchi kama Ukraine kamefuta wanajeshi rasmi 130,000 sasa hao mateja mnaoleta ndio watafanya nini...
Wengi watajifanya hawajaiona hii
Tatizo lako kwenye mambo ya front line huko Ukraine, moja uiita sifuri na sifuri unafahamu kama kumi. Kwa hiyo, ni vigumu kuelewa kiandikwacho kwa msingi wa kuwapa ukweli wasomaji wa Uzi huu.Kwa hiyo operation yetu ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imingiliwa!! Sio??[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We zako unatoaga wpKwabi uturuki na islaer wako kwenye uwanja wa vita?? Tunawasikiliza wale walioshikilia usukani wa vita, hizi nyingine ni mboyoyo zenu tu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona Icho kifaru Ni used 😂😂Mzigo unazidi kutumwa..,Kuna watu walijifariji wakisema vifaru vitafika Ukraine mwezi wa 5 [emoji28]View attachment 2507365
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aya yakwanza ya jamaa imeanza vyema sana nandio mzizi mzima uko hapoLabda useme Ukraine alitakiwa akae meza moja na Urusi kuhusu namna ya kuwa na uhusiano na nchi za magharibi bila kuihatarisha Urusi.
ILA KUSEMA WAKAE WAKUBALI KUACHIA MAJIMBO 2 NI UPUUZI KIWANGO CHA JUU SANA. KAMA URUSI INATAKA ARDHI BASI IIPATE KWA KUMWAGA DAMU ILI KESHO TENA WAKITAKA WAJUE HAITAKUWA RAHISI KAMA JANA.
WEWE PALE KWAKO JIRANI YAKO MWENYE NGUVU UNAWEZA MPA MWANAO ILI ASIKUCHUKULIE MKEO? UKIRUHUSU HILO UWEZEKANO WA YEYE KURUDI MARA YA PILI NA YA TATU NI MKUBWA NA KWASABABU YA UWOGA WAKO WA KUPIGANA NAYE UTAMALIZA WATOTO WOTE MWISHO MKEO NAYE ATAMPATA TU HALAFU UTAKUWA HUNA LA KUPOTEZA TENA UTAJIACHIA TU AFANYE ATAKAVYO.
Rudia tena kusoma, niliandika kabla ya SMO Ukraine alitakiwa ayamalize mambo kwenye meza ya mazungumzo lakini alifeli hapa, lakini pia hata wakati vita vinaanza angekubali masharti ya kuachia donbase. Sasa unadhani nini kitatokea akiendelea kukaza fuvu?Labda useme Ukraine alitakiwa akae meza moja na Urusi kuhusu namna ya kuwa na uhusiano na nchi za magharibi bila kuihatarisha Urusi.
ILA KUSEMA WAKAE WAKUBALI KUACHIA MAJIMBO 2 NI UPUUZI KIWANGO CHA JUU SANA. KAMA URUSI INATAKA ARDHI BASI IIPATE KWA KUMWAGA DAMU ILI KESHO TENA WAKITAKA WAJUE HAITAKUWA RAHISI KAMA JANA.
WEWE PALE KWAKO JIRANI YAKO MWENYE NGUVU UNAWEZA MPA MWANAO ILI ASIKUCHUKULIE MKEO? UKIRUHUSU HILO UWEZEKANO WA YEYE KURUDI MARA YA PILI NA YA TATU NI MKUBWA NA KWASABABU YA UWOGA WAKO WA KUPIGANA NAYE UTAMALIZA WATOTO WOTE MWISHO MKEO NAYE ATAMPATA TU HALAFU UTAKUWA HUNA LA KUPOTEZA TENA UTAJIACHIA TU AFANYE ATAKAVYO.
na KIPANYA ako na yake piaKumbuka hata islaer wameshatoa estimates zao..,Sasa tumuaamini nani? Islaer?? Uturuki?? Au wale walioko kwenye uwanja wa vita [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Waache kulalamika.. View attachment 2507207
Mara nyingi vita havina win-win. VinaAya yakwanza ya jamaa imeanza vyema sana nandio mzizi mzima uko hapo
Mchana tu nilitoka kukueleza kua kwa hili suala UKRAINE ndio luza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayakubali na kuyaheshimu sana mawazo yako na yapo sahihi sanaaMara nyingi vita havina win-win. Vina
win-lose.
SIDHANI KAMA UKRAINE YUPO VITANI AKITEGEMEA A WIN, Ukraine yupo vitani kwa sababu amelazimika kuwepo hapo, sio kwa sababu atashinda. Alishashindwa mara ya kwanza kuna majimbo yalienda, hategemei atashinda hii mara ya pili.
Anachofanya ni kutengeneza ukuta baada ya vita mrusi asifikirie kuchukua maeneo yake kwa wepesi.
(HII NI KWA MAWAZO YANGU)
Siku itafika hii vita itakwisha, Amani itarejea... Ardhi inawezekana isirudi tena Ukraine lakini itakapokwisha suala la kuimega Ukraine halitakuwa maamuzi rahisi tena kama ilivyokuwa SMO.Rudia tena kusoma, niliandika kabla ya SMO Ukraine alitakiwa ayamalize mambo kwenye meza ya mazungumzo lakini alifeli hapa, lakini pia hata wakati vita vinaanza angekubali masharti ya kuachia donbase. Sasa unadhani nini kitatokea akiendelea kukaza fuvu?
Upo sawa boss.Nayakubali na kuyaheshimu sana mawazo yako na yapo sahihi sanaa
Ila shida unaangalia utapoteza kwa aina gani maana hata mshindi wa vita hua anapoteza licha yakua anashinda
Pia nadhani RUSSIA alijua kama mara hii hatachukua UKRAINE kama mwaka 2014 nandio maana huu uvamizi uliandaliwa muda sana mpaka kina US na wenzake kujifanya wanatabiri kama kutakua na vita wakat CRIMEA haikua hv
Sidhanii kama RUSSIA atakubaliana na UKRAINE kua imara kama ilivyokua baada ya CRIMEA kumegwa
Nandio maana jamaa akasema demilitarization alijua kama anakazi yakuvunja sheji nampaka sasa analivunja
Mpaka mshindi wavita hua anapoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaUpo sawa boss.
Na kupoteza kwa mshindi wa vita ndicho anachokitafuta Ukraine. Hii itamfanya wakati mwingine mshindi wa vita aone hatari iliyopo pale anapoamua kuimega ardhi ya nchi nyingine. Ni suala la muda tu watamalizana.