Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nakuelewa sana

Ila vita ni silaha UKRAINE angekua na silaha za NYUK ama nyengne kali kali anazojua akitupia male SP au MOSCOW hii SMO inachukua nafas nyengne basi hii SMO isingekuepo

Kitakachotokea hapa ni mikataba ambayo UKRAINE atakua na silaha ila zakawaida zaidi ambazo hazitatishia usalama wa RUSSIA refer JAPAN na US unadhani JAPAN hawajui kama US adui yao ila US kachanga vyema karata zake

Hata kama itakuja kutokea tena SMO baada ya hii tegemea haya haya unayoyaona leo RUSSIA wanapiga wanapojisikia sababu wanauwezo ila UKRAINE anaekewa mipaka

Haya mambo sio mepesi MKUU yaani NATO pamoja na UKRAINE wenyewe na DUNIA nzima inatambua kwamba ikitokea bomu likatua MOSCOW basi hii SMO baada ya masaa kadhaa DUNIA itakua inaongelea jambo jengine

Nandio mana watoaji silaha wanasisitiza kua silaha zao zisivuke kuingia hata CRIMEA sababu wanaelewa kipi kitatokea

Natabiria kama itatokea SMO baada ya hii kutokea haya haya tu MKUU hakuna mapya maana RUSSIA hataruhusu UKRAINE kumiliki NYUK kwausalama wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo wanalijua ila hao wabongo ndio wanajifanya hawajui.
 
Hivi wakisema wamechukua kijiji tupate picha ya vijiji vyetu? Au kuna tofauti ya vijiji vyetu na vyao? Maana MI nikisikia wamechukua kijiji nahisi Kama wanazingua tu maana kijiji Kama msoga ukiteke then utambe!? Wangesema Labda mji mzima Kama Dar wameuchukua naweza kuwaona wana....
 
Kwani mwendo wa Lori (speed) ni sawa na tank! ? Nauliza tu huenda bado zipo njiani na huenda kwakua zinajulikana zinakwenda wapi kufanya nn lazima zichukue muda mrefu kwaajili ya tahadhari sija zikaishia njiani... SIJAPONGA CHOCHOTE nawaza tu na kuuliza
 
Sasa unazani Hilo jiji la dar halina vijiji au mitaa? Halafu ujue Kuna sehemu nyingine Kijiji kinachukua sehemu kubwa Sana kulinga na maeneo kwa Ukraine Kijiji ni Kama kata hapo unapoishi.
 
Kuna tofauti ndogo tu kati ya mji na kijiji
 
Hahahahahah Imefikia stage mahakimu wa NATO wanaona mfungwa anakula maisha zaidi badala ateseke huko gerezani 🤣🤣🤣 hadi wanaona ahabu ya kumfunga haikuwa sahihi! Wanabaki kulaumiana tu maana burudani anazokula mfungwa sio poa!!!
 
M Msako wa mtaa kwa mtaa 🤣🤣🤣
 
Kipigo cha kwenda🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…