Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Wanatafta njia yakujitoa hawana loloteHapa Mtu Unaweza Jiuliza Ukrein ni Ya Marekani Au na Wanahaki gani wao!
Na mtu mwenye Akili Anaweza Kuisapoti US kwa Upumbavu inao ufanya Kwenye Hii Dunia yaan Yaani Yeye ndio Aamue Kuhusu Ardh ya Ukrein Kama nani!? NDIO WATU WAJUE URUSI HAPIGANI NA UKREIN
Nimejaribu Kuibadilisha Habari kuwa Lugha ya Kiswahili
wapiga kura wa Chama cha Republican wako tayari kuipa Urusi sehemu ya eneo la Ukraine. Gazeti la Washington Post linaandika kuhusu hili, likichambua matokeo ya kura za maoni.
"Hotuba ya Rais Volodymyr Zelensky kwa Bunge la Congress haionekani kuwa imebadilisha hali sana: nusu au zaidi wa Republican wanasema kwamba tunafanya mengi sana kuisaidia Ukraine, au kwamba tunapaswa kuacha kufadhili ulinzi wake," makala hiyo inasema.
Idadi ya wale wanaoamini kwamba Marekani inafanya "mengi" kwa ajili ya Ukraine imeongezeka kwa 18% kati ya Republican, kulingana na kura ya maoni ya Washington Post-ABC News.
Na kura ya maoni ya NBC News wiki iliyopita ilionyesha kuwa 63% ya Warepublican wanapinga kuongezeka kwa uungwaji mkono kwa Waukraine.
"Imani yao katika juhudi za kijeshi za Ukraine inashuka na shaka inaongezeka kwamba uvamizi wa Urusi unaleta tishio kwa Marekani," makala hiyo inasema.
Lakini "mashuhuri zaidi" ni hamu inayokua ya kuipa Urusi sehemu ya eneo la Kiukreni, ambalo Shirikisho la Urusi linadai.
Kura mpya ya maoni ya Gallup iliwapa Wamarekani chaguo: kati ya kuunga mkono juhudi za Ukraine kurejesha eneo lake - na kumalizika kwa haraka kwa vita, hata kama ingemaanisha kwamba Urusi itaruhusiwa kuondoka katika kile ilichokishinda.
"Warepublican wengi walichagua wa zamani. Lakini 41% walikuwa tayari kuidhinisha uhifadhi wa eneo la Ukraine kwa Urusi kwa jina la kumaliza vita. Hii inalinganishwa na asilimia 16 ya Wanademokrasia ambao wanataka sawa," makala hiyo inasema.
Gazeti hilo linasema kwamba sehemu ya wale wanaofikiri hivyo miongoni mwa Warepublican inaongezeka.
"Sehemu inayokua ya Chama cha Republican inaamini kwamba gharama hazifai, kwa kuzingatia matarajio yasiyoeleweka ya mafanikio ya Ukraine. Au, labda, Warepublican ambao wanapendelea sera ya kutoingilia Ukraine wanatafuta sababu za kutoka nje ya vita. .
Lakini matokeo ni yale yale: takriban nusu au zaidi Wanachama wa Republican sasa wana shaka kabisa juu ya kuendelea kwa ushiriki wa Marekani, na wengi katika Chama cha Republican wako tayari kuipa Urusi angalau sehemu ya kile ilichoivamia Ukraine," makala hiyo inahitimisha.
Wewe ndo haupo timamu soma vizuriHizi comments umezitoa ukiwa na ufahamu timamu au???? kwamba King Charles ni tofauti na Uingereza ambayo imekuwa ikiisadia Ukraini tangu mwanzo wa vita. Kwamba sasa nchi ya King Charles itaingia vitani!!!!!!
Ukraine inachukuliwa yoteNi kweli ....thanks kwa kuliona Hilo...hawana namna kwani misaada yote ya awali haijasaidia kitu...Ukraine inateketezwa vibaya mno...Sasa USA, UK na NATO kwa ujumla inabidi waleleke misaada mingine Kama vifaru na hata ndege...lakini Russia iko tayari pia, vifaru hivyo vitateketezwa pia...kitakachofuatia pengine ni USA, UK na NATO kwa ujumla to openely and formally put boots on the ground yaani Askari wa NATO kuingia vitani rasmi...hapo ndipo regular army ya Russia itakapojitokeza wazi na sio
Wagner au JKT ya Russia tena....Hapo ndipo utakapona midege Kama TU,-160 (the white swan) na mingineyo...
Haya ni mawazo mazuri ya watu wenye akili kama nyie napenda kuyasoma hapa jukwaani endelea kutuelimisha rafikiNi kweli ....thanks kwa kuliona Hilo...hawana namna kwani misaada yote ya awali haijasaidia kitu...Ukraine inateketezwa vibaya mno...Sasa USA, UK na NATO kwa ujumla inabidi waleleke misaada mingine Kama vifaru na hata ndege...lakini Russia iko tayari pia, vifaru hivyo vitateketezwa pia...kitakachofuatia pengine ni USA, UK na NATO kwa ujumla to openely and formally put boots on the ground yaani Askari wa NATO kuingia vitani rasmi...hapo ndipo regular army ya Russia itakapojitokeza wazi na sio
Wagner au JKT ya Russia tena....Hapo ndipo utakapona midege Kama TU,-160 (the white swan) na mingineyo...
Big up xana unaelewa mambo ila sio ile sent from infinix bure kabisa ada za wazazi wake zilizikwa ardhiniNi kweli ....thanks kwa kuliona Hilo...hawana namna kwani misaada yote ya awali haijasaidia kitu...Ukraine inateketezwa vibaya mno...Sasa USA, UK na NATO kwa ujumla inabidi waleleke misaada mingine Kama vifaru na hata ndege...lakini Russia iko tayari pia, vifaru hivyo vitateketezwa pia...kitakachofuatia pengine ni USA, UK na NATO kwa ujumla to openely and formally put boots on the ground yaani Askari wa NATO kuingia vitani rasmi...hapo ndipo regular army ya Russia itakapojitokeza wazi na sio
Wagner au JKT ya Russia tena....Hapo ndipo utakapona midege Kama TU,-160 (the white swan) na mingineyo...
Kama imekuuma pole mkuu [emoji28]Nilikuwa na mpango wa kununua infinix sema zinacomment famba xana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kama icho.., super pawer ataendelea kuchezea za uso huku akiondoka mikono mitupu mithili ya mchwa anavyoondoka kwenye chupa ya bia[emoji16]Ukraine inachukuliwa yote
Haah..[emoji38][emoji38] hivi humu jamii forum neno MKUU Lina maana gani? Maana naona kila mtu ni mkuu au ndio sent from infinix effect.
Kunywa maji mengi mkuu,yanasaidia kupunguza stress [emoji16]Haah..[emoji38][emoji38] hivi humu jamii forum neno MKUU Lina maana gani? Maana naona kila mtu ni mkuu au ndio sent from infinix effect.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uhalisia unajionesha tu.., unadhani mobilization ya askari laki nane mchezo?!Asa hapo c ndio tumezid kusibitisha kua Ni za uongo [emoji23][emoji23]afu naona umesajili mdau mwingine wa upinde [emoji41]
K-rat acha masihara kabla ya hii operation kuànza ni kiongozi gani ambaye hajaenda Moscow kupiga picha na mwamba Put-inUnafikiri Putin na yeye Hana tamaa ya kupiga picha na viongozi makini kama Lish sunak?? Joe Biden?? Olaf wa ujerumani?? Sachols wa ufaransa?
Atakaa kupiga picha na akina lukashenko mpaka lini?
Acha masihara bwana [emoji28][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pelekeni zoooote halafu mkuje na majibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji298][emoji1255][emoji298] the German government has announced the transfer of another batch of military equipment to Ukraine [emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mpaka Sasa majibu yaliyopatikana ni kuigeuza operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu.., majibu mengine yatakayoendelea kujitokeza nitakujulisha!Pelekeni zoooote halafu mkuje na majibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38]
Kikubwa hii Vita idumu Kama Somalia ili Ukraine tuchukue lasirimali za kutosha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mpaka Sasa majibu yaliyopatikana ni kuigeuza operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu.., majibu mengine yatakayoendelea kujitokeza nitakujulisha!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Halafu kwann wao wasiwe na migogoro kazi kutengeneza silaha kuzituma afrika Sasa watengeneze ziishie hukohuko yaani Mungu Ni mwema Sana amekumbusha wanadamu kuwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu wazungu wanahangaika Sana wanaona Ni ajabu kumbe kwa afrika Ni kawaida bw Putin awafundishe nao wajue Tena hii Vita isiishe mwaka huu au mwakani halafu baadae tutaizoea na soon utasikia watanzania watachukuliwa na UN kwenda kulinda amani Kama Kongo, Somalia, Sudan, Central Africa nk.Mpaka Sasa majibu yaliyopatikana ni kuigeuza operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu.., majibu mengine yatakayoendelea kujitokeza nitakujulisha!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo regular army mnayoipamba kila siku eti itajitokeza kwani imefichwa wapi ?....kama ipo kweli kwanini isitumike kumaliza hivi Vita kwa haraka ?rasmi...hapo ndipo regular army ya Russia itakapojitokeza wazi na sio
Wagner au JKT ya Russia tena....Hapo ndipo utakapona midege Kama TU,-160 (the white swan) na mingineyo...
All you need to know ni kwamba ukraine [emoji1255] is a playing ground hayo mataifa yote ya magharibi hayana sehem za kupigania vita kwenye mataifa yao kwahiyo wakitaka kupigana vita adui yao wanatafuta pa kwenda kupigania na ukraine [emoji1255] ndio pamepatikana so wapo hapo kupigana na mtesi wao wa muda mrefu, this is one [emoji635] versus many[emoji298][emoji1255][emoji298] the German government has announced the transfer of another batch of military equipment to Ukraine [emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uwanja umepatikana sehemu nzuri Sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] halafu wanajidai kumsaidia kwa upande mwingine wanazani eti Russia itafilisika kupitia hiyo vita kumbe kichapo kipo palepale.All you need to know ni kwamba ukraine [emoji1255] is a playing ground hayo mataifa yote ya magharibi hayana sehem za kupigania vita kwenye mataifa yao kwahiyo wakitaka kupigana vita adui yao wanatafuta pa kwenda kupigania na ukraine [emoji1255] ndio pamepatikana so wapo hapo kupigana na mtesi wao wa muda mrefu, this is one [emoji635] versus many
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app