Kwa hiyo ulitaka tumuache huyo super pawer wa kwenye makaratasi ajimwayemwaye kwenye ardhi yetu,sio??Wale hawajafa maana wanapigania HAKI salama lakini nyinyi mnakufa sababu mnapigania haki ya UCHOKO.
In additional even the solders of Ukrain army are being paid by Western,Yaani Kipanya ufahamu wako ni mdogo sana,si wanadanganya wadanganyika Kama wewe.The fact is that Ukrainian soldiers are fighting in Ukraine as NATO soldiers,on behalf of NATO.They receive all training and amour from the West,Kama ambavyo wangewapa askari wao,so as to implement the wider agenda of the NWO agaisnt Russia and humanity.Simply hawataka tena kupokea majeneza ya watoto wao waliokufa kwenye vita abroad.That is why the war in Ukraine against Russia is called a proxy war.The Ukrainian soldiers are not defending Ukrainian interests,but Western interests.
From now on these are the type of wars the NWO will fight.No more sending home grown soldiers abroad,they will use mercenaries.The West is infact using the Ukrainian army as mercenaries,just as it is using MK23 and Boko Haram!And in future they will increasingly use groups like Wagner Group,Academy,Define Internacional,Aegis Defense Services,Triple Canopy,DynCorp,Enrinys,Unity Resources Group,Black Water etc.to fight foreign wars.
Nakumbuka hata hotuba ya siku ya kumbukumbu ya ushindi wa vita ya pili ya dunia ilisubiriwa kwa hamu sana,huku wadadisi wakisema Putin atatumia hotuba hiyo kutangaza vita kamili dhidi ya Ukraine.., matokeo yake tuliona blabla tu [emoji2]Updates:
Raisi wa Russia Vladmir Putin anatarajiwa kuhutubia taifa tarehe 21 mwezi huu.
Hotuba yake hiyo yasubiriwa kwa hamu na dunia kusikia atasema nini.
Lakini wachambuzi wengi wanaamini kuwa hiyo itakuwa hotuba ya kuidhinisha mashambulizi zaidi ya Russia kwa Ukraine khasa kuelekea mkesha wa mwaka mmoja tangu Russia ianzishe operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine.
Itakumbukwa kuwa tarehe 24 mwezi Februari 2024 Russia ilianzisha operesheni maalum na kuingia nchini Ukraine, operesheni ambayo imefanyika kwa miezi kumi na mbili sasa.
Usiku wa kuamkia leo majeshi ya Russia yameshambulia vikali miji ya Kharkov na Zaporizhzhia kwa makombora katika eneo la viwanda.
Yadaiwa kuwa katika maeneo hayo kulikuwa kumehifadhiwa silaha ambazo zimekuwa zikiingizwa nchini Ukraine kutokea nchi za NATO.
Kwa hiyo huko Marekani, Uingereza, Ufaransa na kwingineko huko ulaya hakuna ufisadi?!?!Mkuu mbona unaleta habari za mwezi uliopita? Ilikuwa mnamo 24 Januari kwamba mamlaka za Ukraine zilifukuza mawaziri na manaibu 15.
MAshitaka yalikuwa ufisadi. Ufisadi ni urithi wa ukomunisti uliopo kila chi ya Umoja wa Kisovyeti wa awali, ikiwa Urusi iko mbele katika ufisadi na Putin anatawala kupitia ufisadi.
Hapo Ukraine na Urusi wako karibu.
Ila ianonekana Zelensky anajaribu kubdlisha kitu (maana utamaduni wa ufisadi ni kzuizi kikuu cha kukaribia Umoja wa Ulaya).
Zelenskiy ramps up anti-corruption drive as 15 Ukrainian officials exit
Key officials have been dismissed or resigned since Saturday, with six facing corruption allegationswww.theguardian.com
Hii fimbo west wajiandaeOPEC+ will not increase oil supplies after Russia cuts production - OPEC+ delegates.
You have been brain washed by Russian propaganda and anti-west conspiracy theories.The fact however is that Ukrainian soldiers are fighting in Ukraine as NATO soldiers,on behalf of NATO.They receive all training and amour from the West so as to implement the wider agenda of the NWO agaisnt Russia and humanity.That is why the war in Ukraine against Russia is called a proxy war.The Ukrainian soldiers are not defending Ukrainian interests,but NWO interests.
Ameona asishindwe vyote, maana front line anatembezewa mkong'oto balaa,Sasa anaona isiwe kesi, amalizie tu hasira zake kwenye hii miundombinu hambayo baada ya muda mfupi inarekebishwa!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]61 enemy cruise missiles and 5 shaheed 136/131 kamikaze drones were destroyed by Ukrainian Air force [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]View attachment 2512617
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
I am not,that is the whole truth.After all Russia does not have any propaganda machine,it is the West which has.You have been brain washed by Russian propaganda and anti-west conspiracy theories.
Kuna Machangudoa washabiki wa gaidi putin walijitongozesha kwa mod ,nikapigwa ban , nimerudi sasa , simbilisi nyie
Dnipro Hdroelectric station inawaka moto.asanteni sana west kwa msaada wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2512676
Hata mimi nashangaa.
Nashangaa wanaposema Russia anashambulia Civil infrastructures. Sasa najiuliza hizo Air Defense systems walizopewa zinafanya kazi gani..?
Ndio unapokuja kuelewa kwamba, hizo Air Defense systems zimeshachomwa moto... kama zingekuwepo tungeona zinafanya kazi...
Mwaka mmoja Sasa bado Urusi hajakamilisha SMO....Russia military was overrated.Updates:
Raisi wa Russia Vladmir Putin anatarajiwa kuhutubia taifa tarehe 21 mwezi huu.
Hotuba yake hiyo yasubiriwa kwa hamu na dunia kusikia atasema nini.
Lakini wachambuzi wengi wanaamini kuwa hiyo itakuwa hotuba ya kuidhinisha mashambulizi zaidi ya Russia kwa Ukraine khasa kuelekea mkesha wa mwaka mmoja tangu Russia ianzishe operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine.
Itakumbukwa kuwa tarehe 24 mwezi Februari 2024 Russia ilianzisha operesheni maalum na kuingia nchini Ukraine, operesheni ambayo imefanyika kwa miezi kumi na mbili sasa.
Usiku wa kuamkia leo majeshi ya Russia yameshambulia vikali miji ya Kharkov na Zaporizhzhia kwa makombora katika eneo la viwanda.
Yadaiwa kuwa katika maeneo hayo kulikuwa kumehifadhiwa silaha ambazo zimekuwa zikiingizwa nchini Ukraine kutokea nchi za NATO.
Juzi mzee Joe Biden katoa hotuba kwa taifa na kaishia kuzomewa.Nakumbuka hata hotuba ya siku ya kumbukumbu ya ushindi wa vita ya pili ya dunia ilisubiriwa kwa hamu sana,huku wadadisi wakisema Putin atatumia hotuba hiyo kutangaza vita kamili dhidi ya Ukraine.., matokeo yake tuliona blabla tu [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni kawaida Kwa nchi za kidemokrasia viongozi kuwajibika.., uingereza imebadili viongozi wa juu wasiopungua watatu kwa kipindi kisichozid miezi 6!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Alisikika Kilaza Mmoja AkisemaMwaka mmoja Sasa bado Urusi hajakamilisha SMO....Russia military was overrated.