Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo huko Marekani, Uingereza, Ufaransa na kwingineko huko ulaya hakuna ufisadi?!?!
Mkuu hujui kweli tofauti? Basi ona
(Corruption Persception Index 2022)

Ufisadi upo Ulaya, bila shaka. Ila tofauti kama maji, chai, togwa, bia, divai, sherry, konyagi, vodka na ethylated spirit 96%.
Ona chaguo kutoka orodha ya kimataifa (1= duni, 180 = juu)
1 Denmark​
2 Finland​
5 Singapur​
9 Ujerumani​
18 Uingereza​
21 Ufaransa​
24 Marekani​
41 Italia​
54 Rwanda​
94 Tanzania​
116 Ukraine​
123 Kenya​
130 Djibouti​
137 Urusi​
157 Zimbabwe​
178 Syria​
180 Somalia​

Urusi ni afadhali kuliko Zimbabwe, lakini chini ya Djibouti, Kenya, Tanzania, Rwanda . . . .
Orodha kamili ona kwenye link!.
 
Serikali ya Moldova yaanguka baada ya Waziri wake Mkuu aliyekuwa akiungwa mkono na NATO+Marekani kujiuzulu...alalamika eti sababu kuu ni nchi yake imekumbwa na kuelemewa na changamoto nyingi nzito zilizotokana na Urusi kuivamia Ukraine.

Mwambieni aache uoga, Urusi ipo kwa jirani....Sasa je Urusi angekavamia haka ka nchi si ndo Waziri Mkuu angekimbia kabisa nchi na ukoo wake wote🤣🤣😂😂


 
Walifanya mambo yao Kosovo, Iraqi, Afghanistan pale Libya kwani waliwahi na kuweka NFZ na kuweza kushambulia kwa ndege zao za F-16

Hawawezi fanya hivyo pale Ukraine.
 
Marekani inaongozwa na tahasisi, usidhani hiyo ni urusi inayoongozwa na amri ya kichaa mmoja
Marekani hata rais akivurunda Wala hakuna kinachoharibika,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin ndo mwanasiasa anayependwa na watu Duniani anajua nini maana ya Siasa na siku zote anataka dunia iwe na usawa kwa west na mataifa mengine.

Long Live Putin.
Ni bahati mbaya sana safari hii kayakanyaga,hii anayoiita special military operation haitamuacha salama, lazima iondoke na kichwa chake[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Da aisee!
,hii Dunia Ina wanaume aisee!
Urusi wanaume jamani tuache utani.
Kabisa...yaani wamepigana mwaka mzima kuteka majimbo mawili tu na mpaka sasa bado hawajafanikiwa asilimia 100.

Eti huyu nae ni Supa-pawa... Urusi wana jeshi zuri mno la gwaride ila battlefield bado wanajifunza.
 
Hii ndo generation ambayo imekuwa ikiandaliwa na kuja kutawala dunia.

Huyu Gavrilita babu yake alikuwa mwanajeshi wa urusi na amepigana vita kuu ya pili ya dunia.

Pia huyu na raisi wa Moldova Maia Sandu wote wameandaliwa pale Havard.

Hivyo ukifuatilia jinsi NWO inavyojipanga utaelewa.
 
Maswali Ni meengi ya kufikirisha,majibu hata wao NATO hawana[emoji1787]
 
Mpaka Sasa Sion chochote Cha maana alichokifanya urusi Kwa hizo silaha unazomsifia,kama Ukraine tu anaendelea kumtoa kamasi!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka Putin anapambana na NWO hapo Ukraine...

Mathanzua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…