Sikirimimimasikini ππππUfaransa yasikitika kuripoti kuwa Urusi imeitandika Ukraine na kuharibu gridi ya taifa huku ikijichotea ardhi nyingine mpya toka kwa Zelensky
View attachment 2513740
Hodari wa kashfa mweupe wa hoja.Namjua huyo mlevi wa propaganda za west.sema nimeamua kumjibu kwa manufaa ya wengine.
Wewe ni nzi wa msalani bila shaka.Unahangaika na huyo "mfu" ..... Hana atachokujibu Hapo zaidi ya "72 hrs" ...
Zingatia jinsia yako kwanza, Urusi anachangiwa na USA na UK π¬π§ halafu unaongea maviUrusi anapigana na Ukraine pekee shekhe,Wacha kujizima data [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ndo hujitambui,kama umeshindwa kutumia tu akili ya kawaida na kuona kwamba urusi anapigana na Ukraine,basi Sina namna ya kukusaidia!!Zingatia jinsia yako kwanza, Urusi anachangiwa na USA na UK [emoji636] halafu unaongea mavi
Inaonekana huko ndani Kuna moto mkubwa unafukuta kati ya jeshi la Urusi na Hawa wavuta bangi wa Wagner..,au wamepunjana posho![emoji28][emoji16]Hivi mbona huyu mkuu wa Wegner PMC analidharau sana jeshi la Urusi nimeona Kuna sehemu anasema jeshi la Urusi litachukua miaka miwili kuiteka Donetsick yumkini haelewani na uongozi wa jeshi la Urusi.
Ukraine ameweza vyema kummudu na kumchakaza urusi.., hakuna haja ya kupeleka majeshi ya NATO kule!!Ukiwafikisha hapo wanakosa nguvu kabisa.hua wanachanganyikiwa.
Watakuambia Ukraine sio NATO memba,ukiwauliza Libya,Iraq na afghan walikua NATO memba?
Hawajui wakujibu Nini.
Anaadvance huku akitumia takriban miezi 7 kupigana mji mmoja tu wa bakhumut [emoji23][emoji23][emoji28]Swali ligeukie kwako,Iweje Russia aendelee kuadvance?
Mwanaume karekebisha kipengele cha mkataba wa Nuclear π€£π€£π€£! Waache washirika wajizime Data tu kumbe sikuzote jamaa alikuwa hajibu mashambulizi sababu kuna mambo yalikuwa hayajakaa sawa. Yule MNATO kiherehere atalia siku si nyingiπππHii vita Yaweza kuleta balaa kubwa kuliko tunavyowaza
Bora uhailishe tu Mzee.., trust me,kule utakwenda kuwa tu lishe ya mizinga ya Ukraine,Wala hakuna zaidi ya Hilo..,hizo Hela hautapata hata fursa ya kuzifurahiaNemesi je nasikia kalipwa mil 70 tu? If yes Mimi Kesho nahirisha safari yangu ya kujiunga na jeshi binafsi la wegner
Wewe uta advance kwenye kupakuliwa kiboga labdaAnaadvance huku akitumia takriban miezi 7 kupigana mji mmoja tu wa bakhumut [emoji23][emoji23][emoji28]
Kama hii ndio inaitwa kuadvance basi hata Mimi naweza kuadvance!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unafikiri wengine ndio hawajui kubadilisha vipengele vya silaha za nyukria,sio??Mwanaume karekebisha kipengele cha mkataba wa Nuclear [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Waache washirika wajizime Data tu kumbe sikuzote jamaa alikuwa hajibu mashambulizi sababu kuna mambo yalikuwa hayajakaa sawa. Yule MNATO kiherehere atalia siku si nyingi[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama unavyoshindiliwa,sio?? [emoji16][emoji28]Wewe uta advance kwenye kupakuliwa kiboga labda
Uzuri sahizi vitendo vitaongea tuUnafikiri wengine ndio hawajui kubadilisha vipengele vya silaha za nyukria,sio??
Alafu hiyo mikwara ya nyukria imeshakuwa expired.., mwambie huyo dikiteta ajaribu kubuni mikwara mingine itakayotikisa angalau kidogo [emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo zile mbwembe za kuweka tayari kikosi maalum Cha silaha za nyukria hazitasikika Tena, sio?? ,[emoji28][emoji16][emoji23]Uzuri sahizi vitendo vitaongea tu
Watapigwa kama Ngoma hao wajinga Poland.[emoji3][emoji3] naona Poland anamtamani mrusi hatari, yaani Urusi akijichanganya kwa Poland atayakanyaga mazima.Poland siyo Ukraine.
Waendelee kufikiria tu sababu shamba darasa ni wanajeshi laki 7 waliofyekwa ndani ya masaa machache πππ na wachoma nyama Wagner PMCPentagon yasema inafikiria kupeleka wanajeshi Ukraine