kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwa hiyo operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imeingiliwa??Ukraine ilishamalizwa kijeshi siku 3 za kwanza na hakuwa na jeshi tena baada ya hapo ndo EU na NATO wameingia kwa lango la mercinaries(mamluki) na demilitarization unaendelea kwenye vitengo vingine.. Sasa hizo stori za mapanya patia panya wenzio
Hayo makombora urusi atakuwa ameyapiga Romania na Moldova ya buza[emoji16]Kwani upo Dunia gani[emoji23][emoji23][emoji23].makombola juzi tu yamepiga Romania na Moldova na hakuna hata wa kusema kitu. Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kaza Buti kutuletea ramani shekhe, mpaka ukombozi wa bakhumut utimie [emoji16]Mji mdogo wa Krasyana Gora umekwenda na mma.Warusi wamefanikiwa kuuchukua mji huo mdogo ulio karibu na mji wa Bakhmut.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2514357
Huu mji Wagner walidai kuuteka hapo awali , kumbe bado mambo magumu ?Bakhmut ni ndogo ila hadi leo wameshindwa iteka
[emoji298]οΈ[emoji1255] Ukraine has almost no ammunition left, it runs out very quickly due to the intensity of the fighting β Office of the President of UkraineUkraine ilishamalizwa kijeshi siku 3 za kwanza na hakuwa na jeshi tena baada ya hapo ndo EU na NATO wameingia kwa lango la mercinaries(mamluki) na demilitarization unaendelea kwenye vitengo vingine.. Sasa hizo stori za mapanya patia panya wenzio
Hizi habari za wanajeshi wa Ukraine kuukimbia mji wa Bukhmut tola December mnaongelea na mlileta picha ya mwabajeshi anasukuma mkokoteni mkasema wamekimbia huo mji leo tena mnaongelea hilohiloA Ukrainian soldier asks his commanders to withdraw the Ukrainian troops from Bakhmut.
You bastards, the Ukrainian command, take the guys out of Bakhmut! It will be a repeat of Azovstal! Take the guys out; how many video appeals have we already recorded? Why don't you hear bitches? Do you like it when our guys die, you bastards? Take your son or wife and take them to Bakhmut, and let them stand there!
And you fucking deputies sit in a chair and shout glory to Ukraine? You are not patriots; you are murderers; you are beasts; you are devils! We don't ask for much: withdraw from Bakhmut; issue an order to withdraw troops from Bakhmut! Whatever the cost, it will be the right decision.
I'll tell you another thing for sure: when the war is over, one hundred percent, there will be a sweep of our deputies for whom our heroes, our soldiers, died! Glory to Ukraine
Unakumbuka lile kombora la Ukraine lilulotua Poland mrusi alitoka haraka kujitetea kuwa sio yeye aliyerusha hilo kombora kwanini alitola haraka anajua ni nini kingemkuta pale nikaelewa Russia anawaogopa west.Kwani upo Dunia gani[emoji23][emoji23][emoji23].makombola juzi tu yamepiga Romania na Moldova na hakuna hata wa kusema kitu. Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ngoma bado imedinda.., sidhani kama ndoto ya dikiteta kuiteka Donbass yote mwishoni mwa mwezi wa 3 itatimia!Huu mji Wagner walidai kuuteka hapo awali , kumbe bado mambo magumu ?
Wazee wa propaganda mnge mapakazia yeye anataka kufanya mwenyeweUnakumbuka lile kombora la Ukraine lilulotua Poland mrusi alitoka haraka kujitetea kuwa sio yeye aliyerusha hilo kombora kwanini alitola haraka anajua ni nini kingemkuta pale nikaelewa Russia anawaogopa west.
Also[emoji116][emoji116][emoji116][emoji298]οΈ[emoji1255] Ukraine has almost no ammunition left, it runs out very quickly due to the intensity of the fighting β Office of the President of Ukraine
- War Monitor
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Kudadadeq wamefyatuka kama panya shimoni πππWanakimbilia wapi hawa..
Iyo surprise ndigo sana ngoja nato wazidi kujichanganyaNew Zealand yaripoti kuwa Urusi kwa mara ya kwanza imetumia drone yake mpya za majini (drone boat) kushambulia na kuangamiza daraja muhimu la kupitishia silaha huko Odessa. Shambulizi hilo limewaajabisha wachambuzi wa maswala ya silaha wa kimagharibi wakisema haikutambulika wala kutegemewa kuwa Urusi angeweza kuwa na drones hizo wala uwezo wa kuzitengeneza.
Kumbe wamagharibi walikuwa wakidhani eti Urusi ni Zimbabwe?!
View attachment 2514323
View attachment 2514322
View attachment 2514324
US kule Afghan amepigana 20 years na bado Taliban wamemkimbiza!Twu yiazi? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji706][emoji706]
View attachment 2514537
Vita si mchezoTwu yiazi? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji706][emoji706]
View attachment 2514537