Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna mchambuzi mmoja mahili San humu Jukwaani aliwahi kuwaaminisha wafuasi wake kua urusi hakuwahi kua na drone ndio maana anategemea za Iran.
Mimi kwa ufahamu wangu na kujisomea kwangu niliwahi kusoma juu ya kitu kama hiki.
Kwa wakati huo ilisomeka kama "Underwater drone made by Russia."
Achilia mbali droni kama hizo za kuruka juu.urusi ana Kila aina ya silaha west walizonazo.
 
Neno linalotembea sana humu jamvini ni "Urusi sio Zimbabwe".
 

Sudan kaupiga mwingi sana
 

Na anasilaha ambazo West hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…