Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NATO muda huu wako Brussles wanaendelea na kikao Cha dharura kujadili namna ya kupeleka ammunition huko Ukraine ambayo imeishiwa...Nchi za NATO nazo zimepungukiwa na ammunition...Sasa hapo ngoma nzito Sana...dubu yeye anaendelea na kazi ...
De NATONIZATION [emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache mfuasi wa bibisii(bbc), alijazaasira(aljazeera),France 24, abs, sienieni(cnn) ndo anajiona mjanja kafika
 
Ni muongo sana, hyo Moscow aliyokua anaisema ni kinondoni Moscow ya dsm. Wanaona aibu sasa....
 
Super power ya mchongo nadhani ni ile inayohangaika kupiga vi-baloon vya China na vitu vya kufikirika angani "in a massive psyop for a faked alien attack"
kwa kutumia makombora ya madege ya F-15(kama mwehu hivii), badala ya kuhangaika na matatizo ya msingi lukuki ya wananchi wake,aibu sana.
 
Urusi kwisha habari Yake [emoji28][emoji16][emoji23]View attachment 2517341

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia hawana combat power?Maneno ya vichaa haya.Soma hapa👇,kimbembe kinakuja.

Z-DAY APPROACHES as Russia prepares massive assault wave against Ukraine and NATO​

Friday, February 10, 2023

  • All signs point to a Russian offensive moving against Ukraine within the next 20 days. This offensive will be much larger in size and equipment compared to the February, 2022 offensive, but it will move more slowly and methodically, avoiding Blitzkrieg tactics and instead relying on by-the-book military doctrine of a slow, steady, relentless pummeling of the enemy while gaining ground.
This offensive is being called “Z-Day” and will reportedly involve over 700 aircraft, 1,800 Russian tanks and 500,000 soldiers, all designed to take down the Zelensky regime that has functioned as a proxy for NATO’s attempts to eliminate Russia from the world map.
Importantly, with the recent revelation that the Nord Stream pipelines were blown up by the USA working with Norway.

Russia is currently updating its retaliation rules to allow a first strike “preventative” attack using nuclear weapons to prevent NATO from further threatening Russia’s existence.

Former US Marine and UN weapons inspector Scott Ritter just called for the arrest and criminal prosecution of Victoria Nuland and Joe Biden for masterminding the plot to destroy the Nord Stream pipelines. (See Ritter’s YouTube interview here.)

This act of terrorism, carried out by the Pentagon, CIA, US Navy and State Dept., was also an act of war against Germany, a NATO “ally.” It makes us wonder whether Germany will declare an Article 5 violation and demand that other NATO countries attack the USA for its act of war against Germany.

In any case, Russia is on the verge of launching both a major offensive against Ukraine and also potentially a “preventative” nuclear strike against the USA and NATO targets across Europe.

Stolen elections have catastrophic consequences, and the USA may have only weeks remaining before we find ourselves in a global nuclear conflict from which no one emerges unscathed.
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Russian troops are being ordered to advance in most sectors of Ukraine's front line ,but they have not amassed " sufficient offensive combat on any one axis to archive a decisive effect "[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Super power wa mchongo nadhani ni yule anayehangaika na kupiga vi-baloon vya China na vitu vya kufikirika angani kwa kutumia makombora ya madege ya F-15(kama mwehu hivii), badala ya kuhangaika na matatizo ya msingi lukuki ya wananchi wake,aibu sana.
Hebu yataje hayo matatizo ya msingi ya raia wa USA unayoyazungumzia hapa[emoji23][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Waliosema hivyo ni wataalamu waliobobea wa mambo ya kijeshi..,wewe mrusi wa buza ukitaka kubisha Sina ya kukusaidia

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe Kipanya wewe,wataalamu walio bobea wepi,hawa waandishi uchwara wa vyombo vya habari uchwara wanaolipwa ku-supress true information ndio unaowaita wataalamu walio bobea?Hebu cheki clip hii uone how they are suppressing true information to reach the people kwa kutumia waandishi uchwara.


 
Nyie watu mko desperate sana.., mbona haohao wataalamu wakileta uchambuzi au maoni yanayofavour upande wenu mnayapokea kwa mikono miwili??

Tatizo mmegeuza tafsiri ya propaganda kama habari yoyote ile isiyofavour upande wenu..,hii ni ajabu ya karne,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hebu yataje hayo matatizo ya msingi ya raia wa USA unayoyazungumzia hapa[emoji23][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Matatizo ya US ni mengi ni mengi sana,na yameainishwa vizuri sana kwenye websites nyingi.Hata hivyo ripoti ifuatayo itasaidia kukupa picha halisi ya matatizo ya taifa la Marekani.



Angalia pia uovu huu Serikali ya Marekani inao wafanyia Wananchi wake.Inatisha na kusikitisha Sana.

 
Hiyo report tukisema ni propaganda za kimchafua USA tutakuwa tumekosea??

Kama USA anayo hayo matatizo yote kama ulivyodai,basi isingewezekana kuwa super pawer candidate!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nimesha kanusha mawazo haya mara nyingi.Naomba Nikukumbushe Kipanya kwa mara nyingine.Nimesema hivii,kama Mainstream Media wataleta taarifa za ukweli,independent,zisizo na conflict of interest tutazipokea.Ilivyo sasa no,taarifa zao ziko biased,ni za uongo na zinazolenga advancement of the evil NWO agenda.Hili halikubaliki.Wanatia aibu sana,angalia walivyo umbuka kwenye issue ya Nordstream 1&2,aibu kweli kweli yani.
 
Hiyo report tukisema ni propaganda za kimchafua USA tutakuwa tumekosea??

Kama USA anayo hayo matatizo yote kama ulivyodai,basi isingewezekana kuwa super pawer candidate!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa wewe kila ripoti kuhusu Marekani ni propaganda,lakini si uliomba nikupe,tena ni propaganda,acha ujinga wewe,Wamarekani wamekupa nini?Yaani utitiri wa report uliopo mtandaoni kuhusu serikali za Marekani mbali mbali kutelekeza Wananchi wao kwa kutumia ushahi mwingi,ni uongo!Hapana wewe Kipanya ndiye mwenye shida,mbona unatetea sana ujinga wa Marekani irrationally.Try to be rational,you are so irrational.Have sold your soul to the NWO Cabal a.k.a Lucifer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…