Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati NATO wakilialia na kulalamika eti wameishiwa silaha za kupeleka Ukraine, Iran imepeleka shehena mpya ya drones ili Urusi izitumie kuichoma Ukraine [emoji28][emoji1787][emoji23]
View attachment 2517537
Kumbe Iran anapeleka shehena za silaha huko urusi eeh??
Basi tusisikie Tena zile ngonjera kwamba urusi anapigana peke yake na taifa linalosaidiwa na washirika kadhaa.., Russia Naye ana washirika kadhaa wanampa msaada,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tulia 💉💉💉💉 ikuingie vizuri...
 
Safi Sana,
Wamezoea kuonea vidagaa,
Wajue kabisa,wakimwaga mboga
Russia anamwaga ugali, tunakosa wote[emoji4]
Huyu urusi anasubiri nini kumwagwa ugali Sasa?? Maana ni wazi Mambo yameshamwendea kombo baada ya operation aliyotegemea kuchukua saa 72 kugeuka vita ya muda mrefu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wall Street Journal - WSJ wanasema kwamba kwa kichapo inachopewa Ukraine huko Bakhmut kinapunguza confidence ya Zelensky kwa wafadhili juu ya uwezo wa jeshi lake kupambana na Russia.

Kwa hapa naona kama wanamuonea tu Zeleboy, sasa unategemea afanyeje?
 
Duh! Hiki kifurushi kikitangazwa tukipatie jina gani wakuu.., maana ni wazi hakijawahi kutangazwa kifurushi Cha nanma hii tangu vita ianze[emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the Biden administration is working with congress to approve 10 billion dollars in aid to Ukraine, the Washington Post reported

The New aid package will be announced next week [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Natamani kumtag yule jamaa yetu aliokua anasema kwamba Airforce ya RUSSIA kwamba siilolote kwenye hii SMO

Usisahau kuwakumbusha kwamba RUSSIA anafanya tu SMO hayupo kwa total WAR

Austin anakiri kwamba AIR FORCE ya RUSSIA nikikwazo ila bwana yule alikua anatuaminisha kua sii lolote sii chochote

Ndugu yangu nakushauri tu ukapitie upya makabrasha yako ulokua unayapitia kuhusiana na RUSSIA

RUSSIA anatumia vifaa vya micro wave cjui washing mashine
RUSSIA anapigwa cjui na drones za tb zimefanya nn sijuu
RUSSIA haipo kwenye nchi zinazotengeneza drone ijitathmini
Nnacho kikumbuka kikubwa kutoka kwa bwana yule aloisifia kwa RUSSIA ninamna walivyoweza kukabiliana na vikwazo

Hapa hatutaki asifiwe mtu ila tunataka apewe sifa zake na haki yake kama anastahili


RUSSIA wewe ponda ponda tu mpaka waishe hao MAGAIDI WA KINAZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi Putin alisema kwamba Russia bado haijaanza vita rasmi na ndo maana Wagner Group na wapiganaji wa Chechen watumika hadi sasa.

Pia Russia bado hajaanza kutumia silaha nzito hivyo huagiza silaha ambazo amewafundisha Iran na Korea Kaskazini kutengeneza.

Hivyo huagiza mizigo ili nae ajaribu ufanisi wake.

Kuna mahali humu nimesema kwamba Ukraine ni uwanja (theatre) ya majaribio ya silaha za aina zote na hata NATO/ USA wakisema watapeleka silaha Ukraine ni kwamba order zapelekwa viwandani na kisha kuletwa Ukraine kwa majaribio na matumizi.

Hili ni moja ya maeneo ambayo yana upigaji mkubwa sana (lucrative) na kuna watu wanatajirika kila kukicha kwa maana order zatumwa kwa kila aina ya kifaa cha kutumika Ukraine.

Ndo maana huwa nasisitiza kuangalia mgogoro huu kwa picha kubwa inohusu kila aina ya topic.

Lakini licha ya hivyo bado Russia aonekana apigana na mataifa 54 ambayo mengi hutengeneza silaha na vifaa kama mizinga kwa vibali.

Hiyo mizinga ya Leopard 2 baadhi ya nchi nyingi za Ulaya na NATO zatengeneza kwa kibali kutoka Ujerumani.

Ndege za kivita nyingi zatengenezwa Ufaransa na nchi zingine kwa order maalum. Ndo maana UK wamesema wao wana ujuzi wa kufundisha namna ya kuzitumia lakini wao wenyewe hawana ndege za F-16.

Uingereza wana ndege za aina ya Typhoon ambazo zitakuwa chakula kwa Russia kwani hizo huruka chinichini na si juu sana.

Hata hivyo hakuna ndege zinazopelekwa Ukraine kwani hiyo itakuwa ni "escalation".
 
We kweli mwehu xx .hapo cjui nn wafurai..xx kama hio Norway inatoa vifaru 8 na vita mnasema bdo ndefu ..xx vikishatumika mkienda tena huko Norway mtapewa vifaru vingapi 😂😂ctegemei jibu zuri kwako ila wenzako watapiga hesabu na kujua Ukraine haina future
 
Mamaeeee poland afanye kujikuna tu
Ni ndege tatu za Russia zilikuwa zikifanya doria karibu na mpaka na Poland, zilikuwa zikitokea Kaliningrad.

Hicho ni kisiwa ambacho kipo katikati ya Poland na Lithuania na Russia ana mitambo yake hapo.

Ndege hizo za Russia zaitwa IL 20M Coot-A na ni zile za ujasusi au "reconnaissance".

Bila shaka zilikuwa zikiangalia ni mizigo gani yapitishwa hapo kwenda Ukraine.
 
Kuwa na staha katika majadiliano.., matusi mnaanza nyie tu na mkishapewa za uso mnaanza mara hoo kipanya hivi..,mara oo kipanya vile
Hamna jema nyie,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Ukraine Will receive leopard 2 main battle tanks in March polish defense minister Mariusz blaszcsak said after meeting at ramstein base[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo EU inamwekea vikwazo urusi..,kama urusi ana ubavu kwa nini asiwawekee vikwazo hao EU??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Nitajie vikwazo walivyoweka hata vi5 tu, vikwazo ambavyo vinawaumiza wao?? EU wananunua malighafi kama kawaida kutoka Russia, na turnover btn Russia & France imeongeza kwa 22%. Wewe bado mtoto fatilia source mbalimbali ujue kinachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…