jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Na si hivyo tu hata siraha hana russia na uchawi chawi anatumia kuipiga Ukraine mauzauza sana putinEndelea kupiga kelele video games hao ni aljazeera wakiwahoji wali wanao operate drone na kuwawapa maelezekezo wanajeshi wa mizinga wapi pa kupiga ndio hizi telnolojia mrusi hanaView attachment 2518152
Nimeona sehemu video inaonesha wagnerites wanavamia wanauawa ila hawakomi, nimeona kama 70 hivi wameuawa kwenye videoEndelea kupiga kelele video games hao ni aljazeera wakiwahoji wali wanao operate drone na kuwawapa maelezekezo wanajeshi wa mizinga wapi pa kupiga ndio hizi telnolojia mrusi hanaView attachment 2518152
Nimekuwekea picha ya wazee wa video game hapo juu wanavyowakaanga ndugu zenu huko frontlineSasa mbona BBC anasema Russia is winning wakati hana teknolojia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]?
Kuwa na drones operators ni jambo Moja,kuleta video games ni jambo lingine!
Tazama video game ndugu zenu wanavyokaangwa na droneNimeona sehemu video inaonesha wagnerites wanavamia wanauawa ila hawakomi, nimeona kama 70 hivi wameuawa kwenye video
Wengine hawa hapa Rusia huu mziki hawauwezi wanakaangwa vibaya kwenye vita ya kuleta majarida humu wanashinda ya sio ya kuthibitishaNimeona sehemu video inaonesha wagnerites wanavamia wanauawa ila hawakomi, nimeona kama 70 hivi wameuawa kwenye video
Vita vyenu ni vya kukopy majarida telegram na kuyabwaga humu kuwa wanasonga kila siku kamji kadogo kamewatoa jasho miezi kibao kila mwezi mnasema mnawazunguka wanajeshi wa UkraineNa si hivyo tu hata siraha hana russia na uchawi chawi anatumia kuipiga Ukraine mauzauza sana putin
Wazee wa encircle vip tazama hapa moto unaotembezwa na Ukraine mkajipange tena mwezi ujao mfanye encircleSasa mbona BBC anasema Russia is winning wakati hana teknolojia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]?
Kuwa na drones operators ni jambo Moja,kuleta video games ni jambo lingine!
Kumbe ni 'video game'...hapo umeeleweka...una maana hiyo video ni fictious ...Tazama video game ndugu zenu wanavyokaangwa na drone
Ni video game maana pad za drone ndio zinawakaanga kule frontline watu wakiwa ofisini kitu ambacho Russia hawezi hiyo internet atatolea wapi ya kuoperate drone frontline line akiwa MoscowThanks
Kumbe ni 'video game'...hapo umeeleweka...una maana hiyo video ni fictious ...
Hebu iweke hapa tuone hiyo video.Nimeona sehemu video inaonesha wagnerites wanavamia wanauawa ila hawakomi, nimeona kama 70 hivi wameuawa kwenye video
Duh....video GAME....pole..Ni video game maana pad za drone ndio zinawakaanga kule frontline watu wakiwa ofisini kitu ambacho Russia hawezi hiyo internet atatolea wapi ya kuoperate drone frontline line akiwa Moscow
Hebu share na sisi tuone😃Nimeona sehemu video inaonesha wagnerites wanavamia wanauawa ila hawakomi, nimeona kama 70 hivi wameuawa kwenye video
Sasa hiyo mizinga anapigwa Mrusi au Ukraine mbona wao ndio wanarudi nyuma.Endelea kupiga kelele video games hao ni aljazeera wakiwahoji wali wanao operate drone na kuwawapa maelezekezo wanajeshi wa mizinga wapi pa kupiga ndio hizi telnolojia mrusi hanaView attachment 2518152
Hao warusi wanaodai kusonga mbele wanasonga mbele kuelekea wapi [emoji848]Sasa hiyo mizinga anapigwa Mrusi au Ukraine mbona wao ndio wanarudi nyuma.
Hapo atakwepa na kuja na blah blah nyingine!Sasa hiyo mizinga anapigwa Mrusi au Ukraine mbona wao ndio wanarudi nyuma.
Lete ushahid wa Ukraine kurudi nyuma toka mwezi November mlisema mlishatwaa mji wa bakhmut lakini mpaka leo mnasema mnasonga mbele hamfiki tu mnakokwenda kila siku mnasonga hatuoni miji mnayokomboSasa hiyo mizinga anapigwa Mrusi au Ukraine mbona wao ndio wanarudi nyuma.
Nakumbuka Putin akiwa kwenye kongamano la Valdai aliwahi kuongelea hili swala na ikaonekana kabisa alimshauri jambo Yanukovich ila Yanukovich aidha akapiga mahesabu vibaya au kuna hali aliichukulia poa na kuhisi isingeweza kupelekea hali mbaya.Kuna jambo moja naomba niulize kidogo nipate mwanga
Maana nimekua nikijiuliza muda ila acha leo kidogo nilitoe walau munipe mawili matatu
Je RUSSIA hakujua kuhusiana na Euro maidan iliopelekea sirikali ya rais alokua pro kremlin anaenda kuondoka madarakani kwa mikono ya western na US ama
Je RUSSIA kwenye yale mapinduzi alizidiwa kete namashirika ya nje kama CIA na wenzake ambao walifanikiwa kueka vibaraka wao hatimae wakeka Elensky ambae leo tumeona kasababisha SMO
Ama Je RUSSIA alijua kwamba kutatokea Euro maidan ambayo ingemuondoa rais alokua na mrengo wa KREMLIN ila akaacha litokee ili baadae aje afanye hii SMO maana sababu kubwa ya hii SMO wote tunajua ililetwa na mapinduzi yaliofanyika mwaka 2014
RUSSIA alitenzwa nguvu na mashirika ya UJASUSI ya MAGHARIBI ama alikua kaliacha litokee hili ili aje afanye anacho kifanya leo hapo UKRAINE
Anaejua ama anaehisi kitu ntaowatag na ntao wasahau msaada tafadhali
Hammaz
Jesus Mlokozi
Qibsyl
Venus Star
MR MAJANGA
MOTOCHINI
T14 Armata
Bukyanagandi
lee van cliff
Yericko Nyerere
Na wengine woooote ambao sijawatag
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni evil superpower and bully.Angalia uovu huu Serikali ya Marekani inao wafanyia Wananchi wake.Inatisha na kusikitisha sana.Hiyo report tukisema ni propaganda za kimchafua USA tutakuwa tumekosea??
Kama USA anayo hayo matatizo yote kama ulivyodai,basi isingewezekana kuwa super pawer candidate!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hamna aisee., bwana vunjo video zako kaa nazo tu hata pro west wenzio hawako interested nazo maana zinatengenezwa studio badala zichukuliwe battlefieldTatizo kipigo mnakihadisia kwenye articles hakunanushahidi wa video au picha za matukio lakini Ukraine anavyotoa kichapo ushahidi upo video na picha za marehemu